Migogoro inayoendelea duniani inathibitisha kutokuwepo kwa huyo Mungu anaye aminiwa kuwepo

Mto Songwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2023
Posts
6,683
Reaction score
14,060
Kwa hii migogoro mbalimbali inayo endelea kuwepo duniani inathibitisha bila shaka kutokuwepo kwa huyo Mungu anaye amini kuwepo.

Kauli ya Karl Marx kuhusu dini mpaka sasa bado inasimama wima.

Kiranga na kundi kubwa la atheists mpaka sasa hoja zao zina simama wima kwa haya yanayo endelea duniani na misimamo yao inazidi kuonekana bora siku hadi siku.
 
Toa hoja zako wewe kama wewe
Na sio kusimamia hoja za wanaume wenzio
umemaliza mkuu halafu kingine kwanini asiamini hiyo migogoro ni uthibitisho tosha wa huyo Mungu kuwapa wanadamu matumizi mbali mbali ya akili likiwemo na kufanya maamuzi magumu kama ya Hamas jumamosi kuamka na kuanza kurusha mawe kwenye nyumba ya jirani yenye madirisha ya chuma na jirani anaamua kujibu kwa kurusha mawe kwenye nyumba yenye madirisha ya vioo ya mwanzisha ugomvi?
 
20230915_053520.jpg
 
Sasa unacho shangaa ni ni kipi maana kwenye maandiko haya yo te yameandikwa kuwa kutakuwa na vita baina ya nchi na nchi. Kama Hayupo basi yasingetokea..

Yanayotokea yote haya yanathibitisha uwepo wake.
 
umemaliza mkuu halafu kingine kwanini asiamini hiyo migogoro ni uthibitisho tosha wa huyo Mungu kuwapa wanadamu matumizi mbali mbali ya akili likiwemo na kufanya maamuzi magumu kama ya Hamas jumamosi kuamka na kuanza kurusha mawe kwenye nyumba ya jirani yenye madirisha ya chuma na jirani anaamua kujibu kwa kurusha mawe kwenye nyumba yenye madirisha ya vioo ya mwanzisha ugomvi?
Hilo jinga mkuu tu
Limeanzisha uzi kwa kukurupuka kupitia hoja za watu wengine linajiona lina akili eti "hoja za kiranga zinathibitisha"

Ndio haya huwaga yanaliwa kiboga kwa kufuata mkumbo
 
Hiyo ndiyo inakuthibitishia kuwa Mungu yupo, kama unaweza na una nguvu imalize basi "migogoro", si mjanja sana wewe?
 
Sasa wewe mbona unaonekana unatema pumba kinoma? Mambo yote ya dini ni ya wanaume fulani, mbona wewe unashabikia hoja zao? Na kama swala la kufata mkumbo , hawa wazungu na waarabu waloleta hizi dini wangekuwa wameshakupakua zamani sana
 
Mungu wa Israel Jumamosi sijui alikuwa wapi, Siku iliyofuatia mungu wa wazee wa hamas naye akaingia mititini. Ila mbona shetani hajawahi kutosa wafuasi wake??
 
Umeanzisha uzi mwenyewe kusema Mungu hayupo
Leta uthibitisho wako kuna aliyekutuma ulete uzi?

Eti hoja za kiranga zako ziko wapi?
Sidhani hata kama umesoma shule
Wewe hoja zako ziko wapi? Hakuna lolote utakaloleta zaidi ya ideas za watu walizopika miaka 2000+ iliyopita. Watu wa dini wengi hawawezi kufikiria nje ya box because once you do the whole thing becomes pointless and stupid
 
Sasa wewe mbona unaonekana unatema pumba kinoma? Mambo yote ya dini ni ya wanaume fulani, mbona wewe unashabikia hoja zao? Na kama swala la kufata mkumbo , hawa wazungu na waarabu waloleta hizi dini wangekuwa wameshakupakua zamani sana
Unaona sasa ujinga wako ulipo?
Onesha sehemu nilipokubali uwepo wa Mungu na kutokuwepo kwake ..!

