Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
umemaliza mkuu halafu kingine kwanini asiamini hiyo migogoro ni uthibitisho tosha wa huyo Mungu kuwapa wanadamu matumizi mbali mbali ya akili likiwemo na kufanya maamuzi magumu kama ya Hamas jumamosi kuamka na kuanza kurusha mawe kwenye nyumba ya jirani yenye madirisha ya chuma na jirani anaamua kujibu kwa kurusha mawe kwenye nyumba yenye madirisha ya vioo ya mwanzisha ugomvi?Toa hoja zako wewe kama wewe
Na sio kusimamia hoja za wanaume wenzio
Hilo jinga mkuu tuumemaliza mkuu halafu kingine kwanini asiamini hiyo migogoro ni uthibitisho tosha wa huyo Mungu kuwapa wanadamu matumizi mbali mbali ya akili likiwemo na kufanya maamuzi magumu kama ya Hamas jumamosi kuamka na kuanza kurusha mawe kwenye nyumba ya jirani yenye madirisha ya chuma na jirani anaamua kujibu kwa kurusha mawe kwenye nyumba yenye madirisha ya vioo ya mwanzisha ugomvi?
Sasa wewe mbona unaonekana unatema pumba kinoma? Mambo yote ya dini ni ya wanaume fulani, mbona wewe unashabikia hoja zao? Na kama swala la kufata mkumbo , hawa wazungu na waarabu waloleta hizi dini wangekuwa wameshakupakua zamani sanaHilo jinga mkuu tu
Limeanzisha uzi kwa kukurupuka kupitia hoja za watu wengine linajiona lina akili eti "hoja za kiranga zinathibitisha"
Ndio haya huwaga yanaliwa kiboga kwa kufuata mkumbo
Wewe hoja zako ziko wapi? Hakuna lolote utakaloleta zaidi ya ideas za watu walizopika miaka 2000+ iliyopita. Watu wa dini wengi hawawezi kufikiria nje ya box because once you do the whole thing becomes pointless and stupidUmeanzisha uzi mwenyewe kusema Mungu hayupo
Leta uthibitisho wako kuna aliyekutuma ulete uzi?
Eti hoja za kiranga zako ziko wapi?
Sidhani hata kama umesoma shule
Unaona sasa ujinga wako ulipo?Sasa wewe mbona unaonekana unatema pumba kinoma? Mambo yote ya dini ni ya wanaume fulani, mbona wewe unashabikia hoja zao? Na kama swala la kufata mkumbo , hawa wazungu na waarabu waloleta hizi dini wangekuwa wameshakupakua zamani sana
We bibie nae pumba kinoma. Sasa kuna mgogoro ambao mungu aliwahi kushuka akaumaliza? Watu waliteka msikiti ule wa al haram pale mecca kwa siku 14 na mungu hakuonekena hadi wanajeshi wa saudia walipoingia kuokoa jahazi. Acheni ungumbaruHiyo ndiyo inakuthibitishia kuwa Mungu yupo, kama unaweza na una nguvu imalize basi "migogoro", si mjanja sana wewe?
Nani aliyeleta uzi?Wewe hoja zako ziko wapi? Hakuna lolote utakaloleta zaidi ya ideas za watu walizopika miaka 2000+ iliyopita. Watu wa dini wengi hawawezi kufikiria nje ya box because once you do the whole thing becomes pointless and stupid
Sasa kuna mungu bila dini? We mbona kiazi sana😂ni wapi huko ambako kuna mungu afu bila dini?Unaona sasa ujinga wako ulipo?
Onesha sehemu nilipokubali uwepo wa Mungu na kutokuwepo kwake ..!
Ninachodai ni hoja za mleta mada ili tusome tuone madai yake. Hakuna yako wapi?
Hapa kinachoongelewa ni dini au Mungu?
Hujui hata kutofautisha jamani?
Wewe ndio wale wale pipa na mfuniko
Kwanini wewe unayeamini mambo ya mungu na dini unadhani una hoja zako? Zote ni za watu wengine wamekumezesha. Acha ujuajiNani aliyeleta uzi?
Alitakiwa kuleta hoja zake watu wajibu
Sawa na mtu anakuja anasema anauza bidhaa unauliza ziko wapi?
Anasema ziko nyumbani halafu tena ananiuliza zako ziko wapi?
Wakati mimi sio mfanyabishara
Hebu kuwa na mantiki kidogo basi mzee
Nimeshajua sasa mkuu Huna akili ...!Sasa kuna mungu bila dini? We mbona kiazi sana😂ni wapi huko ambako kuna mungu afu bila dini?
Mungu ashuke kutoka wapi na amepamba kote, yupo ulipo na usipo.We bibie nae pumba kinoma. Sasa kuna mgogoro ambao mungu aliwahi kushuka akaumaliza? Watu waliteka msikiti ule wa al haram pale mecca kwa siku 14 na mungu hakuonekena hadi wanajeshi wa saudia walipoingia kuokoa jahazi. Acheni ungumbaru
Umekurupuka na kudandia treni akili yako ni bado sawa kuelewa haya ninayokuambia.Kwanini wewe unayeamini mambo ya mungu na dini unadhani una hoja zako? Zote ni za watu wengine wamekumezesha. Acha ujuaji