Miguna Miguna amvaa Rais Magufuli kuhusu kukamatwa kwa Tito Magoti

Miguna Miguna amvaa Rais Magufuli kuhusu kukamatwa kwa Tito Magoti

Hutu linatia aibu sana nchi hii ,Sasa mpaka n'nje ya Tanzania.
Jamani tafadhari tusisafishe nyumba yetu na kufagilia uchafu kwa jirani.
Yale mauaji ya kimbali ya Rwanda na Burundi yalifanywa na mashetani wachache na si raia wengi walio wema.

Ushenzi ni ushenzi tu haijalishi rangi, kabila, cheo wala dini ya mtu. Mtu akiwa mshenzi na katili ni ngumu kubadirika regardless of his status.
Good screening of public leaders might be a solution to this.
 
Mzimu Wa burigi utamaliza watu.mwisho Wa mwaka huu
 
The old boy is real a stone-head!Yupo tu jus' like a dumb boy!Anajidai haelewi!Akitoka madarakani utasikia anasema..."yaani najisikia machungu kweli taifa hili kuparaganyika"...!Hopeless material!!!!
Kisha nae anatunga kitabu na kumwita raisi ajae akifungue(mgeni rasmi)huku akijutia mgawanyiko miongoni mwa watanzania kivyama chuki na kutokuwepo na utawala wa sheria kana kwamba hakuwahi kuyaona.
 
Back
Top Bottom