Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 2,864
- 8,328
Huyu mgeni ni rafiki sana wa mume wangu, ndiye best man wa harusi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani Shem jinsi ninavyokuheshimu, unasema Miguu Yangu inanuka! Hakyamungu Kuna watu na viatu vinavyonuka.HUYU mgeni ni rafiki sana wa mune wangu, ndiye best man wa harusi
Mpe tunda kimasiharaHUYU mgeni ni rafiki sana wa mune wangu, ndiye best man wa harusi
Ataogopa.Atadhani kwaresma imewadia.Mnawishe Miguu Mkuu.
Kutoka midomo-kunuka tumefikia kwenye miguu-fungus?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ataogopa.Atadhani kwaresma imewadia.
Ajikaze "kiume"?😁😁😁😁😁😂😂😂 huwa ni kero sana harufu ya viatu. Kuepusha ugomvi jikaze kiume mpaka atakapoondoka au kama vipi zungumza na mumeo kistaarabu mjue mna solve vip kama ni ugeni wa muda mrefu
😂😂😂 huwa ni kero sana harufu ya viatu. Kuepusha ugomvi jikaze kiume mpaka atakapoondoka au kama vipi zungumza na mumeo kistaarabu mjue mna solve vip kama ni ugeni wa muda mrefu
Kumbe hauko singleHUYU mgeni ni rafiki sana wa mune wangu, ndiye best man wa harusi