Swali la kujiuliza kwanini nacky apigwe vile na kwanini clip itolewe sasa hivi
Mihayo VS Nacky. Mume alishinda kesi ya madai iliyofunguliwa na Nacky mkewe aliamuriwa amlipe mamilioni mia kadhaa kwa usumbufu na matatizo aliyoyasabisha. Demu alikuwa anataka mali ambazo zimemilikishwa watoto wao.
Demu kwa sasa hali ya kifedha yuko vibaya ndio maana kavujisha hii clip ili umma umuonee huruma.
Sababu ya huyu dada kupigwa ni kufumaniwa akitembea na rafiki wa karibu wa mumewe. Ambaye ni baller hapa town huyu jamaa. Vijana wa Tigo wanajua hii story.
Sent using
Jamii Forums mobile app