Migomo inayo fanikiwaga ni ya necessity goods and serivices pekee

Watumishi wa umma na vijana msiojua kesho yenu, zamu yenu ya kuandamana kudai maslahi bora na ajira itakuwa lini?.
 
Unajua mapato yanayokusanywa na serikali yako tukufu ya wajinga kwa siku pale Kariakoo?

Unajua mgomo ukitokea kwa siku pale Kariakoo serikali yako tukufu ya wajinga itapata hasara kiasi gani?

Unajua wafanyabiashara wangapi wa nje ya nchi na mikoani huenda Kariakoo kuchukua mizigo kila siku?

Umekurupuka kuandika utoto mtupu.
 
SIku ngapi? walifungua siku hio hio mchana, au unazungumzia upi huo? Seriali inaamuaga tu kwenda kuwasikiliza ila wakikaa kimya jamaa kesho yake watafungua wenyewe
Bro kapige kamba watoto wako, nina duka kkoo na nilikuwepo mgomo uliopita, siku 3 watu hawakufungua hadi Alipokuja Waziri mkuu, na watu walifungua baada ya Serikali kukubali kufanyia kazi mapendekezo matatu makubwa.
 
Hizo Bidhaa za Mikoani nazo zinatoka Kariakoo, najua mnadanganywa na wafanya biashara kuwa eti ana mzigo, anaenda China etc kumbe na yeye anafungasha kkoo ama kwa source inayotoa kkoo. Watu wachache sana nchi hii wanaleta Container zao, na huwezi ukaleta container 10 ama 20 halafu eti upeleke mkoani zitakudodea inabidi bidhaa zako zikae mahala kwenye mzunguko.
Sikiliza hizo bidhaaa zote zio muhimu, labda uniambie petroli inachukuliwa kariakoo hapo sawa, lakini Nguo, viatu, Makava ya simu, betri za simu na kadhalika.

Kama petroli inachukuliwa kariakoo hapo mgomo unaweza kuwa balaa ingawa oia na yenyewe labda wagome wiki nzima.
 
Migomo inayo weza kuleta kizaa zaa nchini ni ya either usafiri, huduma za Afya au huduma za Vyakula kama masoko ya vyakula.

Pale Kariakoo, nguo zile sio necessity goods, sio lazima, sio kitu cha hatari na pia altenative zipo nyingi sana.Unauza Tv unagoma?

Shida ya Tanzania wajinga ni wengi sana, na wanacho fanya ni kutiana ujinga.

Serikali ikipiga kimya wale jamaa watafungua maduka wenyewe baada ya masaa kadhaaa, hawana ubavu wa kugoma hata siku 2 na pia products zao hazina umuhimu kwa jamii wa moja kwa moja ukitio kodi

Watu wa usafirishaji, Afya,masoko ya vyakula hawa ndio wakigoma impact yake ni ya moja kwa moja na inaleta shida sana kwa jamii.

Unauza nguo, Viatu, Simu, Radio, Tv unagoma? Hawa wana ujinga mwingi sana.
Wagome tuone kwani siku hizi wanaume suruali tatu zinatutosha labda wamama wanaopenda kubadilisha nguo.sasa hivi tunapambana watoto wale tu basi.wafunge tu waone athari itarudi kwa nani.
 
Bro kapige kamba watoto wako, nina duka kkoo na nilikuwepo mgomo uliopita, siku 3 watu hawakufungua hadi Alipokuja Waziri mkuu, na watu walifungua baada ya Serikali kukubali kufanyia kazi mapendekezo matatu makubwa.
Pale kariakoo mnauza Petroli? au ndio kuna kituo cha kusambaza umeme nchi nzima? Hizo products zina uharaka gani kwa jamii?
 
