ki2c
JF-Expert Member
- Jan 17, 2016
- 7,719
- 14,506
Mi sipendi kabisa kurundika soksi chafu ndani.Tuko tofauti hata hivyo.Hata iwe saa ngapi,soksi zilizovaliwa,zifuliwe,ntavaa nyingine kesho.Upande wa boksa,hata zikiwa pea kumi,ni sawa tu.Anyway... huyo anayenuka miguu,azingatie usafi tu.Waweza kuwa upo sahihi.
Lakini mkuu, kauka nikuvae hasa kwa nguo za ndani ndiyo chanzo kikuu cha miharufu ya ajabu ajabu.
Mtu akimiliki kwa mfano pea kuanzia 5, anakuwa na wasaa wa kufanya usafi.
Tena afadhali chupi kwa wanaume unaweza kukaa siku2 bila kufua, lakini soxy ni lazima afue kila siku kama anapenda usafi na hataki matatizo.