Miguel Gamond ni kocha aliyekuja kuvuruga maana halisi ya "kikosi kipana"

"Lakini ujio wa Gamondi umekuja kuchuja na kuchukua wachezaji wake "First eleven" Hii ni sumu kubwa sana maana waliopo benchi hawapati match fitness siku wakipewa namba tutawakataa. Wapo wapi Abubakari Salumu (sureboy), Faridi Musa, Kibwana Shomari n.k"

Hapa mwanautopolo umenena uneni ulio sahihi kabisa.
Ila Gamond amewapa ushupavu wa hao waendesha mitumbwi wake wa pale Bwawani wa kucheza boli la Kifaransa au Kijerumani. Muacheni atawavusha.
 
Mashabiki hatujui tunahitaji nini maana Kuna kipindi tulimtukana Sana Mayele kuwa ni mbinafsi hatoi pasi kwa wengine lakini akifunga kwenye impossible angles tulimsifu sana

Mwisho tuseme kikosi Cha mashabiki hakijawahi kufungwa[emoji135]
 
"Lakini ujio wa Gamondi umekuja kuchuja na kuchukua wachezaji wake "First eleven" Hii ni sumu kubwa sana maana waliopo benchi hawapati match fitness siku wakipewa namba tutawakataa. Wapo wapi Abubakari Salumu (sureboy), Faridi Musa, Kibwana Shomari n.k"

Hapa mwanautopolo umenena uneni ulio sahihi kabisa.
Ila Gamond amewapa ushupavu wa hao waendesha mitumbwi wake wa pale Bwawani wa kucheza boli la Kifaransa au Kijerumani. Muacheni atawavusha.
Nyie ndio akili hamna na huyo mleta uzi mnataka kuivuruga Yanga. Hakuna kocha anayefanya rotation kwenye mechi ngumu, hakuna kocha anayefanya rotation kwenye mechi anayohitaji matokeo, hakuna kocha anayefanya rotation kwa mechi yenye presha kubwa.

Hao mnaowaongelea kuwa hawaonekani, wataonekana mbeleni sio kuingia moja kwa moja kwenye mechi ya klabu bingwa tena kwenye wachezaji waliojaa ubora uje uwapangie wakina Nkane.

Yanga ndio kwanza imecheza michezo nane tu ya ligi kuu kuna michezo 22 imebakia ya ligi kuu, kuna michezo ya ya Azam federation yanga inatakiwa ishiriki hivyo kocha atawapanga kulingana na atakavyoona wapinzani wake wapoje. Acheni upumbavu, kocha alikuwa anafanya rotation mara kwa mara, alipofungwa na Ihefu mkalalamika. Mwacheni kocha afanye kazi yake.

Mnaacha kulalamikia kutokuwa na straika mwenye ubora mnaongea upumbavu. Yanga ingekuwa na straika wa maana, chini ya huyu Gamondi timu ingekuwa na point sita sasa.
 
Unataka kusema SUREBOY ni mgeni ??
Unataka kusema Kibwana Shomari kaja leo ??

Kipindi Lomalisa Mutambala yupo benchi beki namba 3 alikua anacheza Nani??

Umesahau kuwa Abubakari kwenye michuano ya shirikisho Alishawahi kushika record ya kuwa mtu wa tatu Kati ya wachezaji waliopiga pasi kwa usahihi na kufika kwa wachezaji.

UmesaHau kuwa kibwana Shomari alimsumbua Adebayo wa Niger

ACHANA na Hilo umesahau kibwana Shomari kwenye Derby ya Kariakoo alimficha Sakho, akaja Kibu Denis akafichwa mfukoni.

Umesahau kuwa Kibwana Shomari anacheza namba 2 beki namba 3 na mbili kwa usahihi kabisa ??
 
Tatizo huwa mnasoma halafu hamtaki kuelewa kilichoandikwa.

Ukisoma vizuri kwenya andiko langu nimeandika suala la Rotation kwa wachezaji.

Na Wala sijaandika kuwa hao wachezaji waingie kipindi Cha michuano ya Kimataifa.

Unaweza UKANIAMBIA sureboy Mara ya mwisho kucheza ni lini??

KIbwana Shomari Mara ya mwisho kucheza ni lini?

Oky Jesus Moloko Kuna za chini chini kuwa dirisha dogo ataachwa lakini ndiyo Supersub ya Gamond tazama mechi ya coastal union.

Moloko alifanya nini??

Soma vizuri andiko langu Kisha uje kujenga hoja.
 
Nakereka sana na watu ambao wanashindwa kujenga hoja bila matusi. Nani kakwambia mimi sina akili?
Au wewe ni kizazi cha 90's? ambacho wengi wenu mnakosa adabu kwa wakubwa zenu?!!!
 
Hawezi kujenga hoja kwa kua anatumia hisia kuongelea mpira ni ngumu sana kujenga hoja ACHANA nae.
 
