Miguu ya mgeni inanuka sana, nifanyeje nisioneshe kukerekeka/ kukerwà

Kawaida hiyo we vumilia kwani atakaa hapo mwaka mzima?
miguu inanuka
kwapa linanuka
mdomo unanuka
na na naliu vile vile mbona tunawavumilia!
hapa nimesahau kijambio nacho ni balaa.
 
Kuna jamaa nilikuwa nashare nae room Chuo aise miguu inanuka balaa[emoji23], kiatu anacho kimoja anakivaa mwezi mzima non stop Kama playlist za kikongo

Nilifurahi siku anaama
Ungemsaidia kwa kumpa zawadi ya viatu vingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…