BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Migomo inayo weza kuleta kizaa zaa nchini ni ya either usafiri, huduma za Afya au huduma za Vyakula kama masoko ya vyakula.
Pale Kariakoo, nguo zile sio necessity goods, sio lazima, sio kitu cha hatari na pia altenative zipo nyingi sana.Unauza Tv unagoma?
Serikali ikipiga kimya wale jamaa watafungua maduka wenyewe baada ya masaa kadhaaa, hawana ubavu wa kugoma hata siku 2 na pia products zao hazina umuhimu kwa jamii wa moja kwa moja ukitio kodi
Watu wa usafirishaji, Afya,masoko ya vyakula hawa ndio wakigoma impact yake ni ya moja kwa moja na inaleta shida sana kwa jamii.
Unauza nguo, Viatu, Simu, Radio, Tv unagoma?