Hivi kwanini kila wakati inapotokea kundi flani linanyanyaswa na serikali makundi mengine yanakuwa upande wa serikali ni lini tutaamka hii nchi
Tatizo pia wafanyabishara ni wanyonyaji
Kuna bidhaa serikali ilipunguza kodi ili wananchi tuipate kwa bei rahisi lakini wafanyabishara hawakupunguza bei
Ikabidi serikali irudishe tena hiyo kodi
 
Wagome tuone kwani siku hizi wanaume suruali tatu zinatutosha labda wamama wanaopenda kubadilisha nguo.sasa hivi tunapambana watoto wale tu basi.wafunge tu waone athari itarudi kwa nani.
inakula kwao yaani endapo mgomo ukahusu waagizaji mafuta hapo lazima Serikali inyanyue mikono, ila nguo na Redio, Hapo hakuna kitu hapo
 
Migomo inayo weza kuleta kizaa zaa nchini ni ya either usafiri, huduma za Afya au huduma za Vyakula kama masoko ya vyakula.

Pale Kariakoo, nguo zile sio necessity goods, sio lazima, sio kitu cha hatari na pia altenative zipo nyingi sana.Unauza Tv unagoma?

Shida ya Tanzania wajinga ni wengi sana, na wanacho fanya ni kutiana ujinga.

Serikali ikipiga kimya wale jamaa watafungua maduka wenyewe baada ya masaa kadhaaa, hawana ubavu wa kugoma hata siku 2 na pia products zao hazina umuhimu kwa jamii wa moja kwa moja ukitio kodi

Watu wa usafirishaji, Afya,masoko ya vyakula hawa ndio wakigoma impact yake ni ya moja kwa moja na inaleta shida sana kwa jamii.

Unauza nguo, Viatu, Simu, Radio, Tv unagoma? Hawa wana ujinga mwingi sana.
Unasema wafanya biashara hao ni wajinga, au wewe mwenyewe ndiye mjinga na mpubaf chawa mkubwa!

Wewe umeona hilo soko ni la Tvs na nguo hawauzi kitu kingine?

Badala ya kuwatia shime na kuwaunga mkono, wee unaanza kubana pua zako na kuwazodoa wapambanaji!

Kama hakuna umuhimu wa hilo soko kwanini Waziri mkuu mwaka jana alienda kuwapigia magoti?

Hakuna cha maana ulichoandika zaidi ya utopolo.

Kuanzia kesho wanagoma uone kama Serikali haitakwenda kuongea nao.
 
Sikiliza hizo bidhaaa zote zio muhimu, labda uniambie petroli inachukuliwa kariakoo hapo sawa, lakini Nguo, viatu, Makava ya simu, betri za simu na kadhalika.

Kama petroli inachukuliwa kariakoo hapo mgomo unaweza kuwa balaa ingawa oia na yenyewe labda wagome wiki nzima.
Hela ya kununua bidhaa muhimu zinatoka wapi? Bila bashara serikali haipati kodi, bila kodi hulipwi Mshahara, bila Mshahara nani ata nunua Bidhaa muhimu?

Same kwa mzunguko mwengine, bila Maduka kufunguliwa wafanyakazi hawapati hela na mzunguko unapungua, mzunguko ukipungua nani ata nunua hizo bidhaa muhimu?

Ama mwenzetu unataka turudi Zama za Hunting and gathering?
 
Migomo inayo weza kuleta kizaa zaa nchini ni ya either usafiri, huduma za Afya au huduma za Vyakula kama masoko ya vyakula.

Pale Kariakoo, nguo zile sio necessity goods, sio lazima, sio kitu cha hatari na pia altenative zipo nyingi sana.Unauza Tv unagoma?

Shida ya Tanzania wajinga ni wengi sana, na wanacho fanya ni kutiana ujinga.

Serikali ikipiga kimya wale jamaa watafungua maduka wenyewe baada ya masaa kadhaaa, hawana ubavu wa kugoma hata siku 2 na pia products zao hazina umuhimu kwa jamii wa moja kwa moja ukitio kodi

Watu wa usafirishaji, Afya,masoko ya vyakula hawa ndio wakigoma impact yake ni ya moja kwa moja na inaleta shida sana kwa jamii.

