Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 18,719
- 60,636
Unapigwa chuma then tunahama nchiNa wewe lazima ukaozee jela, kule si unajua marufuku kuokota sabuni ikidondoka
Unapigwa chuma then tunahama nchiNa wewe lazima ukaozee jela, kule si unajua marufuku kuokota sabuni ikidondoka
Sijui nini kifanyike bado kuna wanawake wanadhani kua mwanamke bora ni kulamba miguu ya mwanaumeSa hivi wameng’ang’ania ka point kao ka tamaa ya mali, hizo takwimu hapo ngapi zinaonesha mauaji yamefanyika sababu ya tamaa/ugomvi wa mali?
Mi natoa wito kwa wanawake wenzangu, it’s either muwe wapole au muache kuhusiana na hawa watu, Walahi mtaisha kweli.
Naunga mkono hoja mkuu asante kwa maoniMauaji ya wapenzi yanatokana na wivu, mfumo dume, na ukatili wa majumbani, na yanaweza kukomeshwa kwa kuelimisha jamii, kuimarisha sheria, na kutoa msaada wa kisaikolojia.
• Vyanzo vya Tatizo:
• Wanaume kuwa na wivu uliopitiliza na kutaka kumdhibiti mwanamke kama mali yao binafsi.
• Historia ya vipigo na vitisho vya mara kwa mara ndani ya uhusiano ambayo haikuchukuliwa hatua mapema.
• Imani potofu za mfumo dume zinazompa mwanaume mamlaka kamili na kuhalalisha matumizi ya nguvu.
• Ukosefu wa mbinu salama za kukabili maumivu ya kihisia kama vile kukataliwa, usaliti, au kuachwa.
• Misongo ya mawazo inayotokana na umaskini pamoja na matumizi mabaya ya pombe na dawa za kulevya.
• Hatua za Kuchukua:
• Kufundisha jamii kuhusu usawa na kuheshimu uhuru wa maamuzi wa kila mwanachama katika mahusiano.
• Kuwasaidia wahanga kuondoka haraka na salama pindi tu viashiria au vitisho vya ukatili vinapoanza kuonekana.
• Kutoa elimu ya afya ya akili na kuhamasisha wanaume kutafuta ushauri wa kisaikolojia wanapopitia migogoro.
• Kutoa adhabu kali sana kwa wanyanyasaji na kuongeza vituo salama vya dharura vya kulinda wahanga wa ukatili.
• Kutumia viongozi wa dini na mila kukemea ukatili na kufundisha mbinu za amani za kusuluhisha migogoro.
*Mwanamke kama huna Nia ya dhati na mwanaume usile pesa yake
Na wewe unaenda kuozea jela maisha yako yote, unasifia kuua kama vile huyo mwanamke una hati miliki nae, wafundisheni wadogo zenu kua dunia hii cha peke yako kaburi tuEnyi wanawake, acheni tamaa ya pesa na maisha makubwa, huku mkiwachaganya wanaume na kuwaaminisha kuwa wako peke yao. Hakuna mwanaume atawekeza kwako kwa 100% halafu aje kujua umechezea hisia zake, pesa zake na muda wake akuache tu, atakufanya vibaya, utauwawa.
Hawa wapuuzi tuwafanyeje ?Wanaume wengi wao ni maboya sana kwa wanawake, wanawake wanaendesha maisha yao, mwanaume si lolote wala chochote mbele ya mwanamke ndio maana wivu, wasiwasi, kutokujiamini vyote anavivaa yeye, pia wana ushenzj mmoja wakiwa na mwanamke huhisi yule mwanamke kamuumba yeye au kaumbiwa yeye anajimilikisha mazima, akija kupigwa tukio au hata kuhisi tofauti utaona anavyokua mbogo,
Wanaume ni mafala sana mbele ya mwanamke
Mbona unakimbilia maliTamaa yako ya mali ambayo hujaitolea jasho ndio itakupeleka kaburini
Wanaume wengi wao ni maboya sana kwa wanawake, wanawake wanaendesha maisha yao, mwanaume si lolote wala chochote mbele ya mwanamke ndio maana wivu, wasiwasi, kutokujiamini vyote anavivaa yeye.
Kwa mali gani acheni kuua wanawake Hivi hata ukingalia hizo takwimu hapo juu unaona chanzo kikuu ni mali au wivu ?Enyi wanawake, acheni tamaa ya pesa na maisha makubwa, huku mkiwachaganya wanaume na kuwaaminisha kuwa wako peke yao. Hakuna mwanaume atawekeza kwako kwa 100% halafu aje kujua umechezea hisia zake, pesa zake na muda wake akuache tu, atakufanya vibaya, utauwawa.
Serikali itupe umiliki wa silaha za moto, ni mwendo wa kujibu mapigo tu, hahahahaHawa wapuuzi tuwafanyeje ?
Imekuchukua muda gani kugundua hili?Nje ya mada: Nakushauri fungua shirika lako, upiganie haki za wanawake. Naona u feminist unakufaa sana.
Huna haki ya kuua no matter whatNisipogundua naruhusiwa kuua, siyo?
Karne hii watu hawafundishwi tena, watu wanaona, wanasoma, wana'apply. Hata watoto siku hizi hawafundishwi kivile tena, so swala la kushauri watu tuliache kabisa.Na wewe unaenda kuozea jela maisha yako yote, unasifia kuua kama vile huyo mwanamke una hati miliki nae, wafundisheni wadogo zenu kua dunia hii cha peke yako kaburi tu
Hakika waliofanyiwa ukatiliNa nyie wanawake mjichunge sana kama hamuwezi kupimana afya ya akili basi angalau uwe na clue, ukiona mtu mmepishana kidogo amebadilika uso na macho au amekuzaba kibao kimbiaaaaa huyo mshenzi kuna siku atakuua, usivumilie kipigo wala udhalilishaji, mwisho wa siku utazikwa mapema
Japo sijaelewa point yako ila nikwambie tu wanaume wanaua hata wanawake waliowatongoza wakawakataa, wanaume ni mafala sana na wengi wao wanauchizi ule wa asili kabisa, wanawake hawajawahi kua salama dhidi ya huyu kidudu mwanaumeMishangazi yenye maisha yao ni mingapi inauliwa? Yaan Dr. Mariposa wanawake wanaoendesha maisha yao bila kumtegemea mwanaume kama unavyodai ni mwanaume gani atakuua hata kama utamfanyia ujinga? Be realistic
Hapo kwenye takwimu umeona nini.?Tamaa mbele
Hizo zimepikwa achana nazoMbona unakimbilia mali
Hivi umesoma hizo takwimu?