Wewe una akili au chizi? Kwa ni Mambosasa ni mgambo? Kasema wanaye na wenzake wanawashikilia na wewe unasema polisi wamtafute tena?tatizo mnadandia vitu bila kujua chanzo ni nini wacheni polisi wamtafute siyo kuanza kuropoka mapema hvi
umeona mbali sana !Mkakati Mpya
Keshokutwa utamuona kwenye ibada ya Christmass yuko mbele kapiga goti !kwanini lakini magufuri hutaki utawala wa haki,
na huyu mmfiche ili tuzidi kusononeka na kutuweka hofuu sintofahamu then tuikute maiti imeokotwa hatutaki tusifikie huko
Biblia inasema si wote wamwitao bwna! Bwana wanamaanisha kwamba wanamheshimu Mungu. Inasema wapo wanafiki wanaomwabudu Mungu mdomoni tu lakini rohoni ni mbwa mwitu wakali. Ndio hawa wa aina ya Jiwe.Keshokutwa utamuona kwenye ibada ya Christmass yuko mbele kapiga goti !
Keshokutwa utamuona kwenye ibada ya Christmass yuko mbele kapiga goti !
Tena wamshughulikie sana huyu Tito ili akome kuleta mchezo mchezo na wote wanaomzunguka!DK. MIGUNA MIGUNA WA KENYA AMVAA JPM KUKAMATWA KWA TITO MAGOTI.
Mwanasiasa na Mwanasheria machachari nchini Kenya, Dk. Miguna Miguna amemtaka Rais wa Tanzania, Dk. John Magufuli kumwachilia huru Ofisa wa Kitengo cha Elimu kwa Umma wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Tanzania (LHRC), Tito Magoti.
Dk. Miguna ambaye amewahi kuidhinisha kiapo cha kiongozi wa upinzani Raila Odinga kuwa ni 'Rais wa Wananchi' Januari 2018, jambo lilisababisha kutimuliwa kwake nchini Kenya na kupelekwa nchini Canada ambako alidaiwa kuwa ni raia wa nchi hiyo amesema kupitia ukurasa wake wa Twitter kuwa Rais Magufuli anapaswa kutambua kuwa suala la kuwakatisha tamaa, kuwaogopesha na kujaribu kuwanyamazisha wakosoaji, wapinzani na wanaharakati za haki za binadamu nchini humo dhidi ya serikali yake halitafanikiwa.
Dk. Miguna ameita vitendo hivyo vya serikali dhidi ya wakosoaji, wapinzani na wanaharakati wa haki za binadamu nchini Tanzania ni dalili ya udhaifu mkubwa wa serikali hiyo.
Tito Magoti, ambaye ni mwanasheria anayehudumu LHRC alikamatwa siku nne zilizopita na watu wasiojulikana eneo la Mwenge jijini Dar es Salaam, jambo ambalo lilizua taharuki kuwa ametekwa lakini baadae jeshi la polisi kanda maalum Dar es Salaam lilijitokeza hadharani na kukiri kumshikilia mwanaharakati Magoti, ingawa halikutaja moja kwa moja makosa yake wala kituo ambacho kinamshikilia.
Makundi mbalimbali ya wanaharakati wa haki za binadamu Tanzania na kimataifa yamelaani kitendo cha Tito Magoti kukamatwa kinyume na taratibu kitendo kinachotafsiriwa kama utekaji kutokana utata unaoligubika tukio hilo.
Wanaharakati hao pamoja na taasisi mbalimbali nchini Tanzania na zile za kimataifa zimekuwa zikishinikiza kuachiliwa huru ama kufikishwa mahakamani endapo Ofisa huyo wa LHRC kuna makosa anatuhumiwa nayo.
Jana Desemba 22, 2019 Kamanda wa polisi kanda maalum Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa alinukuliwa na vyombo vya habari kuwa leo (Desemba 23, 2019) atatoa taarifa ya kina kuhusu kushikiliwa kwa Tito Magoti.
#JusticeForTitoMagoti
Mbona hata hueleweki?Hivi yule mwandishi wa Azam TV yaani UTV ndugu Jamal Hashim yuko wapi? Alitumwa na mwajiri wake akaripoti uchaguzi wa Chadema pale Mlimani City inasemekana akaingiwa tamaa na kuingia makubaliano na Polepole akamkatalia asirushe taarifa ya kinachoendelea ukumbini. maskini Ivona kamtu hakujua mkanda mzima, ita weeeeeeeeee, Jamal Hashimu......, Jamal Hashimu..... Holaaaaaaa.........
Kwa hiyo wewe unajua kuliko mimi? Niulize mimi ni nani na nipo jirani nao kivipi kiukoo. Usibishe usichokijua. Kama unabisha nenda kwenye familia yao waulize babu na bibi yao ni wa wapi.Acha uongo huyo ni msukuma original.
Anatakiwa asusiwe kanisa ndio solution akiingia mnatokaKeshokutwa utamuona kwenye ibada ya Christmass yuko mbele kapiga goti !
Bibi na babu ni wa Misugwi na wamezikwa hapo. Sema jingine.Kwa hiyo wewe unajua kuliko mimi? Niulize mimi ni nani na nipo jirani nao kivipi kiukoo. Usibishe usichokijua. Kama unabisha nenda kwenye familia yao waulize babu na bibi yao ni wa wapi.
Wewe hata kanisa unalijua?Anatakiwa asusiwe kanisa ndio solution akiingia mnatoka
Kwani wahutu waliohamia TZ wana ugomvi na Kagame?Sasa inakuwaje anapatana na mtusi Kagame?
Sent using Jamii Forums mobile app