Unauza nguo, Viatu, Simu, Radio, Tv unagoma? Hawa wana ujinga mwingi sana.
Unatakiwa kufahamu kariakoo kikodi inaingiza kodi zaidi ya mikoa kibao.
Serikali inategemea kodi kutoa huduma.

Wewe ni myopia yaani watu mnaochangamua mambo kwa mtazamo mfupi.
Akili zako ni ndogo sana yaani kwa hii oost inadhihirisha upuuzi na ujinga wako kichwani
 
SIku ngapi? walifungua siku hio hio mchana, au unazungumzia upi huo? Seriali inaamuaga tu kwenda kuwasikiliza ila wakikaa kimya jamaa kesho yake watafungua wenyewe
Ingekuwa haina impact hata kidogo namna gani, CCM na serikali yake walivyo na kiburi wasingeenda pale kubembeleza. Yaani CCM ilivyojaa kiburi iende kubembeleza mwananchi? Tatizo wewe unaangalia impact kwa kwa njia ya wananchi kukosa huduma tu. Kuna indirect impacts za aina nyingi mpaka ya kuweza kuzua machafuko makubwa katika jiji la Dar.
 
Sijui kwann waTanzania kunakuwaga na vichomi sana. Sijui mnalipwa nini kwa matatizo ya wenzenu. Kama hakuna impact we shida yako nini? We ni mfanya biashara wa kariakoo? Kama hakuna impact we kinakuuma nini?

Unahisi wewe unajua sana kuliko TRA na waziri mkuu wa nchi kuhusu impact ya wafanyabiashara wa kariakoo sio?

Mnaibukaga kuzorotesha juhudi za wenzenu kila mara, unahisi hayakuhusu sio? Subiri upande wako yakufike alafu muanze kuomba sympathy kwa wengine

Unasema biashara zao hazina impact alafu mbele unataja biashara ya chakula ina impact, kwahiyo kariakoo hakuna maduka ya nafaka na vyakula sio?
 
Unasema wafanya biashara hao ni wajinga, au wewe mwenyewe ndiye mjinga na mpubaf chawa mkubwa!

Wewe umeona hilo soko ni la Tvs na nguo hawauzi kitu kingine?

Badala ya kuwatia shime na kuwaunga mkono, wee unaanza kubana pua zako na kuwazodoa wapambanaji!

Kama hakuna umuhimu wa hilo soko kwanini Waziri mkuu mwaka jana alienda kuwapigia magoti?

Hakuna cha maana ulichoandika zaidi ya utopolo.

Kuanzia kesho wanagoma uone kama Serikali haitakwenda kuongea nao.
Msishabikie wakwepa kodi huo ni ujinga.hakuna nchi inayoendeshwa bila kodi.mbona maskini kila kukicha wanakamuliwa kodi lkn hawagomi lkn hao wakwepa kodi wajinga mnawashadadia.mbona watumishi kila mwezi wanafinywa kodi lkn hawagomi.waacheni wagome hata mwezi mzima tuone
 
Hela ya kununua bidhaa muhimu zinatoka wapi? Bila bashara serikali haipati kodi, bila kodi hulipwi Mshahara, bila Mshahara nani ata nunua Bidhaa muhimu?

Same kwa mzunguko mwengine, bila Maduka kufunguliwa wafanyakazi hawapati hela na mzunguko unapungua, mzunguko ukipungua nani ata nunua hizo bidhaa muhimu?

Ama mwenzetu unataka turudi Zama za Hunting and gathering?
Kwa hiyo wanaolipa kodi ni wafanyabiashara wa kariakoo tu?hayo ni mawazo mgando hamasishane ngome kama hamtafirisika.huu ujinga ndio alioukataa JPm.alijua kabisa wapi kodi huwa zinakwepeka.nchi inasamehe kodi bidhaa fulani lkn wafanyabiashara hawashushi bei wanawateka wananchi halafu leo tuwatee.wapambane na hali zao wenyewe.
 
Back
Top Bottom