mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Sure,kama uwezo huo upo na itakupunguzia machungu fanyeni tu.
dodge
Sijasema huyo Nacky ni mtakatifu. Issue hapa ni mwanaume kumpiga mwanamke. Yani hili la huyu jamaa kumbonda mkewe mbona mnalikwepesha kwepesha kwa hoja za makosa ya mke.
Kwamba nanyi mkichepuka na kutufanyia dharau tuwakodishie wakina Mwarabu Fighter wawabonde maana nguvu hatuna?
dodge