Migogoro ya kimahusiano: Janga kwa Wanawake Tanzania

Migogoro ya kimahusiano: Janga kwa Wanawake Tanzania

Duniani lazima tupungue ili vinavyozaliwa vipate pa kuishi, na the weakest will die first.

Usicheze na hisia za mtu hasa mwanaume, atakuuwa halafu tutasikitika tu. Sheria ziliwekwa ili zivunjwe, sina haki ya kuuwa ila kama mtu akivuka mstari watu wanauwa tu. Binafsi nitakuachia kila kitu niondoke nikaanze upya coz nina nguvu, afya, akili na uwezo wa kutafuta.

Mwingine hatakubali kuumizwa, atakuuwa, so ukiona unaweza kupambana just go ahead, ila sisi tutahuzunika for few days na maisha yatasonga.
Nimeshindwa kuelewa hata point yako
Yaan wewe binafsi unasema huwezi kufanya hivyo

Ila ni kama una wakingia kifua wanaofanya hivyo kwanini usiwashauri wawe kama wewe eleweka basi babu
 
Hayajakukuta, na umri ukiwa umesonga mpumbavu mmoja anakufanya uanze upya regardless kwa sucrifice zote ulizofanya kwake
Sa hivi wameng’ang’ania ka point kao ka tamaa ya mali, hizo takwimu hapo ngapi zinaonesha mauaji yamefanyika sababu ya tamaa/ugomvi wa mali?

Mi natoa wito kwa wanawake wenzangu, it’s either muwe wapole au muache kuhusiana na hawa watu, Walahi mtaisha kweli.
Bila kulambana tutaishije labda wakasomee usister.mtu anakula Milo 3 kudibuana lazima .
 
Wanaume wengi wao ni maboya sana kwa wanawake, wanawake wanaendesha maisha yao, mwanaume si lolote wala chochote mbele ya mwanamke ndio maana wivu, wasiwasi, kutokujiamini vyote anavivaa yeye, pia wana ushenzj mmoja wakiwa na mwanamke huhisi yule mwanamke kamuumba yeye au kaumbiwa yeye anajimilikisha mazima, akija kupigwa tukio au hata kuhisi tofauti utaona anavyokua mbogo,

Wanaume ni mafala sana mbele ya mwanamke
Pesa inauma,wewe ukienda kuliwa unalipa ela ya chakula &,MATUMIZI mengneo .si analipa mwanaume .

Hizo ni gharama au makaratasi
 
Ukitumia takwimu za physical violence ni kweli wanawake wanauliwa sana,but amini kuwa kwenye mahusiano wanaume wanauliwa sana zaidi ya wanawake.
Wanawake wengi wanaua wanaume kwa sumu kupitia chakula na vinywaji,hivyo huwa sio rahisi kuthibitika.Wanaume wenyewe hawana access ya kutumia sumu hivyo wanafanya direct violence.

2.Angalia nchi kama Soud Arabia,mwanaume 1 anaoa wanawake au 3 lakini huwezi sikua hata siku moja mke wake amesaliti-why huku kwetu.
 
Nimeshindwa kuelewa hata point yako
Yaan wewe binafsi unasema huwezi kufanya hivyo

Ila ni kama una wakingia kifua wanaofanya hivyo kwanini usiwashauri wawe kama wewe eleweka basi babu
Unachoshindwa kuelewa nini, its a general topic tunaiongelea jamii kwa ujumla.

Nikiweza kuhimili mimi, haimaanishi wengine wataweza, tunatofautiana kwa mengi sana. So, bado tunabaki pale pale, walk on your lane, la sivyo kweli wanaume watawauwa.
 
*Kikubwa wanaume tusiue ila wanawake usile pesa ya mwanaume kama Hauna malengo nae .
*Mwanamke muache tamaaa kama mwanaume hakufai acha Mali zake ukaolewe pengine
*mwanamke humpendi mwanaume Bado pesa yake unakula


Na kwa sasa hali ya uchumi ni mbaya mtakufa kama SISImizi
Narudia wanaume tusiue wanawake
 
Wenzio wameng'ang'ana mali mali
Ukute huyo mtu ana ki IST cha mkopo

Upo sahihi takwimu zinaonesha wengi wameuwawa kutokana na wivu wa kimapenzi

Lakini unaposema et wanauwa kisa usaliti
Ni nani mwenye haki ya kuua mwingine kisa kasalitiwa ?

Kwanza ukute hata huo ushahidi wa kusalitiwa hana

Na mbona wanawake wakisalitiwa hawauwi

Huoni kama nyie wanaume mna roho ndogo sana na makatili kwanini usimuache mwanamke kama unaona amekusaliti
Siamini kama mwanaume anaweza fikia stage ya kuua kama hana ushahidi wa kosa la mwanamke.

Suala la ukubwa wa adhabu anayoitoa mwanaume kwa mwanamke mostly inasababishwa na physical nature ya mwanaume.

Wanawake hamna nguvu za kumpiga mwanaume, labda wachache wenu, hata kwenye adhabu lazima mtachagua mnayoimudu ambayo mara nyingi huwa ni kulipa kisasi.

Lakini kusema wanaume ni dhaifu sioni kama ni sahihi, wanawake ndio dhaifu zaidi ya wanaume mifano ipo mingi.

Hata hilo la kutokuwa waaminifu kwenye mahusiano yenu ni uthibitisho mwingine wa udhaifu wenu.
 
Back
Top Bottom