ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
- #21
Aiseee aibu yako Red blackLazima ule chuma ukileta tamaa ya mali ambayo hujaifanyia kazi.
Hapo kuna kuwa hakuna majuto
Aiseee aibu yako Red blackLazima ule chuma ukileta tamaa ya mali ambayo hujaifanyia kazi.
Hapo kuna kuwa hakuna majuto
Ukigundua hivyo achaneni kwa amaniKwenye ndoa madharau hayafai hata kidogo. Imagine unatafuta Mali kwa miaka mingi, ukipata mtu mmoja anaanza kumtafuta mwanasheria kwa Siri.... 🤔
Tamaa yako ya mali ambayo hujaitolea jasho ndio itakupeleka kaburiniAiseee aibu yako Red black
TUTUBU na kumwamini YESU....Tia neno
Nisipogundua naruhusiwa kuua, siyo?Ukigundua hivyo achaneni kwa amani
Huna haja ya kuua
Wenzio wameng'ang'ana mali maliNikiangalia chanzo kikuu hapo naona ni wivu wa mapenzi.
Huu wivu wa mapenzi unasababishwa na nini?
Kwa mtasamo wangu naona sababu ni usaliti, kutokuwa waaminifu kwenye mahusiano kunakofanywa na wanawake.
Kama wanawake wangetulia njia kuu, naamini kwa kiasi kikubwa wangepunguza tatizo la mauaji kwao.
Sasa inaonekana kama vile wanaume ndio wenye mapenzi ya dhati kwa wanawake wao, au kama wanawake huamua kuchepuka ili kulipa kisasi kwa wanaume wao, never know.
Endelea kuwafundisha wenzio ujingaWanaume wengi wao ni maboya sana kwa wanawake, wanawake wanaendesha maisha yao, mwanaume si lolote wala chochote mbele ya mwanamke ndio maana wivu, wasiwasi, kutokujiamini vyote anavivaa yeye, pia wana ushenzj mmoja wakiwa na mwanamke huhisi yule mwanamke kamuumba yeye au kaumbiwa yeye anajimilikisha mazima, akija kupigwa tukio au hata kuhisi tofauti utaona anavyokua mbogo,
Wanaume ni mafala sana mbele ya mwanamke
Mauti mbele mbele yao!Tamaa mbele
Na wewe lazima ukaozee jela, kule si unajua marufuku kuokota sabuni ikidondokaEndelea kuwafundisha wenzio ujinga
Ukileta tamaa ya mali lazima ule chuma