Migogoro ya kimahusiano: Janga kwa Wanawake Tanzania

Sasa ila jamani kwanini umeolewa na hutaki kutoa mbunye? mambo mengine bhana nayo yanafikirisha sana!

Hutaki kutoa mbunye, umenuna, umevimba mashavu lakini firigisi za baba wa watu huziachi.

Kwenye firigisi wewe ndo bingwa, unabugia kweli kweli unachanganya na vipapatio vilivyonona.

Lakini kutoa mbunye unagoma, unaenda kumpa bodaboda.

Kwa kweli unaweza ukabamizwa sana. Bora kama hutaki kutoa mbunye kwa mumeo uondoke mapema na sio kufakamia firigisi zake bure bure bila kushenyentwa.
 
✌️

Sasa anzeni kusema mtoe uchungu
Ikibidi kama ni kulia lia piga yoweeee

Eti! mwanaume unapiga nduru/yowee kisa umeachwa au umegongewa😂😂😂. Hii ni ngumu sana kwetu mkuu

Labda tupate app ya kuongea nayo kwenye simu. Lakini mwanaume wa kweli akiachwa au kusalitiwa huelekeza nguvu zote kwenye kutafuta fedha.
Jifunzeni ku move on bana ebooooo

Hoja imepita bila kupingwa, Wanaume wenzangu ukisalitiwa just move on.

Baadhi yeenuuu mna roho za kuku mtu akihisi mke au bby wake ana m cheat pureshaaa inapanda na kushuka

Huku yeye ni msaliti mtiifu

Wanaume tunakuaga na wivu sana kwa wake zetu, hivyo wanawake nao inabidi mjifunze ukiolewa jitahidi kuficha/kuondoa makandokando yooote.

Naunga mkono
🤝🤝🤝
Hatujasema tuwe sawa ila nature inaonesha tofauti yetu ni ndogo sana

Sasa hizo tofauti zetu ndio ziheshimiwe, mwanamke silaha yake mdomo mwanaume silaha yake nguvu. Hakikisha maneno yako yanamipaka. Nguvu kubwa isije ikatumika kama jeshi ra polisi😂😂😂💔💔💔💔

Eeeh , nashindwa kuaelewa (mchina voice)😀😀😀
Lugha Gani unaelewa vizuri nikutafsirie😆😆😆

Hawa ndio kina marioo
Shida tukikimbia mnasema hatuna subira

Mungu na mbio ndio viokozi hapa duniani, ukitaka maneno mtajikuta mahakamani au kaburini.

Kimbia, kimbia, kimbia sana kama mwanaume haeleweki.
 
Sasa ila jamani kwanini umeolewa na hutaki kutoa mbunye? mambo mengine bhana nayo yanafikirisha sana!
Hivi wewe 😅😅🙌🏼
Hutaki kutoa mbunye, umenuna, umevimba mashavu lakini firigisi za baba wa watu huziachi.

Kwenye firigisi wewe ndo bingwa, unabugia kweli kweli unachanganya na vipapatio vilivyonona.

Lakini kutoa mbunye unagoma, unaenda kumpa bodaboda.

Kwa kweli unaweza ukabamizwa sana. Bora kama hutaki kutoa mbunye kwa mumeo uondoke mapema na sio kufakamia firigisi zake bure bure bila kushenyentwa.
BICHWA KOMWE - mbunye bana ina uombaji wake na utoaji wake

We unamwambia tanua nikulenge utatoa hata kama ni wewe 😅😅🙌🏼
 
Hivi wewe 😅😅🙌🏼

BICHWA KOMWE - mbunye bana ina uombaji wake na utoaji wake

We unamwambia tanua nikulenge utatoa hata kama ni wewe 😅😅🙌🏼
Mbona kwenye firigisi unameza bila kuulizwa? Hata mikono hunawi ni mwendo wa kumeza fasta fasta 😪😪😪😭😭😭😭😭

Kwenye kutoa mbunye ndo masharti kibaooo kumbe humpendi tu.

Mi najua mwanamke akikupenda anakupa mbunye uisasambue unavyotaka hata juu ya dari unashenyenta.

Asipokupendaa utapewa masharti haswaa, mara nimechoka, mara nina mshono, mara nini!

Kama mbaba wa watu humpendi bora uage mapema sana na sio kumfanyia vitimbi namna hiyo.

Yaani mpaka uchomwe bisu la shingo kuna namna amevumilia sanaaa mpaka kachoka ati.
 
Taratibu masingo dah😢😢
Kwenye kutoa mbunye ndo masharti kibaooo kumbe humpendi tu.
Kuna ka ukweli hapa
Ila pia kuna kuchoka maudhi hisia zinapotea
Mi najua mwanamke akikupenda anakupa mbunye uisasambue unavyotaka hata juu ya dari unashenyenta.
Haswaaaa 👌👌👌
Asipokupendaa utapewa masharti haswaa, mara nimechoka, mara nina mshono, mara nini!
Hapa kuna sababu nyingi sio upendo tu
We bichwa
Kama mbaba wa watu humpendi bora uage mapema sana na sio kumfanyia vitimbi namna hiyo.
Sahihi
Yaani mpaka uchomwe bisu la shingo kuna namna amevumilia sanaaa mpaka kachoka ati.
Aah aah hakuna kuchomana visu
 
Eti! mwanaume unapiga nduru/yowee kisa umeachwa au umegongewa😂😂😂. Hii ni ngumu sana kwetu mkuu
Mwanaume nae si binadamu pigeni nduru bana kuliko mtuue
Labda tupate app ya kuongea nayo kwenye simu. Lakini mwanaume wa kweli akiachwa au kusalitiwa huelekeza nguvu zote kwenye kutafuta fedha.
Basi sawa mkiacwa tafuteni hela
Ila hili wanaweza tu wale wanaume wenye maarifa tu
Hoja imepita bila kupingwa, Wanaume wenzangu ukisalitiwa just move on.
📌
Wanaume tunakuaga na wivu sana kwa wake zetu, hivyo wanawake nao inabidi mjifunze ukiolewa jitahidi kuficha/kuondoa makandokando yooote.
Sawa sawa 👍
🤝🤝🤝
Tawile
Sasa hizo tofauti zetu ndio ziheshimiwe, mwanamke silaha yake mdomo mwanaume silaha yake nguvu. Hakikisha maneno yako yanamipaka. Nguvu kubwa isije ikatumika kama jeshi ra polisi😂😂😂💔💔💔💔
Tumesikia tutapunguza ka mdomo
Lugha Gani unaelewa vizuri nikutafsirie😆😆😆
Gudubaiiiiiii
Mungu na mbio ndio viokozi hapa duniani, ukitaka maneno mtajikuta mahakamani au kaburini.
Sawa mtumishi
Kimbia, kimbia, kimbia sana kama mwanaume haeleweki.
Hakika hakuna tuzo ya uvumilivu bora
Ni ulemavu au kifo
 
Wewe ndio umewaita waomba talaka ni wajinga
Nikakwambia mjinga zaidi ni mwanaume ambae alimuoa mwanamke mjinga bila kugundua mapema kama huyo mwanamke ni mjinga
Hapana sijawaita wajinga, labda hujanielewa.

Nimesema tu, ukileta danadana za kutaka talaka ili uchume mali lazima kiwake, au ukifanya usaliti. Ukiamua kuolewa olewa ukiwa na dhamira halisi.
 
Sawa mkuu
 
Kama kuna watu hawabadiliki tutazidi kuuana mpaka kieleweke
 
Back
Top Bottom