Migogoro ya kimahusiano: Janga kwa Wanawake Tanzania

Naona umenishutumu kwelikweli kwenye rununu mazee,walae!
Unaweza kuua kwa sababu ya kei?
Halafu humu mnajifanya kuzinanga eti ni mbaya 😀 hivi nyie wanaume mnajua mnachotaka kweli ?

Mbona mnavyosema hatujui tunachotaka ni kama mnatusingizia!
 
Nikimkuta mke wangu unadinywa namuacha,tu yeye ni mke wangu,kwa kuwa kwake mke wangu haimaanishi naimiliki mbunye yake,ile ni.mali yake amekuja nayo duniani,alikuwa nayo kabla hajawa na mimi na wengi tu wameitwanga,Nikibaini mwanamke anacheza na mali yangu niliyoitafuta katika katika kipindi cha nusu ya umri wangu au hata robo tatu,namuua.Kwa kuwa mali yangu ni bora kuliko yeye.Ahsante
 
Angalizo msomaji wangu bandiko ni refu kidogo
Naomba uwe mvumikivu katika usomaji wako
Karibu sana kwenye mada 😊

Hello Great Thinkers 🫡

Katika pita pita zangu huko IG nimekuta kuna dada mmoja amepost kuhusu vifo vinavyotokana na migogoro ya kimahusiano hapa Tanzania 🇹🇿

Nimekuwa shocked baada ya kuona takwimu zinaogopesha na kushangaza
Ikanisukuma niende kwenye mtandao ku search na nione hali ilivyo kwa kujihakikishia mimi tomaso nimeshtushwa
Sikujua hali ni mbaya kwa ukubwa huu!

Nimepigwa butwaa
Hali inatisha

Chanzo cha takwimu (LHRC Tanzania)

Niweke sawa hapa
Hizi takwimu ni kati ya mwaka 2019_2023

Hebu tuangalie hizi takwimu za mauaji yanayohusisha wenza wa kimapenzi Tanzania

2019: LHRC ilirekodi wanawake 12 waliouawa na waume/wenza wao ambapo 8 ya matukio hayo yalihusishwa na wivu

2020: LHRC ilirekodi wanawake 32 waliouawa na waume/wenza wao, ambapo 23 ya matukio hayo yalihusishwa na wivu
Hii ilikuwa zaidi ya mara mbili ya matukio yaliyorekodiwa mwaka 2019

2021: LHRC ilirekodi jumla ya matukio 35 ya mauaji yaliyohusisha wenza wa kimapenzi
Kati ya waathirika hao, 31 walikuwa wanawake na 4 wanaume, huku wanawake wakiwa takribani 89% ya waathirika
Pia, 72% ya matukio hayo yalihusishwa na wivu

2022: Kulikuwa na matukio 33 ya mauaji yaliyohusisha wenza wa kimapenzi
Kati ya waathirika, 31 walikuwa wanawake na 2 wanaume, wanawake wakiwa takribani 94% ya waathirika. 52% ya matukio hayo yalihusishwa na wivu

2023: LHRC ilirekodi matukio 50 ya mauaji yaliyohusisha wenza wa kimapenzi, ikiwa ni ongezeko la matukio 17 ukilinganisha na mwaka 2022
Kati ya waathirika hao, 45 walikuwa wanawake na 5 wanaume, wanawake wakiwa 90% ya waathirika. Takribani 46% ya matukio yalihusishwa na wivu.

Mjumuisho 2019–2023: Jumla ya matukio 162 ya mauaji yaliyorekodiwa katika takwimu hizi. Kati ya waathirika waliotajwa, wanawake ni 151

Mjadala👇

Sitaki kusema hakuna wanawake wanaofanya ukatili
Tumeona wapo na siwezi kufumbia macho hili hata kidogo

Wanawake wenzangu JF hakuna haja ya kukatisha maisha ya mtu kwa sababu tu ya mapenzi au migogoro mbalimbali
Ukiona mzigo ni mkubwa, tafuta msaada
Usimue mtu
Huna haja ya kuua, hilo sio jukumu lako

Kwa sababu hata usipomuua, kwa nature ya mwanadamu kila mtu lazima atakufa siku yake

Nina hakika wanaofanya mauaji huishia kwenye majuto ya milele

Tuje kwa wanaume ambao ni tishio...

