Mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran ilivyoishangaza dunia leo!

Mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran ilivyoishangaza dunia leo!

Asa ndege zote 100 alafu matokea yake nn.
Kwani hizo ndege zilienda kutalii ?
Hadi wanapeleka ndege 100 hapo walitegemea kulipua maeneo mengi na kuleta mazara makubwa
Aibu waliopata heri wangepeleka vindenge viwili hata
Maeneo yaliyopigwa ni restricted na ni strategic .Hakuna namna raia wa kawaida atafika na kupiga picha.
Unaelewa maana ya neno Precise?
Jamaa kapiga kakaa kimya kama kawaida yake ya kupiga maeneo nyeti na kudhoofisha kabla ya kupiga full mass nondo
 
Sioni sababu ya Iran kurudisha kipigo sababu hakuna madhara, kipigo alicho wapiga 1st October ni tosha kabisa.

Tukiambiwa itakuwa surprise, lethal and intense:

IMG_20241026_125253.jpg

IMG_20241026_125359.jpg
 
Haya mambo tayari yashakua na ushabiki.

okay Sawa, lakini Israel huyohuyo alishawahi kutungua makombora zaidi ya 300 ya Iran na wala hakujitapa. Yawezekana tunashabikia mifumo ya ulinzi ya haya mataifa lakini tusijekuleta utani na amani ya nchi yetu. Haya mambo yasikieni tu yanashusha uchumi balaa.

Naeaombea wafikie muafaka igaidi utokomezwe turudi kwenye amani.
 
Ili ugaidi uondoke israhell na marekani zifutwe
 
Back
Top Bottom