Zurie
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 2,012
- 5,571
Mungu akubariki mkuu kwa kusema ukweli, wanawake wengi sana wanatesa wanaume tena wanachepuka mpaka mchepuko wake analeta dharau kwa mume lakini hili jamii haisemi, kuna yule mtanzania aliua mke huko Marekani sababu mke alirudi kalewa na kumletea dharau, alifanya vibaya sana kuua lakini hakuna kitu kinaamsha hasira ya mwanaume kama kudharauliwa na mkewe tena mbele ya jamii na watoto ndio maana biblia imeandika wake watiini waume zenu. Ila sasa wengi wanachukulia upande mmoja tu kuwa mwanaume kwa sababu ana nguvu basi anaonea.
Kwahiyo mtu akikukosea nawe unatenda kosa? Self control yako iko wapi?
Kwahiyo mkeo akiondoka nyumbani akatekeleza watoto na wewe utatafta pa kwenda uwaache?
Yani unajustify makosa yako kwa sababu ya makosa ya binadamu mwingine? Huna Akili ya kujisimamia wewe?