Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Aahh niivo tu, nahuo ndio msimamo wangu ninaomuishi mwanamke.
Alafu akusaliti kwa sababu tu kaamua.?
Nyie jiteteeni, Ila wanaovumilia huo ujinga ni wanaume wa Pwani, Moro, Lindi Lindi ...
Mimi nitakua mwanaume wa mwisho kabisaaa kukubali huo ujinga.
sembuse usaliti????...... Izo mambo za baby nakupenda, nmekusamehe baby , nizile za wanaume ambao hawana uhakika wa mahusiano.( kwao kupata mwanamke mwingine ni Ndoto,ivo analazimika kuchukulia poaa ).
Kwanza, unasalitiwaje namtu unayemlisha, mvisha, mjali nakumpa huduma zake zakimahitaji kama mwanamke....Double standards