Ni kweli mkuu Nalia Ngwena.
Nadhani kuna haja kwa Mods kuchuja watu wenye tabia mfano wa huyo member.
Maana haiji akilini unamwambia mtu simply tu "huna akili"au "nyie ndo hamna akili" baada tu ya kutoa maoni ambayo yako tofauti na mtazamo wake.
Hii ni aibu kwa kweli.
 
Tatizo huwa mnasoma halafu hamtaki kuelewa kilichoandikwa.

Ukisoma vizuri kwenya andiko langu nimeandika suala la Rotation kwa wachezaji.

Na Wala sijaandika kuwa hao wachezaji waingie kipindi Cha michuano ya Kimataifa.

Unaweza UKANIAMBIA sureboy Mara ya mwisho kucheza ni lini??

KIbwana Shomari Mara ya mwisho kucheza ni lini?

Oky Jesus Moloko Kuna za chini chini kuwa dirisha dogo ataachwa lakini ndiyo Supersub ya Gamond tazama mechi ya coastal union.

Moloko alifanya nini??

Soma vizuri andiko langu Kisha uje kujenga hoja.
Ndio maana nikakwambia mnaandika ujinga na upumbavu.
"Unataka wachezaji waingie tu kwenye rotation eti sijaandika kuwa waingie kwenye klabu bingwa", sasa kama hukuandika kuwa waingie kwenye klabu bingwa kwanini huu uzi uutoe baada ya mechi ya klabu bingwa kuisha? Kwanini hukusubiri mechi ya tarehe 16 kati ya Yanga na Mtibwa iishe ndio uandike? Kwenye hiyo mechi ndio ungejua Gamondi atafanya nini kwenye rotation. Usijitetee kwenye hilo, wewe na wenzio msiojua mpira mlitaka Gamond afanye rotation kwenye mechi ya klabu bingwa ndio maana baada ya mechi ya Medeama nyuzi zimekuwa nyingi na wajinga wenzio wakakuunga mkono.

Tukija kwenye ligi kuu,
Yanga kacheza michezo 9 na katika michezo hiyo, Yanga imecheza michezo minne mfululizo kwa timu ngumu ( vs Azam, vs Singida, vs Simba, vs Coastal union)hapa kocha anazihitaji alama 12 na dhidi ya timu ngumu na mechi zinazofuatana, ni ngumu sana kupanga kikosi nje ya first eleven yake labda itokee kuna majeruhi.

Sureboy mara ya mwisho kucheza ni dhidi ya Ihefu tarehe 4 mwezi wa 10 mechi ambayo Yanga walipoteza.
Baada ya hiyo mechi, Yanga ilicheza mechi moja tu ambayo ni nyepesi nayo ilikuwa sio nyepesi kihivyo kwasababu walikuwa away dhidi ya Geita.
Baada ya Geita ikafuata Azam, Singida, Simba, na Coastal. Je ulitaka hapo Gamond acheze kamari kwa kuharibu first eleven yake dhidi ya timu ipi hapo?

Kuhusu Moloko, ndio super sub wa Gamond sikatai je vipi kuhusu quality yake inaridhisha? Vipi kama wameamua kumchukua winger zaidi ya Moloko je ni jambo baya?
 
Unataka kusema SUREBOY ni mgeni ??
Unataka kusema Kibwana Shomari kaja leo ??

Kipindi Lomalisa Mutambala yupo benchi beki namba 3 alikua anacheza Nani??

Umesahau kuwa Abubakari kwenye michuano ya shirikisho Alishawahi kushika record ya kuwa mtu wa tatu Kati ya wachezaji waliopiga pasi kwa usahihi na kufika kwa wachezaji.

UmesaHau kuwa kibwana Shomari alimsumbua Adebayo wa Niger

ACHANA na Hilo umesahau kibwana Shomari kwenye Derby ya Kariakoo alimficha Sakho, akaja Kibu Denis akafichwa mfukoni.

Umesahau kuwa Kibwana Shomari anacheza namba 2 beki namba 3 na mbili kwa usahihi kabisa ??
Kila kocha anakuwa na mfumo wake na aina ya watu wanaofit. Kwahiyo mkuu unataka Yao Kwasi akae nje halafu Kibwana achukue nafasi yake? Makocha huwa wanapenda mchezaji anaye offer kitu zaidi ya kimoja. Yao Kwasi anakaba na anageuka kuwa mshambuliaji pale timu inaposhambulia, kama ilivyo kwa Lomalisa. Kibwana ni mzuri kwenye kukaba pekee, na ujue ipo hivyo duniani kote kuwa kila timu ina first eleven.

Yaani panga pangua lazima wacheze. Ila rotation huwa inafanyika kwa mechi ambazo sio ngumu, hovyo hao wakina Sureboy na wengine utawaona taratibu kwenye mechi zisizo na presha kuna mechi 22 zimebakia za ligi kuu( yaani ligi bado kabisa mbichi)na Azam federation bado haijaanza. Kuna mechi kibao zimebakia lakini mnakuja kupiga kelele za kijinga ili kuleta taharuki kwa kocha aonekane hafai, huo ni ujinga na upumbavu msiojua mpira.
 
