Mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran ilivyoishangaza dunia leo!

Nikitaka kucheka huwa nakuja hizi nyuzi za wa iran weusi na wayahudi weusi alooh zinachekesha sana 😂😂

Kwanza zinaonesha kwanini mkoloni kwa kweli alitutawala

Pili zinaonesha watu wasivyo na hata chembe ndogo ya intelligence systems za nchi zinafanya kazi

Niseme tu mnawafurahisha sana watu wa TISS 😂😂 wanaona wataendelea kusaidia ccm miaka na miaka
 
Upo mwakaleli tukuyu
 
Kuitegemea Iran ikiri kuwa kulikuwa na madhara kutokana na haya mashambulizi ni sawa na "kutegemea serikali ya chura kiziwi ikiri kuwa Tanzagiza Kuna utekaji na uuaji"

Kule israeli waandishi wa habari walizuiwa kupiga picha wakati Iran iliposhambulia
 
Kobaz wanasema wewe uwaonyeshe kwanza hizo ndege 100 zilipokua kwenye anga la IRAN ili na wao wakuonyeshe walivyo zitungua.
Jomba uwe na macho yanayo tymika kusoma news kwa mitandao au
 
Usitudanganye we zumbukuku hauongei na watoto wenzako.
Israel ilirusha makombora kutoka anga la Syria na Iraq.
Israel haikuingiza ndege anga la Iran.
 
Hio ni Simulation usitupange Mzee hivyo vigemu vya mchongo hata wewe unaweza kutengeneza na kuviweka X
We jamaa ni zumbukuku.
Hiyo simulation gani inakaa hivyo!?
Au unatuchukulia sisi hatuna ujuzi wa hivyo vitu!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…