Mihayo Wilmore anayedaiwa kumpiga mkewe Nackitia Nyange "kipigo cha mbwa koko" ni nani?

Mihayo Wilmore anayedaiwa kumpiga mkewe Nackitia Nyange "kipigo cha mbwa koko" ni nani?

sonofobia

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
1,171
Reaction score
4,295
Nimeona video ikisambaa mitandaoni ikionyesha mtu anaetajwa anaitwa Mihayo akimpiga ex wife kipigo cha mbwa mwizi.

Nikawa interested kumjua maana watu vile wanamzungumzia ni kama mtu fulani wa maana sana hapa mjini.

7995178117_fec54022d8_b.jpg

Mihayo Wilmore

DSCN0067.JPG

Mtalaka wa Mihayo, Nackitia Nyange(Mtoto wa Anne Kilango Malecela)

Nilikaenda msikiliza kweye podcast ya men men men ambayo kwa sasa imefutwa baada ya video kusambaa jamaa anamtuhumu mkewe kwamba alimpitisha kwenye maisha yenye mateso na maumivu mpaka akamwachia mali zote akaanza upya.

Kwa wanaomfahamu huyu jamaa ni nani haswa? Na huo mgogoro na mkewe waliotengana ulihusisha nini haswa?

Kitu ambacho nimeona familia ya Mzee Malecela ndio wanaongoza mashambulizi, kwa nini sasa na sio 2015 alipompiga mkewe?

ila mbona kama ni la muda sana hilo tukio maana inasomeka 2015-03-24 20:27...
👆 Kweli inasoma miaka iliyopita ila it was hidden until it happening openly leo, na ndiyo maisha ya husband and wife wanayoishi huku watoto wakiangalia.

Kilichonisikitisha kwenye hii video ni watoto masikini wlivyokuwa wanahangaika sijui ndiyo wazazi wao wanagombana na hawana uwezo wa kuamua haya mambo ya familia yanaumizaga sana watoto
👆 Yap, ndiyo mabeberu wa kiafrika tuache hizi mambo.
24/03/2015 video ilirekodiwa
Kwaiyo ndio tunaijadili mwaka 2020
👆 Sahihi kabisa kufanya mjadala wa aina hii.
 
[emoji115] Kweli inasoma miaka iliyopita ila it was hidden until it happening openly leo, na ndiyo maisha ya husband and wife wanayoishi huku watoto wakiangalia.

[emoji115] Yap, ndiyo mabeberu wa kiafrika tuache hizi mambo.

[emoji115] Sahihi kabisa kufanya mjadala wa aina hii.
Watoto wanahuzunisha sana yaani ningekuwa mimi kwa jinsi walivyokuwa wanahangaika nguvu za kuendelea kuhangaika na huyo mke zingeisha.

Ila huyo jamaa aliyekuwa nyuma hata kutoa msaada na yeye akachapa mwendo badala ya kuamulia hawa watu ndiyo yakitokea madhara huwa wanakuwa kimbelembele kuongea wakati hawakusaidia kwa lolote
 
Huyu jamaa ni mtu mmoja poa sana. IT & Marketing genius fulani.
Kilimcost sana kuoa huyo dada yake le mutuz kwa mama yake wa kambo .

Mihayo yuko very focused lakini alipata mke ambaye anapenda starehe za town mtoto wa Kinondoni matokeo yake akawa anapigia hesabu mali za mchizi.

Na kumpeleka resi sana mchizi anarudi kula bata late mke wa mtu hata kama ndio uzungu huu ulipitiliza . Sema kwa hiyo clip nimeamini binadamu uki mpush kwenye edge anaweza akaua mtu bila kutarajia. Lazima kuna sababu kwanini demu kala kipondo kile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watoto wa kinondoni wamefanyaje tena
??

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeona video ikisambaa mitandaoni ikionyesha mtu anaetajwa anaitwa Mihayo akimpiga ex wife kipigo cha mbwa mwizi.

Nikawa interested kumjua maana watu vile wanamzungumzia ni kama mtu fulani wa maana sana hapa mjini.

Nilikaenda msikiliza kweye podcast ya men men men ambayo kwa sasa imefutwa baada ya video kusambaa jamaa anamtuhumu mkewe kwamba alimpitisha kwenye maisha yenye mateso na maumivu mpaka akamwachia mali zote akaanza upya.

Kwa wanaomfahamu huyu jamaa ni nani haswa? Na huo mgogoro na mkewe waliotengana ulihusisha nini haswa?
Kitu ambacho nimeona familia ya Mzee Malecela ndio wanaongoza mashambulizi, kwa nini sasa na sio 2015 alipompiga mkewe?
Hicho kipindi cha wanaume umekipata wapi mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siungi mkono tabia ya watu wazima kupigana ila wanawake wana midomo sana. Wengi wanapigwa kutokana na midomo yao, mwanamke hakubali kushuka anachonga mdomo tu. Na inafahamika sisi wanaume midomo yetu ni ngumi na mateke.

Hakuna sababu ya kumpiga mwanamke lakini kila mwanamke anayepigwa kuna chanzo.
 
Pia miaka ya nyuma tulikuwa nae US nilishakutana nae sana kwenye umoja wa watz
Yupo Mwananchi Communication Ltd, ni Mkuu wa kitendo cha Digital...

Jamaa ana magari makali sana pale, Ana Range Rover,ana Jaguar... ni mtu mmoja ambaye kajipanga kimaisha, Hua nasikia before joining pale alishawahi fanya kazi huko kwenye Telecom industry...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom