Miguna Miguna amvaa Rais Magufuli kuhusu kukamatwa kwa Tito Magoti

Miguna Miguna amvaa Rais Magufuli kuhusu kukamatwa kwa Tito Magoti

Biblia inasema si wote wamwitao bwna! Bwana wanamaanisha kwamba wanamheshimu Mungu. Inasema wapo wanafiki wanaomwabudu Mungu mdomoni tu lakini rohoni ni mbwa mwitu wakali. Ndio hawa wa aina ya Jiwe.

Jana katika ibada moja ya makanisa huko Chato tumesikia Rais Magufuli akiwataka Watanzania kuendelea kuiombea Tanzania ili KUDUMISHA AMANI,UPENDO na Mshikamano tunapokaribia sikukuu ya Krismasi na Mwaka mpya 2020...!!!
Hivi Rais unadumishaje amani, upendo na mshikamao ilhali wewe mwenyewe unashiriki katika kuchochea chuki,hasira na uonevu kwa Watanzania kwa kamata kamata na utekaji wa kijinga kisa ni kumkosoa Rais mtukufu anayejiona kuwa sawa na malaika...!!!Hii ni sawa na kum-beep Mungu na akiamua kupiga sijui itakuwaje....!!!Biblia inasema Mungu hadhihakiwi.....!!!
 
Kwani wahutu waliohamia TZ wana ugomvi na Kagame?

Wahutu wapo wengi sana Tanzania. Kwa mfano mkoa wa katavi 55% ni wahutu. nenda wilaya ya Nsimbo, Mlele, Mpimbwe, maeneo ya Katumba, Kanoge, kote huko ni wahutu watupu! Tena walipewa uraia na Jiwe mwaka 2015
'Tena walipewa uraia na Jiwe mwaka 2015'.

Walipewa na Jiwe au JK?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Keshokutwa utamuona kwenye ibada ya Christmass yuko mbele kapiga goti !

Judas Iskariote,one of the 12 Apostles of Jesus Christ was as same as JPM. The same spirit incarnated in this man!
Being a Treasurer he was very close to Jesus Christ but the same guy betrayed Jesus.
Roho ileile iliyokuwa ndani ya Yuda Iskariote bado inafanya kazi ndani ya mioyo ya wanadamu hata leo hii....!!!!
 
Kwa hiyo wewe unajua kuliko mimi? Niulize mimi ni nani na nipo jirani nao kivipi kiukoo. Usibishe usichokijua. Kama unabisha nenda kwenye familia yao waulize babu na bibi yao ni wa wapi.
kwa humu mtandaon ni ngumu kuthibitisha kuwa umachosema ni kweli na sahihi unaweza ukawa sahihi na pia unaweza usiwe sahih, pili kuna propaganda toka nchi jirani zinazolenga kutuonyesha sisi ni watu wa chini kiasi cha kutuwekea rais na kumletea walinzi pia kitu ambacho kwa akili ya kawaida tu hakiingii akilini tusipoaangalia baada ya miaka tutakuwa hautujiwezi kifikra kwa kiasi cha kuwaona wao ni watu maalum wateule kama wanavyojiaminisha na kwa kiasi kikubwa wanafanikiwa sana, ila siwezi kuamini nchi yenye makabila zaidi ya 120 yote yanaweza kuzidiwa na kabila moja toka nchi jirani kama ni kwelii basi tumekwisha
 
Nenda kule Katavi kaulize kama wahutu ambao ni ndugu zake hawapo. Mwaka 2015 aliamua kuwapa uraia ndugu zake. Nenda wilaya za Nsimbo, MPanda, na maeneo ya Katumba na Kanoge ukawaone ndugu zake. Nenda hata kesho kama hutawakuta.
Wanaitwa majina yapi?
 
madhara ya kaya yenye kiongozi wa ph ya dezo ni kutopenda kuzungumziwa mapungufu yake kwa kuwa anaamini yeye ana ph basi ndo anaakili kuliko wanakaya wote na kijisahulisha kuwa akili alizo nazo ni za dezo ajui ata langi ya vitini vya coz za hyoo ph ya dezoooooooo ni wivuu tuuu
 
Back
Top Bottom