kijana13
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 1,981
- 3,631
Kagame na ubabe wake anaogopa Sana kuua mtu aliyeko marekani au some countries za ulaya maana itamwariba coz wenzetu wako makini Sana na uchunguzi wa vifo...yeye anaua walio south Africa etc...Kama angeweza hivo angewamaliza wote. Yule jamaa wa hotel in Rwanda alijichanganya tu na mtego akatoka marekani.