Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Sasa mbona hata sub tuu hazungumziwi humu ndani? Au yy nis spesho anatumika kwa ajili ya Simba?Kwenye orodha ya waliotoa boko siku hiyo yumo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mbona hata sub tuu hazungumziwi humu ndani? Au yy nis spesho anatumika kwa ajili ya Simba?Kwenye orodha ya waliotoa boko siku hiyo yumo!
Kaangalie marudio uone kama hakushika miguu ucharazwe vizuriAlikutembezea ww labda..hatukona madhara yake..
Umeusoma mkataba wake?Malengo yapi hayo
Kama nimekuelewa vizuri ni kwamba unawata mashabiki wenye maneno maneno waachane nayo na waachie uongozi na benchi la ufundi wafanye majukumu yao kama walivyokubaliana.Umeusoma mkataba wake?
Ndani yake yame ainishwa malengo aliyopangiwa.
BTW, Mimi nimepinga kupangiwa kikosi na sijasema hajatimiza malengo. Nikasema asipotimiza malengo kwa muda aliopangiwa ukifika afukuzwe tu Ila so kuvuruga sasa kwa kuingilia squad selection na program zake.
HUYO ANASUBIRI MKATABA WAKE UISHE.Toka nimeanza comment ya kwanza mpk mwisho hakuna aliesema MKUDE aingie kama sub...yani hapo kwa Mkude mimi namcheka mnoo siicheki Yanga namcheka yeye...hana impact,,kapotezwa mazima haongelewi...yani bora angeenda Ruvu shooting walai.. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
HATUJA KATAA KUFANYA KAZI ILA AANGALIEAcheni afanye kazi yake
Ila kiukweli Nabi alituzoesha maajabu kupitia sub zake zile
Farid mussa malickHATUJA KATAA KUFANYA KAZI ILA AANGALIE
Hayo ni maoni yake yeye aendelee kuona hivyo.Maoni ya David kampista
Unazungumzia lundo la wachezaji wenye ubora upi? Hilo lundo la wachezaji wameshindwa hata kuifunga Ihefu tu. Yanga ingekuwa na namba tisa mzuri, mechi zote mbili Yanga ingeshinda na kufikisha point 6. Na malalamiko yote kwa Gamond yasingekuwepo, ila kwasasa Gamond anabebeshwa lawama zisizomuhusu wakati tatizo la Yanga inajulikana hakuna straika, magoli yanafungwa na viungo ( max, Aziz Ki na Pacome) timu ina miliki mpira, timu inapiga counter attacks ila wakina Mzize, wanafanya counter ziwe hazina maana kwa kushindwa kufanya maamuzi sahihi kwa wakati.Ki alipwaya mechi ya Al Ahly hapa akawa anashindwa hata kumtoa aingie nani? Waarabu wanafanya sub nne Yanga hawajui watamtoa nani wakati waliochoka walikuwepo wengi akawa anawaacha tu wapoteze muda mpaka tukafungwa na kusawazisha kwa nguvu...
Metacha huwa achezi mara kwa mara anakuja kupewa gemu na Waarabu kila mpira tunaoshambuliwa au kuokoa anaona kama moto...
Moloko, Mudadhiri,Mauya,Sure Boy wana mechi za kucheza sio hivi anavyofanya Gamondi...
Kikosi kitakachoanza leo inawezekana chose ndio kitaanza wiki ijayo na Medeana wakati ana Lundo la wachezaji pale...
Mkuu mpira hujui mpira wa ligi unafungwa na yeyote shida yenu ninyi wengine mmeanza kuangalia mpira ukubwani kwa sababu watu wengi wanauongelea na wewe unalazimika kuuzungumzia...angalia hata ligi za Ulaya ujifunze kitu Barca kafa mechi mbili za mwisho Chelsea kafungwa na Everton mimi nikiona mtu anazungumzia Timu kufungwa mechi kadhaa najua ana upungufu wa kutokujua mpira kabisaa..Unazungumzia lundo la wachezaji wenye ubora upi? Hilo lundo la wachezaji wameshindwa hata kuifunga Ihefu tu. Yanga ingekuwa na namba tisa mzuri, mechi zote mbili Yanga ingeshinda na kufikisha point 6. Na malalamiko yote kwa Gamond yasingekuwepo, ila kwasasa Gamond anabebeshwa lawama zisizomuhusu wakati tatizo la Yanga inajulikana hakuna straika, magoli yanafungwa na viungo ( max, Aziz Ki na Pacome) timu ina miliki mpira, timu inapiga counter attacks ila wakina Mzize, wanafanya counter ziwe hazina maana kwa kushindwa kufanya maamuzi sahihi kwa wakati.