Enyi wanaume, acheni kuua wanawake
Hawa ni mama zenu, dada zenu, wadogo zenu
Hakuna mwenye haki ya kuua mwingine kwa sababu tu amesalitiwa, amevunjwa moyo au amekataliwa

Ukihisi umefika sehemu huwezi kujidhibiti, tafuta msaada
Tafuta hata wataalamu wa saikolojia
Kama umechanganyikiwa na hujui ufanye nini, ongea uponeeee

Acha kubeba uchungu peke yako. Tafuta mtu wa kuongea naye
Kama unaogopa jambo lako kutangazwa, tafuta hata mtu asiyekujua, funguka na zungumza

Usiue Please
Hakuna mwenye haki ya kuua mwingine

Kama unaona hakuna future kwenye mahusiano, jikatae mapema na muachane kwa amani

Niseme hili👇
Wanaume, mkubali mkatae, mna udhaifu ambao mnatakiwa kuushinda
Kujifunza kustahimili maumivu rejection usaliti na kuvunjika moyo ni sehemu ya kukomaa

Chukulieni mfano hata hapa jukwaani
Watu wanaoongoza kuwakalia kooni wengine ni wanaume nyie hapo🫵
Nasikia wengine wanapita mpaka PM wakisambaza picha za wanawake ambao hawana hata uhakika nao
Kitu ambacho ni nadra kwa wanawake kufanya

Kuweni wakomavu
Jifunzeni kustahimili

Mbona wanawake wanahangaika na maisha?
Unakuta mama kaachiwa watoto, anakomaa na haui mtu
Amedhulumiwa anatulia

Anamfumania mume wake kitandani, tena na house girl kwenye kitanda chake mwenyewe lakini mama anapiga moyo konde

Mnazalisha nje huko, wanawake wanapiga moyo konde

Enyi wanaume, nyie mna roho za barafu?
Wanawake wana roho za chuma?

Sitetei yeyote
Sitetei mwanamke msaliti wala mwanaume msaliti

Lakini ukiona umeshindwa kabisa kuendelea na mahusiano, achaneni kwa amani

Tatizo ni nini mpaka hali imefika hivi?

Karibu tujadili kwa pamoja
Na kuelemishana 🙏🙏

ShesRise_1 ✋️
Mwanaume anaye ishi kwa hisia au seriously jari hisia zake zaidi kutumia akili yake an

Hisia ni uongo. kwa wanaume hisia ni wrong version ya mwanaume.
 
Mwanaume kua na hisia sio jambo la ajabu kwa sababu kwa nature ya Mwanadamu hilo sio la kushangaza

Issue ni anaweza je kuamua baada ya kupata hisia fulani

Maana yake ukomavu wako Mwanaume tutauona baada ya kufanya maamzi unapopatwa na hisia fulani
 
Nikimkuta mke wangu unadinywa namuacha,tu yeye ni mke wangu,kwa kuwa kwake mke wangu haimaanishi naimiliki mbunye yake,ile ni.mali yake amekuja nayo duniani,alikuwa nayo kabla hajawa na mimi na wengi tu wameitwanga,
Safiii
Nikibaini mwanamke anacheza na mali yangu niliyoitafuta katika katika kipindi cha nusu ya umri wangu au hata robo tatu,namuua.Kwa kuwa mali yangu ni bora kuliko yeye.Ahsante
Baada ya kumuua una uhakika hiyo mali utaitumia tena au utaozea magereza huku hiyo mali yako ya jasho na damu watu baki wakiibagaza ?

Umewahi kufikiri kuhusu hilo?
 
Nadhani ungezingatia tu neno nitamkatilia mbali,mengine niachie mwenyewe.Kweka ni mtu wa maana sana
Yoooo 😢
Badili mtazamo bro
Inamaana maisha yako ni yalikua ya dhiki sana au mpaka sasa ni ya dhiki

Mpaka unawaza kuua kwa sababu ya mali?
Usiue unaweza kufata sheria
Utasaidiwa
 
hivi bongo hakuna mahusiano na ndoa zile za mikataba kama ilivo katika mataifa mengine? kuna namna inaweza kupunguza hili
 
HAKUNA PLEASE OR PLIIIIIZZZZZ

UKIWEKA TAMAA MBELE,,,,,KIFUATACHO ITV KILA MTU ANAKIJUA.

TAFUTENI VYENU HAKUNA KITONGA,UKITAKA KITONGO UTAKIPATA CHA MTEMA KUNI.
 
Back
Top Bottom