Miguel Gamond ni kocha aliyekuja kuvuruga maana halisi ya "kikosi kipana"

Kwenye mechi ya juzi Vs Medeama nilimiss super sub za Nabi!
Ule mchezo haukuwa wa kukosa matokeo kabisa.
 
Gamond akishindwa kufikia malengo ya Yanga afukuzwe tu.
Kumpangia kikosi na mbinu za kushinda mchezo ndani ya uwanja hiyo hapana.
 
Sure boy
Kibwana
Nkane
Faridi Musa
Moloko... Ndio basi tena... Hakika hili halina afya ya timu na mpira wetu!!. Kuna wakati nabii aliamua kumpiga bench Djuma Shaban, Yannick baada yakuona wanapandisha mabega juu hakujali umhimu wao alichojali n afya ya timu.Gamondi ameamua kukumbatia baadhi ya wachezaji wakati huo akiwapoteza waliokuwa wapo kwenye form Kama Mudathiri... Sure boy na pass bamia wajameeniii ndio basi tena..... 😒😒😒🙌
 
Waambie hao ma mbwa

Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
 
Nabi mwenyewe yuko wapi now kwenye hii champions league?? huyu ambaye alifunga losers tu

Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
Kule yuko na timu mpya kumbuka, mpaka mfumo wake ukubali itachukua msimu mzima.
Hata alipokuja Yanga hakucheza fainali moja kwa moja…

Sina maana kwamba Nabi arudi, nilitafakari tu kama angekuwepo!
 
Yaani wewe nae lipumbavu kweli, striker wa nini na hapa tunaongelea rotation ya wachezaji, kocha analeta matabaka kwenye team, watu hata sub hawapewi, wewe na kocha wote wapumbavu.
Sisi tunataka matokeo benchi la ufundi na Mkurugenzi wa ufundi ndiyo wanajua namna gani ushindi unapatikana hayo mambo ya kumpangia kocha sio yanga ya sasahivi labda huko timu nyingine .

Mchezaji akipumzika siku 3 Mpaka 7 kabla ya mechi inatosha kabisa .

Sasahivi yanga ipo ki professional zaidi kocha anapewa uhuru wa kazi yake na hii ipo Kwenye vipengele vya mkataba , Kocha amesaini mkataba kuipa yanga ushindi na sio kufanya rotation ya wachezaji au kuingiliwa majukumu yake .

hakuna hata mchezaji mmoja hakuchezeshwa na gamondi ukianzia kaizer chief , ngao ya jamii Mpaka ligi .
 
Mimi naona tatizo kubwa la Yanga lipo pale mbele. Kiukweli washambuliaji wetu wa sasa ni average. Yaani kiufupi hawatabiriki.

Lakini pia nimegundua kocha wetu wa sasa anaichezesha timu yake mfumo wa aina moja. Hana plan B. Kuna kipindi unaona kabisa kocha anatakiwa kubadilisha mfumo wa uchezaji ili kupata matokeo!!

Unashangaa anafanya sub ya hivyo, au anaacha tu baadhi ya wachezaji kupoteza muda uwanjani, hata kama wamechoka/wameshindwa kutimiza malengo waliyopewa.

All in all, kwenye dirisha dogo maboesho madogo hayakwepeki.
 
Anakumbuka mzimu wa IHEFU.
 
Kuna kufanya rotation na kubadilisha timu. Mechi ya IHEFU hakufanya rotation bali alibadilisha timu.Aliingiza wasugua benchi 7 kwa mpigo watu waliokua wamekosa match fitness.
 
Hizi mechi ni ngumu zinahitaji akili na nguvu na individual skills (uwezo wa mtu binafsi) siyo majaribio kumbuka yanga hawana namba 9 mwenye weledi wa kutosha
 
Kuna kufanya rotation na kubadilisha timu. Mechi ya IHEFU hakufanya rotation bali alibadilisha timu.Aliingiza wasugua benchi 7 kwa mpigo watu waliokua wamekosa match fitness.
KWELI MKUU UPO SAHIHI.
 
Nafikiri hoja ya mleta uzi bado itasimama pale pale, rotation ni muhimu sana, sio lazima wangie kwa ghafla lakini kuwaingiza taratibu wapewe Dk chache mpaka waingie kwenye mfumo
 
Kwa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…