Sasa kama unaamini kufungwa kwa timu, ni matokeo ya mpira kwanini umlalamikie kocha? Ungekuwa unajua mpira ungekaa kimya na ungeheshimu kazi aliyopewa kocha na sio kujifanya unajua zaidi ya kochaMkuu mpira hujui mpira wa ligi unafungwa na yeyote shida yenu ninyi wengine mmeanza kuangalia mpira ukubwani kwa sababu watu wengi wanauongelea na wewe unalazimika kuuzungumzia...angalia hata ligi za Ulaya ujifunze kitu Barca kafa mechi mbili za mwisho Chelsea kafungwa na Everton mimi nikiona mtu anazungumzia Timu kufungwa mechi kadhaa najua ana upungufu wa kutokujua mpira kabisaa..
Wewe mtu hakuna kitu unajua tunapozungumzia makosa ya kocha au viongozi wengine wowote ndio jukumu letu binadamu sio mawe kwamba wakae tu bila kukosoa hujui mpira bhana...Nchi zingine wanaandamana na mabango kocha atolewe ina maana washabiki hawajui mpira washabiki wa Ulaya walikataa Super Cup kwa mabango mpaka ikapelekea ifanyike Afrika tu maana huku mpo ninyi ambao hamjui kitu na hamna maamuzi kwenye vyama vya Mpira samahani kwa kukuambia ukweli maana hakuna tafsida ingine ya kutokujua kitu ningeitumia...yaani unalaumu Yanga kufungwa na Ihefu au nianze kulaumu Simba kufungwa mechi moja jua mimi pia ntakua sijui mpira kama wewe tunachozungumzia ni mfumo kwa baadhi ya Wachezaji upo sawa au haupo sawa siandiki tena baada ya hii wacha niendelee kuwasoma wanaojua mpira bhana...Sasa kama unaamini kufungwa kwa timu, ni matokeo ya mpira kwanini umlalamikie kocha? Ungekuwa unajua mpira ungekaa kimya na ungeheshimu kazi aliyopewa kocha na sio kujifanya unajua zaidi ya kocha
Fatilia comments zangu, sijawahi kulaumu matokeo wala kocha. Ila nyie ndio mliomkosoa kocha, je kocha mnamkosoa kwa angle ipi kama sio kwa matokeo yanayopatikana? Aliyesema kuwa unayelaumu Yanga kufungwa hajui mpira ni nani kama sio tena wewe huyo huyo? Yaani unajifanya unang'ata na kupuliza.Wewe mtu hakuna kitu unajua tunapozungumzia makosa ya kocha au viongozi wengine wowote ndio jukumu letu binadamu sio mawe kwamba wakae tu bila kukosoa hujui mpira bhana...Nchi zingine wanaandamana na mabango kocha atolewe ina maana washabiki hawajui mpira washabiki wa Ulaya walikataa Super Cup kwa mabango mpaka ikapelekea ifanyike Afrika tu maana huku mpo ninyi ambao hamjui kitu na hamna maamuzi kwenye vyama vya Mpira samahani kwa kukuambia ukweli maana hakuna tafsida ingine ya kutokujua kitu ningeitumia...yaani unalaumu Yanga kufungwa na Ihefu au nianze kulaumu Simba kufungwa mechi moja jua mimi pia ntakua sijui mpira kama wewe tunachozungumzia ni mfumo kwa baadhi ya Wachezaji upo sawa au haupo sawa siandiki tena baada ya hii wacha niendelee kuwasoma wanaojua mpira bhana...