MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Unaweza ukalala Dubai ukashangaa asubuhi unaamkia Kanombe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahaa ahHajui kwanini Kagame hanenepi Usije kushangaa utakapo sikia Miguna miguna kafia hotelini huko huko canada.
Serikali ya kimataifa? Miguna is a Kenyan na baba akiingia madarakani au hata hustler hamna mtu ataweza mgusaKuna Uhuru wa kuongea
ila
uhuru baada ya ulichokiongea upo mikononi mwa Serikali ama wenye pesa
Kwanini?Amechezea pabaya aisee!
Lakini alishafuluzwa Kenya.Serikali ya kimataifa? Miguna is a Kenyan na baba akiingia madarakani au hata hustler hamna mtu ataweza mgusa
Alifuluzwa?Lakini alishafuluzwa Kenya.
Uhuru wa maoniUnaweza ukalala Dubai ukashangaa asubuhi unaamkia Kanombe.
View attachment 2204074
Sorry, ni alifukuzwa.Alifuluzwa?