Miguu ya mgeni inanuka sana, nifanyeje nisioneshe kukerekeka/ kukerwà

Miguu ya mgeni inanuka sana, nifanyeje nisioneshe kukerekeka/ kukerwà

Waweza kuwa upo sahihi.
Lakini mkuu, kauka nikuvae hasa kwa nguo za ndani ndiyo chanzo kikuu cha miharufu ya ajabu ajabu.

Mtu akimiliki kwa mfano pea kuanzia 5, anakuwa na wasaa wa kufanya usafi.
Tena afadhali chupi kwa wanaume unaweza kukaa siku2 bila kufua, lakini soxy ni lazima afue kila siku kama anapenda usafi na hataki matatizo.
Mi sipendi kabisa kurundika soksi chafu ndani.Tuko tofauti hata hivyo.Hata iwe saa ngapi,soksi zilizovaliwa,zifuliwe,ntavaa nyingine kesho.Upande wa boksa,hata zikiwa pea kumi,ni sawa tu.Anyway... huyo anayenuka miguu,azingatie usafi tu.
 
Pole sana mimi mshenga wangu alikua na hali kama hiyo. Nilikua namuweza nikamwambia uncle hebu tutumie tangawizi na baking soda na alinielewa mpka now hali imekata. Nilikua napata tabu nikienda nae kwa wakwe zangu tunakaribishwa anavua viatu hata hajistukii wenyeji wanasema msivue ingia tuu yeye muda mrefu ashakanyaga kisogino mzigo unaanza kutema balaa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]daah eti akivua tu kunatemaaa
 
Mwambie mumeo juu ya hilo.
Hapo vidole vina fungus pamoja na soksi na viatu.
Asafishe vidole vya miguu na kuvikausha kwa toilet paper.
Halafu anyunyize powder ya anti fungus inaitwa Athletees Foot, kwenyevidole, soxy na kiatu.
Harufu itapotea tu.
Asante sana
 
Back
Top Bottom