Mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel yafanya kazi nzuri huko Jordan kupopoa makombola ya Iran!!

Mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel yafanya kazi nzuri huko Jordan kupopoa makombola ya Iran!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Kongole kubwa kwa Mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel: Jordan: Jeshi la Jordan linasema ulinzi wa anga ulizuia makombora 18 kati ya 20 ya balestiki yaliyorushwa kuelekea eneo la Jordan. Jeshi lilisema makombora mawili yaliyobaki yalianguka katika maeneo yasiyo na watu, bila vituo vya idadi ya watu kuathiriwa.

Jordan: Afisa mmoja wa Marekani aliiambia Reuters kwamba mashambulizi ya makombora ya Iran yaliyolenga kambi inayotumiwa na vikosi vya Marekani karibu na Al Azraq hayakuwa "na ufanisi" na kwamba wanajeshi wote wa Marekani walihesabiwa. Hata hivyo, jeshi la Marekani halijatoa taarifa iliyorekodiwa kuthibitisha majeruhi au uharibifu ulioelezwa katika kambi hiyo. Jordan inasema ulinzi wake wa anga ulikamata makombora 18 kati ya 20 ya Iran na kuripoti hakuna majeruhi.
 

Attachments

  • IMG_5841.jpeg
    IMG_5841.jpeg
    189.7 KB · Views: 13
Acha kupotosha, Ndege 8 zilipata damage yaani A10 moja ililipuliwa, na hizo F-15 zaidi ya 7 zilipigwa pia na kombora za Iran.

Na hii ni kwa mujibu wa Reuters. Wewe tuwekee source yako.
 
Acha kupotosha, Ndege 8 zilipata damage yaani A10 moja ililipuliwa, na hizo F-15 zaidi ya 7 zilipigwa pia na kombora za Iran.

Na hii ni kwa mujibu wa Reuters. Wewe tuwekee source yako.
Hizo ndege zimekuwa damaged kwa hisia!!! Maana hata Netanyahu mliua kwa Hisia!!!
 
Peleka documents zako ubalozini mapema visa yako ipo tayari
 
Peleka documents zako ubalozini mapema visa yako ipo tayari
Naona Majini yako yamepanda mpaka umeanza kuagiza Documents inabidi tukupeleke kwa Gwajima akuombee majini yako yakutoke!!
 
Back
Top Bottom