kekule benzene
JF-Expert Member
- Sep 28, 2016
- 1,444
- 3,576
Huenda wewe niMigomo inayo weza kuleta kizaa zaa nchini ni ya either usafiri, huduma za Afya au huduma za Vyakula kama masoko ya vyakula.
Pale Kariakoo, nguo zile sio necessity goods, sio lazima, sio kitu cha hatari na pia altenative zipo nyingi sana.Unauza Tv unagoma?
Serikali ikipiga kimya wale jamaa watafungua maduka wenyewe baada ya masaa kadhaaa, hawana ubavu wa kugoma hata siku 2 na pia products zao hazina umuhimu kwa jamii wa moja kwa moja ukitio kodi
Watu wa usafirishaji, Afya,masoko ya vyakula hawa ndio wakigoma impact yake ni ya moja kwa moja na inaleta shida sana kwa jamii.
Unauza nguo, Viatu, Simu, Radio, Tv unagoma?
1. Mnufaika katika kuwakandamiza wafanya biashara
2. Mnufaika kwa wenye mamlaka (chawa aka kunguni)
Pia inaonekana ujinga mwingi umekujaa, kama ulisikiliza hoja za wafanyabishara katika mgomo uliopita, huwezi kuongea huu upupu.
Ni mwendawazimu pekee anayeweza kuona mfumo wa Kodi wa TZ upo sawa, Yaani viongozi kila siku Wanabuni Kodi mpya tu halafu Kodi wenyewe wanaziiba na kujinufaisha wao
Ingekuwa tuna akili tungebase kwenye usimamamizi imara wa mapato, ila viongozi wanaangalia kukandamiza watu kwenye Kodi huku wajanja wanazipiga tu