Ninachodai ni hoja za mleta mada ili tusome tuone madai yake. Hakuna yako wapi?

Hapa kinachoongelewa ni dini au Mungu?

Hujui hata kutofautisha jamani?

Wewe ndio wale wale pipa na mfuniko
 
Hiyo ndiyo inakuthibitishia kuwa Mungu yupo, kama unaweza na una nguvu imalize basi "migogoro", si mjanja sana wewe?
We bibie nae pumba kinoma. Sasa kuna mgogoro ambao mungu aliwahi kushuka akaumaliza? Watu waliteka msikiti ule wa al haram pale mecca kwa siku 14 na mungu hakuonekena hadi wanajeshi wa saudia walipoingia kuokoa jahazi. Acheni ungumbaru
 
Wewe hoja zako ziko wapi? Hakuna lolote utakaloleta zaidi ya ideas za watu walizopika miaka 2000+ iliyopita. Watu wa dini wengi hawawezi kufikiria nje ya box because once you do the whole thing becomes pointless and stupid
Nani aliyeleta uzi?
Alitakiwa kuleta hoja zake watu wajibu
Sawa na mtu anakuja anasema anauza bidhaa unauliza ziko wapi?
Anasema ziko nyumbani halafu tena ananiuliza zako ziko wapi?

Wakati mimi sio mfanyabishara
Hebu kuwa na mantiki kidogo basi mzee
 
Unaona sasa ujinga wako ulipo?
Onesha sehemu nilipokubali uwepo wa Mungu na kutokuwepo kwake ..!

Ninachodai ni hoja za mleta mada ili tusome tuone madai yake. Hakuna yako wapi?

Hapa kinachoongelewa ni dini au Mungu?

Hujui hata kutofautisha jamani?

Wewe ndio wale wale pipa na mfuniko
Sasa kuna mungu bila dini? We mbona kiazi sana😂ni wapi huko ambako kuna mungu afu bila dini?
 
Nani aliyeleta uzi?
Alitakiwa kuleta hoja zake watu wajibu
Sawa na mtu anakuja anasema anauza bidhaa unauliza ziko wapi?
Anasema ziko nyumbani halafu tena ananiuliza zako ziko wapi?

Wakati mimi sio mfanyabishara
Hebu kuwa na mantiki kidogo basi mzee
Kwanini wewe unayeamini mambo ya mungu na dini unadhani una hoja zako? Zote ni za watu wengine wamekumezesha. Acha ujuaji
 
Sasa kuna mungu bila dini? We mbona kiazi sana😂ni wapi huko ambako kuna mungu afu bila dini?
Nimeshajua sasa mkuu Huna akili ...!

Mungu ni nini kwanza tuanzie hapo ukijibu nikupe hela.

Tafsiri ya Mungu ni pana kuliko uelewa wako.
Mao ze Dong alikuwa anaji refer kama Mungu na wachina walimtambua kama Mungu
Kumbuka China yake Mao ilikuwa inafuata scientific socialism ya Karl marx unasemaje hapo??
 
We bibie nae pumba kinoma. Sasa kuna mgogoro ambao mungu aliwahi kushuka akaumaliza? Watu waliteka msikiti ule wa al haram pale mecca kwa siku 14 na mungu hakuonekena hadi wanajeshi wa saudia walipoingia kuokoa jahazi. Acheni ungumbaru
Mungu ashuke kutoka wapi na amepamba kote, yupo ulipo na usipo.

Aukichwani mwako una picha kuwa Mungu ni yule mzungu uliyedanganywa kuwa ni mungu wako?
 
Kwanini wewe unayeamini mambo ya mungu na dini unadhani una hoja zako? Zote ni za watu wengine wamekumezesha. Acha ujuaji
Umekurupuka na kudandia treni akili yako ni bado sawa kuelewa haya ninayokuambia.

Huwezi kuweka hoja pasipo na hoja maji hayawezi kupanda mlima
 
Back
Top Bottom