niquetamere
JF-Expert Member
- Jan 26, 2023
- 532
- 1,008
Labda kama alibadilika tabia baada ya agano la kaleMungu wa upendo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda kama alibadilika tabia baada ya agano la kaleMungu wa upendo
Ni wewe ndo ulianzisha matusi humu. Labda kama yameanza kukuingia baada ya kushughulikiwa. Keep it usiplay the nice guy card. You started abusing.Unajificha nyuma ya keyboard hapa unatukana ukute mama yako mzazi jf ina wenyewe mtoto wa juzi wewe.
😀😀
Namfahamu na nimesoma publication zake kama vile communism manifesto na das capitalism hivyo ninajua kiundani sio kama wewe unayetoa story kijiweni na kudanganya watu hapa .Wewe jamaa mattercall sana. So wewe Karl Marx unamjua? Kuna watu wana shobo *****🙌🏾
Kujadili vitu na mafala kazi sana. Ungetry and understand usingeandika same shit in different words. Jinga kabisa. Baki ubishane na mattercall wenzako.Abrahamic followers wanaamini Mungu mmoja
Kati yangu na mtoa mada angalia nani ameanzaNi wewe ndo ulianzisha matusi humu. Labda kama yameanza kukuingia baada ya kushughulikiwa. Keep it usiplay the nice guy card. You started abusing.
Shida uliparamia mambo juu. Juu jombaKujadili vitu na mafala kazi sana. Ungetry and understand usingeandika same shit in different words. Jinga kabisa. Baki ubishane na mattercall wenzako.
Basi baki na mwanamke mwenzio huyo mbibi faiza mjadiliane mambo ya mungu aliyefeli. Wanahizaya wakubwa nyie😂Kati yangu na mtoa mada angalia nani ameanza
Kwa kuwa uliparamia tu kwa mbele kama mavi ya asubuhi ndio maana ukaja juu juu
discuss haya na wanawake wenzakoShida uliparamia mambo juu. Juu jomba
Umeulizwa
Deism
Monotheism
Judaic
Abrahamic
Unawajua kwanza jibu twende
Mpaka sasa maskini kijana hata hujajua kinachoongelewaBasi baki na mwanamke mwenzio huyo mbibi faiza mjadiliane mambo ya mungu aliyefeli. Wanahizaya wakubwa nyie😂
Kakojoe sasa ukalale upeo wako mdogo hatukulaumu kwa hilo kale kitabudiscuss haya na wanawake wenzako
Jichekeshe tu, siku utakuja kushindiliwa madole hadi ushindwe kutembea.Mpaka sasa maskini kijana hata hujajua kinachoongelewa
Mwenzio kakimbia kaenda kusoma.
Kasome shule na uache kuvuta bange
😃😃
Kasome shule 😀😀Jichekeshe tu, siku utakuja kushindiliwa madole hadi ushindwe kutembea.
Bado hujasemaMungu ni hadithi zisizo na kichwa wala miguu.
Mungu wa kwenye biblia ni hadithi tu zisizo na kichwa wala miguu, hayupo.
Kumbe shida ni yeye mwenyewe kala mapera mengiHata ukipata constipation (kushindwa kunya) utadai Mungu hayupo kisa unapata tabu,hujiulizi Mungu kakataza kudhulumiana,kuuana nk
hadithi za Sungura na Fisi ni hadithi za kale zenye visa vya kubuni ila haziondoi ukweli kwamba hao viumbe wapo na hua tunawaona liveMungu ni hadithi zisizo na kichwa wala miguu.
Mungu wa kwenye biblia ni hadithi tu zisizo na kichwa wala miguu, hayupo.
Achana na hizo ngonjera, Mungu hayupo. Ni watu tu wasio na matumaini yoyote ndio wanaweza kuaminishwa huo ujinga.hadithi za Sungura na Fisi ni hadithi za kale zenye visa vya kubuni ila haziondoi ukweli kwamba hao viumbe wapo na hua tunawaona live
so hadithi yoyote hua haizungumzii vitu ambavyo havijawahi exist katika uhalisia
hivyo cool jambo usipolielewa haimaanishi halieleweki ila ni ujinga tu unakusumbua
ukikua utajua na utaacha!
punguza stess enjoy maisha mkuu kwani huyo Mungu akiwepo au asipokuwepo kwa akili yako unadhani kuna nongwa basi,Achana na hizo ngonjera, Mungu hayupo. Ni watu tu wasio na matumaini yoyote ndio wanaweza kuaminishwa huo ujinga.
Sijui hata kama shule ulienda, na kama ulienda sijui kama ulimaliza hata darasa la 7.punguza stess enjoy maisha mkuu kwani huyo Mungu akiwepo au asipokuwepo kwa akili yako unadhani kuna nongwa basi,
ni vile umeamua kujipa faraja tupu kwa kusema hayupo ila powa tu hainihusu!
hoja gani punguza stess wewe?Sijui hata kama shule ulienda, na kama ulienda sijui kama ulimaliza hata darasa la 7.
Badala ya kujibu hoja umekalia kunishambulia personally, mara nina stress, sijui nini, sasa sijui umekua mke wangu hadi ujue mood zangu zikoje hata sielewi.
Nina stress ama sina sio hoja, hoja ni uwepo wa mungu. Jadili hoja achana na mimi. Mimi kua na stress ama kutokua nazo bado hujajibu hoja kwamba mungu hayupo.
Shida ya Jamii Forum unajikuta unajibizana na watu wenye shule ndogo, exposure ndogo, uelewa mdogo na akili ndogo na vitu kama hivyo. Hawajibu hoja, hawana hoja, hukimbilia kutukana watu. Tatizo kubwa sana.