ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
-
- #601
Sasa kaka ukiua unadhani utapata furaha?HAKUNA PLEASE OR PLIIIIIZZZZZ
UKIWEKA TAMAA MBELE,,,,,KIFUATACHO ITV KILA MTU ANAKIJUA.
TAFUTENI VYENU HAKUNA KITONGA,UKITAKA KITONGO UTAKIPATA CHA MTEMA KUNI.
Haibadilishi uhalisia wa jambo ndio,ila angalau ukimuwahisha mavumbini huyo kibaka inarudisha heshima!Sasa kaka ukiua unadhani utapata furaha?
Au majuto ya milele?
Bora muachane kwa amaniHaibadilishi uhalisia wa jambo ndio,ila angalau ukimuwahisha mavumbini huyo kibaka inarudisha heshima!
KWETU SISI WANAUME RESPECT NI TUNU!!!Bora muachane kwa amani
Hiyo njia ya kuua hakuna faida utaozea magereza
Aiseee we jamaa una roho ngumu sana π’ usiwe hivyo badili mtazamoKWETU SISI WANAUME RESPECT NI TUNU!!!
ANAYEKUVUNJIA HESHIMA YAKO ANATAKIWA ASHUGHULIKIWE KINAGAUBAGAπππ
TUNARISK VITU VINGI KWENYE HAYA MAISHA,NDIO MAANA UNAONA WANAOJARIBU KUPINGANA NA MFUMO WANAFYATULIWA NA KUWAHISHWA MAVUMBINI.
KISASI KWA MWANAUME NDIO KITU PEKEE KINAPONYA MAJERAHA YAKE.UNGEKUWA MWANAUME UNGEELEWA.
WANAUME TUMEUMBWA KITOFAUTI, HATUSAMEHI KIRAHISI HASA MAKOSA YANAYOTIKISA UANAUME!!!
Niambie mjukuu πsecretarybird unataka kuema jeπ
Mimi niwe mjukuu wako ebooooπNiambie mjukuu π
Unataka kusema wewe ni kitukuu changu?! Aah! Hebu usizidi kunizeesha bhana!Mimi niwe mjukuu wako ebooooπ
Nikufundishe jinsi ya kuandika bila kukoleza mwandiko babuπ πUnataka kusema wewe ni kitukuu changu?! Aah! Hebu usizidi kunizeesha bhana!
Nataka unifundishe namna ya kufanya mwandiko kukolea zaidi.Nikufundishe jinsi ya kuandika bila kukoleza mwandiko babuπ π
Unazeeka vibaya lol πNataka unifundishe namna ya kufanya mwandiko kukolea zaidi.
Mbona ni cha kawaida tu. Ukiona kila cha akina Nyani Ngabu utasemaje πUnazeeka vibaya lol π
Hivi kwanini hua unaongea kiswahili cha ndani ndani
Sijawahi kumfatilia uandishi wake πMbona ni cha kawaida tu. Ukiona kila cha akina Nyani Ngabu utasemaje π
Acha kabisa yaani! π₯Sijawahi kumfatilia uandishi wake π
Ngoja nitaangalia akiandika
Haya sawa ndege mdinyaAcha kabisa yaani! π₯