Kila kocha anakuwa na mfumo wake na aina ya watu wanaofit. Kwahiyo mkuu unataka Yao Kwasi akae nje halafu Kibwana achukue nafasi yake? Makocha huwa wanapenda mchezaji anaye offer kitu zaidi ya kimoja. Yao Kwasi anakaba na anageuka kuwa mshambuliaji pale timu inaposhambulia, kama ilivyo kwa Lomalisa. Kibwana ni mzuri kwenye kukaba pekee, na ujue ipo hivyo duniani kote kuwa kila timu ina first eleven. Yaani panga pangua lazima wacheze. Ila rotation huwa inafanyika kwa mechi ambazo sio ngumu, hovyo hao wakina Sureboy na wengine utawaona taratibu kwenye mechi zisizo na presha kuna mechi 22 zimebakia za ligi kuu( yaani ligi bado kabisa mbichi)na Azam federation bado haijaanza. Kuna mechi kibao zimebakia lakini mnakuja kupiga kelele za kijinga ili kuleta taharuki kwa kocha aonekane hafai, huo ni ujinga na upumbavu msiojua mpira.
HUNA HOJA MZEE.
 
Ishu siyo kibwana kuchukua nafasi aisee ukizungumzia kibwana kucheza kwani Yao alishakaa benchi lakini Gamond alimchezesha Jobu Kama beki namba 2.

Unataka kusema Job ni Bora zaidi katika namba 2 au tatu kwa kibwana Shomari ?!

Kipindi Cha Nabi job alicheza namba mbili kwa dharura sana inapokua hakuna option.
 
Nakereka sana na watu ambao wanashindwa kujenga hoja bila matusi. Nani kakwambia mimi sina akili?
Au wewe ni kizazi cha 90's? ambacho wengi wenu mnakosa adabu kwa wakubwa zenu?!!!
Pole ila mnakera sana, kujifanya mnajua kuingilia kazi za watu. Sasa mtu analeta uzi baada ya mechi ya kimataifa halafu anakana kuwa hakuwa na lengo la rotation ifanyike kwenye michuano ya kimataifa. Sasa kwanini huo uzi asingeandika baada ya mechi ya Mtibwa na Yanga tarehe 16? Yaani mechi za klabu bingwa watu mnataka rotation, huo mpira mnajifunzia wapi mkaona nani anapumzisha silaha zake kwenye mechi zinazohitaji matokeo? Mnaelewa nini kuhusu first eleven?
 
Ishu siyo kibwana kuchukua nafasi aisee ukizungumzia kibwana kucheza kwani Yao alishakaa benchi lakini Gamond alimchezesha Jobu Kama beki namba 2.

Unataka kusema Job ni Bora zaidi katika namba 2 au tatu kwa kibwana Shomari ?!

Kipindi Cha Nabi job alicheza namba mbili kwa dharura sana inapokua hakuna option.
Unajua maana ya first eleven ya kocha?
Uliona timu gani inafanya rotation ya first eleven yake kwenye mechi ngumu inayohitaji matokeo?
Kipindi hiki cha Gamondi, Kibwana ana struggle kutokana na ubora wa Yao Kwasi.
 
Pole ila mnakera sana, kujifanya mnajua kuingilia kazi za watu. Sasa mtu analeta uzi baada ya mechi ya kimataifa halafu anakana kuwa hakuwa na lengo la rotation ifanyike kwenye michuano ya kimataifa. Sasa kwanini huo uzi asingeandika baada ya mechi ya Mtibwa na Yanga tarehe 16? Yaani mechi za klabu bingwa watu mnataka rotation, huo mpira mnajifunzia wapi mkaona nani anapumzisha silaha zake kwenye mechi zinazohitaji matokeo? Mnaelewa nini kuhusu first eleven?
Rejea comment yangu ya kwanza ambayo ulikuja kujibu ulivyojibu.
Halafu kama ungekuwa makini ungegundua kuwa nilikuwa namtania mleta uzi (Nalia Ngwena).
Lakini pia assume kuwa nilitoa hayo maoni kinzani na wewe,kwa nini usipinge hoja yangu bila kuanza na huo msamiati wa kunitoa akili.
👇
"Lakini ujio wa Gamondi umekuja kuchuja na kuchukua wachezaji wake "First eleven" Hii ni sumu kubwa sana maana waliopo benchi hawapati match fitness siku wakipewa namba tutawakataa. Wapo wapi Abubakari Salumu (sureboy), Faridi Musa, Kibwana Shomari n.k" Nalia Ngwena

"Hapa mwanautopolo umenena uneni ulio sahihi kabisa.
Ila Gamond amewapa ushupavu wa hao waendesha mitumbwi wake wa pale Bwawani wa kucheza boli la Kifaransa au Kijerumani. Muacheni atawavusha."Doctor Ngariba

Jenga hoja, humu hatujuani ndugu yangu lakini jifunze kuheshimu kila mtu.
 
Back
Top Bottom