Mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran ilivyoishangaza dunia leo!

Mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran ilivyoishangaza dunia leo!

Kama nilivyo pokea
Naibu Kamanda wa Jeshi la Wanahewa la Russia, Meja Jenerali Anatoly Konovalov Ndege za Israel zilizoshiriki katika shambulizi dhidi ya Iran zinakadiriwa kuwa takriban ndege 25 za kivita, zikiwemo ndege 10 za kivita za Marekani zilizotoa msongamano wa rada za Iran ni aina mpya ya ndege inayojulikana kama ndege wa kivita na msongamano wa kielektroniki wa EC-37B Compass Call.
Dah poleni sana wairani wa mbwinde wanne huko wamejifia kwa kipondo cha myahudi
 
Iran imesema Kuna sehemu za jeshi katika mikoa mitatu ikiwemo Tehran zimepata madhala makubwa alafu aliye kimbiji anabisha na kukataa
Na wanajeshi wanne wa Iran mpaka sasa wamefyekelewa mbali na huenda idadi ikazidi ila shura ya maimam walinaz wa JF wanakaza mafuvu
 
Naomba kuuliza. Hivi hizo ndege za Israel zinakuwa na marubani ndani yake au za bila rubani? Kama zina marubani ndani yake, hakika marubani na wale wanaokaa ndani ya vifaru ni vya watu majasiri sana!
Usiku wa leo, jeshi la anga la Israel lilifanya mashambulio kwenye maeneo mbalimbali hasa maeneo ya kijeshi yakiwa ndiyo lengo kuu.Zaidi ya ndege mia moja (100) zinadaiwa kutumika kwenye mashambulio hayo!

Mara baada ya mashambulizi hayo kumalizika,taarifa mbalimbali zimeanza kutoka kupitia vyanzo mbalimbali!

Ukweli nguvu iliyotumika na madhara yake ni tofauti na ilivyotarajiwa na wengi! Madhara ni madogo mno kulinganisha maandalizi na nguvu kubwa iliyotumika! Hii imewashangaza zaidi wataalamu wa masuala ya kijeshi!

Iran ilisema mfumo wake wa ulinzi wa anga ulifanikiwa kukabiliana na mashambulizi ya Israeli kwenye maeneo yake ya kijeshi katika majimbo ya Tehran, Khuzestan, na Ilam, na kusababisha "uharibifu mdogo" katika baadhi ya maeneo.



View: https://twitter.com/worldupdates245/status/1850047504559091900

Wenyewe wametoa visingizio kama hiki kimoja wapo!

Afisa mwandamizi wa Marekani alisema kuwa Rais Joe Biden na timu yake ya usalama wamekuwa wakishirikiana na Waisraeli katika wiki za hivi karibuni kuhimiza Israel kufanya mashambulizi yenye hatari ndogo kwa raia na hicho ndicho hasa kilichotokea jioni ya leo.

Source: Reuters
 
Hapo na mm nashangaa ndege zimeingia na kupiga afu zinatoka salama.tunashangaaje sisi kama sio kuona iran hewa tu
Tumia akili basi au ndiyo mahaba! Punguza jazba!

26 October 2024

17:36 GMT


Israeli warplanes have conducted attacks on Iran from Iraqi airspace, according to Iran’s mission to the United Nations. The mission has gone on to accuse the United States of being complicit in the incident.

Iraqi airspace is under the occupation, command and control of the US military. Conclusion: The US complicity in this crime is certain,” the Iran UN mission says in a post on X.

 
Umeona israel na iran wakisema kiasi cha uharibifu. .?
Punguza uchizi kidogo!

Iran playing down attack is good news, says analyst​


The fact that Iran is downplaying Israel's strikes on the country is "good news," an analyst has told our US partner network NBC News.

Iran said earlier that the attacks caused only "limited damage in certain areas".

 
Swiss_Oerlikon_GDF_35_mm_Anti-aircraft_Gun_with_Skyguard_Fire_Control_System_1979.jpg
Mfumo wenyewe ndio huu 😆
 
Iran yakiri kushambuliwa kwa vituo vyake vya kijeshi na anga
 
Baada ya kushindwa ni mwendo wa visingizio!

Israel warned Iran ahead of latest strike – Axios​


Israel relayed a warning to Iran through several third parties ahead of its missile strike against the Islamic Republic on Saturday, Axios has reported, citing three anonymous sources.

According to the media outlet, West Jerusalem indicated what type of targets it would attack, while cautioning Tehran against retaliating.

 
Asa ndege zote 100 alafu matokea yake nn.
Kwani hizo ndege zilienda kutalii ?
Hadi wanapeleka ndege 100 hapo walitegemea kulipua maeneo mengi na kuleta mazara makubwa
Aibu waliopata heri wangepeleka vindenge viwili hata
Miunfombinu ya kijeshi imepigwa hadi viwanda vya kutengeneza makombora na drones. Ingekua Iran ina uhuru wa habari ungeona vizuri tu. Naona Iran nao wanataka kujitutumua walipize mapigo.
 
Miunfombinu ya kijeshi imepigwa hadi viwanda vya kutengeneza makombora na drones. Ingekua Iran ina uhuru wa habari ungeona vizuri tu. Naona Iran nao wanataka kujitutumua walipize mapigo.
Unajua tunashindwa kuwaelewa nyie em nenda basi kaokoteze ata satellite image kamoja tu yaan kamoja tu tuone vilivyopigwa hizo story mbona kila mtu anaweza kusema tu
 
Mifumo ya ulinzi ya Iran au ya Urusi, alafu sijaona Cha ajabu kwenye hiyo mifumo, ndege 100 zipo kwenye anga lako na umeshindwa kudondosha hata Moja? Aibu gani hii
Tuashum ndege mia ziko kweli kwenye anga la Iran halafu kila ndege kwa uchache tu ziachie missiles 4 hapo inakuja hesabu missiles 400 na ndege 100 jumla 500 na huna sapoti ya nchi yeyote uko mwenyewe je system zako zitalipua ndege ambayo itajiondokea baada ya kurusha au utalipua missiles kupunguza damage? Jaribu kuweka missiles 8 alafu jibu usinipe mimi Baki nalo
 
Back
Top Bottom