Lukub
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 3,622
- 4,100
Ni miguu au viatu ,tuanzie hapoHuyu mgeni ni rafiki sana wa mume wangu, ndiye best man wa harusi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni miguu au viatu ,tuanzie hapoHuyu mgeni ni rafiki sana wa mume wangu, ndiye best man wa harusi
Mwambie awe ana weka mkaa kwenye viatu harufu itakata sometimes ni bora kusema .Huyu mgeni ni rafiki sana wa mume wangu, ndiye best man wa harusi
Yaan wanaeake wa miaka hii cjui hata hizo kitchen party mnawekewaga za nn??? Usundo huo kuja kumuanika shemeji yko mtandao I,unajuaje naye yumo humu?? Hujui ni baba yako kiroho huyo??? Kaja na kuondoka si mvumilie tuuu???? Anakaa mwaka hapo kwako kwamba utamshindwa??? Jifunze kustiri watu Ili nawe ustirike!!!Huyu mgeni ni rafiki sana wa mume wangu, ndiye best man wa harusi
Hapana usiku avue tu alale ila asioge kabisa he ata siku 2.Kwamba siku tatu mfululizo viatu miguuni, asinye, asioge, alale navyo.
Haha haha ukweli lazima usemweYaan wanaeake wa miaka hii cjui hata hizo kitchen party mnawekewaga za nn??? Usundo huo kuja kumuanika shemeji yko mtandao I,unajuaje naye yumo humu?? Hujui ni baba yako kiroho huyo??? Kaja na kuondoka si mvumilie tuuu???? Anakaa mwaka hapo kwako kwamba utamshindwa??? Jifunze kustiri watu Ili nawe ustirike!!!
Miguu kunuka, hunuswa?Nakushauri ufanye mambo yako achana na mambo ya kunusa miguu ya watu siyo tabia njema hata kidogo.
Na wasipokwenda wanawasema, hawapendi kutembelea ndugu......Hapo na watoto utasikia ... babu mama amesema unanuka 😎
Hii miaka siyo ya kwenda kwenda nyumba za watu, kama hakuna dharura tulia kwako.
Ulitaka akakuchome Tiktok?Sikutegemea kama utakuja niandika Jf. Nmeumia
Huwa ni akili flani ya kimasikini na uchafu inayomuandama mtu kumiliki nguo za ndani chache.Hyo harufu inakera sanaaaaaaaaaa
Picha ya hiyo miguiHuyu mgeni ni rafiki sana wa mume wangu, ndiye best man wa harusi
Pair mbili,zinatosha kabisa kumfanya mtu azifanyie usafi soksi zake,kuliko kulundika masoksi machafu kwenye BIN.Ni uchafu tu wa mtu,kunuka miguu.Huwa ni akili flani ya kimasikini na uchafu inayomuandama mtu kumiliki nguo za ndani chache.
Ukute mtu ana kipato cha maana kabisa lakini anaishi na soxy pair2, chupi pair2!
Kwamba kuvaa siyo kipaumbele chake, hapo kwa nini asinuke kibeberu!
Soxy pair2 hata kama ni msafi kiasi gani hauwez kucontrol harufu mbaya ya uvundo!
Tumia mbinu za kihenga!Huyu mgeni ni rafiki sana wa mume wangu, ndiye best man wa harusi
Mwambie ukweli halafu umfukuzeHuyu mgeni ni rafiki sana wa mume wangu, ndiye best man wa harusi
Pole sana mimi mshenga wangu alikua na hali kama hiyo. Nilikua namuweza nikamwambia uncle hebu tutumie tangawizi na baking soda na alinielewa mpka now hali imekata. Nilikua napata tabu nikienda nae kwa wakwe zangu tunakaribishwa anavua viatu hata hajistukii wenyeji wanasema msivue ingia tuu yeye muda mrefu ashakanyaga kisogino mzigo unaanza kutema balaa.Huyu mgeni ni rafiki sana wa mume wangu, ndiye best man wa harusi
Waweza kuwa upo sahihi.Pair mbili,zinatosha kabisa kumfanya mtu azifanyie usafi soksi zake,kuliko kulundika masoksi machafu kwenye BIN.Ni uchafu tu wa mtu,kunuka miguu.
Atajikazaje kiume wakati ni mwanamke?!😂😂😂 huwa ni kero sana harufu ya viatu. Kuepusha ugomvi jikaze kiume mpaka atakapoondoka au kama vipi zungumza na mumeo kistaarabu mjue mna solve vip kama ni ugeni wa muda mrefu