Nickson francis
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 700
- 1,306
Ndege 100 zipo kwenye anga lako na umeshindwa kudondosha hata moja na unasifia mifumo ya ulinzi ya Urusi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera Mu Isramarekan kwa Vikao vya mwezi mzima mwisho wasiku ZEROS
Sawa muiran wa katumba
Katika hizo ndege umekamata ngapi?Ndege 100 halafu hujalenga hata nzi
Tayari Kasikika Juha moja la KiberaHaya madude yanashuka bila kuzuiwa na chochote....
Prof. Elijah(military and political analyst) kahojiwa al Jazeera amesema hizo ndege haikuingia anga ya irani yaani zilisogea tu hazikuingia halafu zikatuma missiles.Kwa kweli Defensive systems za Iran zimefanyakazi kubwa!
Mifumo ime engage na missiles za Israel kikamilifu.
Makombora mengi yamedunguliwa!
Lakini hata hivyo airspace ya Iran iko wazi! Kama ndege za Israel zimeingia na kutoka bado Iran haiwezi kujivuna sana.
Hakuna Ndege ilio ingia Anga la Iran acha Kujitoa UfahamuNdege zinaingia, zinashambulia, zinatoka unharmed halafu unasema Iran imeishangaza dunia.
Ni kweli imeishangaza dunia kwa kutokuwa na radar makini.
Kwa tasiri nyingine myahudi ana uwezo wa kuingia atakavyo Iran.
Kwa mtu mwenye akili lazima ashangae
Unatumia picha za iran ilivyo ishambulia Israeli kudadeki 😂😂😂😂😂😂😂Haya madude yanashuka bila kuzuiwa na chochote....
Prof. Elijah(military and political analyst) kahijowa al Jazeera amesema hizo ndege haikuingia anga ya irani yaani zilisogea tu halafu zikatuma missiles.Kwa kweli Defensive systems za Iran zimefanyakazi kubwa!
Mifumo ime engage na missiles za Israel kikamilifu.
Makombora mengi yamedunguliwa!
Lakini hata hivyo airspace ya Iran iko wazi! Kama ndege za Israel zimeingia na kutoka bado Iran haiwezi kujivuna sana.
Wameiabika sanaKatika shambulio hili Israel imepata aibu na hasara kubwa bila mafanikio.
Ni juzi tu hapa mkuu wa jeshi la Israel aliwaahidi mabosi wake wa West, pamoja na wale wa wayahudi wa hapa kwetu Bonyokwa kuwa shambulio litakalofanywa na Israel litakuwa kubwa na lenye madhara makubwa kwa Iran.
Matokeo yake tumeona jinsi shambulio hilo lilivyonywea. Yametumika maandalizi mengi halaf matokeo madogo. Ndege 100 zinatoka bila kuacha madhara yoyote kama tulivyoahidiwa. Hii ni aibu na fedheha kwa Netanyahu na genge lake. Ndio maana Ayatollah hakuona sababu ya kuingia hasara ya kuzishusha, maana zilienda tu kutalii na kutoka. I mean aliona hazikuwa na athari yoyote kwenye nchi yake.
Waambie Iran waonyeshe wreckages za hayo makombora ya Israel. Huwezi pata matokeo sasa hivi subiri siku mbili au tatu tuone satellite images maana Israel imeshambulia military targets na hakuna raia au waandishi wa habari wanaweza rekodi.Kwa kweli Defensive systems za Iran zimefanyakazi kubwa!
Mifumo ime engage na missiles za Israel kikamilifu.
Makombora mengi yamedunguliwa!
Lakini hata hivyo airspace ya Iran iko wazi! Kama ndege za Israel zimeingia na kutoka bado Iran haiwezi kujivuna sana.
Wamewasoma tena😂😂😂Yaani Iran ilivyoiadhibu Israel ile siku na kuchoma bases vile halafu useme wameenda kuwasoma?🤣Wenzako wamejaribu kuwasoma response ya Defence system yao inafanyaje kazi katika uhalisia. Wameshawasoma Kitakachowafuata itakuwa balaa.
Ninavyoona atamalizana kwanza Proxies kabla ya kuingia full kwa Iran
Kwanini utumie nguvu kumpiga mtu ambae hana uwezo hata wa kukugusa?Ndege 100 zipo kwenye anga lako na umeshindwa kudondosha hata moja na unasifia mifumo ya ulinzi ya Urusi
Ndege 100 uliziona ukiwa Madaba..Ndege 100 zipo kwenye anga lako na umeshindwa kudondosha hata moja na unasifia mifumo ya ulinzi ya Urusi
Wewe acha kudanganya watu humu, Iran wenyewe Bado hawajatoa taarifa za madhara yaliopatikana tayar wewe unawasemea acha uchawa, tusubiri taarifa kutoka Kwa serekali ya Iran ndio tutaamini sio wewe kilazaKatika shambulio hili Israel imepata aibu na hasara kubwa bila mafanikio.
Ni juzi tu hapa mkuu wa jeshi la Israel aliwaahidi mabosi wake wa West, pamoja na wale wa wayahudi wa hapa kwetu Bonyokwa kuwa shambulio litakalofanywa na Israel litakuwa kubwa na lenye madhara makubwa kwa Iran.
Matokeo yake tumeona jinsi shambulio hilo lilivyonywea. Yametumika maandalizi mengi halaf matokeo madogo. Ndege 100 zinatoka bila kuacha madhara yoyote kama tulivyoahidiwa. Hii ni aibu na fedheha kwa Netanyahu na genge lake. Ndio maana Ayatollah hakuona sababu ya kuingia hasara ya kuzishusha, maana zilienda tu kutalii na kutoka. I mean aliona hazikuwa na athari yoyote kwenye nchi yake.
Airbases mnazosema mlipiga zinafanya kazi vizuri na zimetumika kuwashambulia. Headquarters za usalama mnazosema mlipiga zinafanya kazi. Sasa sijui Iran inashambulia kwa kupapasa.Prof. Elijah(military and political analyst) kahijowa al Jazeera amesema hizo ndege haikuingia anga ya irani yaani zilisogea tu halafu zikatuma missiles.
Maana yake zingeingia anga la muajemi unadhani nini kingetokea?
Dunia imeshangazwa na defense system ya muajemi kuwa bora kuliko walivyodhani.
Kumbuka Hypersonic missiles zote alizotuma muajemi zote zilipiga target muda huo Mifumo ya ulinzi Israel ipo tu haijui kinachoendelea.
Ehee, madhara yapi makubwa Israel ilipata? tuonyesheKwanini utumie nguvu kumpiga mtu ambae hana uwezo hata wa kukugusa?
Israel iliahidi kufanya shambulio kubwa kuwahi kutokea. Lakini matokeo yake walishindwa kufanywa shambulio hilo kutokana na ulinzi mkubwa wa anga wa Iran. Hivyo hapakuwa na sababu ya kumchapa mtu ambae hakuleta madhara katika ardhi yao.
Halaf acha unafiki na utumie akili yako kufikiria jinsi shambulizi la Iran linavyofanya Dunia yote iliongelee kutokana na madhara inayoachaga ukijumlisha na haya ya Israel ambayo wengi huwa hawana hata habari nayo japo media za west huwa kazini kuhakikisha linakuzwa.