Mihayo Wilmore anayedaiwa kumpiga mkewe Nackitia Nyange "kipigo cha mbwa koko" ni nani?

Mihayo Wilmore anayedaiwa kumpiga mkewe Nackitia Nyange "kipigo cha mbwa koko" ni nani?

Aahh niivo tu, nahuo ndio msimamo wangu ninaomuishi mwanamke.
Double standards
Kwanza, unasalitiwaje namtu unayemlisha, mvisha, mjali nakumpa huduma zake zakimahitaji kama mwanamke....

Alafu akusaliti kwa sababu tu kaamua.?


Nyie jiteteeni, Ila wanaovumilia huo ujinga ni wanaume wa Pwani, Moro, Lindi Lindi ...


Mimi nitakua mwanaume wa mwisho kabisaaa kukubali huo ujinga.
sembuse usaliti????...... Izo mambo za baby nakupenda, nmekusamehe baby , nizile za wanaume ambao hawana uhakika wa mahusiano.( kwao kupata mwanamke mwingine ni Ndoto,ivo analazimika kuchukulia poaa ).
 
Ndio wanavyokuaga hawa, sasa keshachakazwa, Kama ni Wanaume keshatembea nao mpaka K imeota sugu. Na mbaya zaidi hamna aliyefanya naye kitu cha maana, sanasana katumika weee..


Sasa naona mwamba, Kainuka tena, yuko vzuri, a natafuta namna ya Kumshusha ..




No matter what, Bro Mihayo anatakiwa asiwe na moyo mwepesi ,haya nimapito ,YATAPITA TU
Mwanamke kama huyo ni kumkatia umeme na maji tu shnz typ
Ashapigika sana vijana washaml snaaaaa
Sahv ndy a Nakumbuka shukaaaa

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
'Kama hutaki shughulisha akili yako unategemea utofautishwe na ng'ombe kwa kusimama kwa miguu miwili pekee?'

Daah aisee bora umeweza kujitofautisha na ng'ombe aisee kwa kuichambua kabisaaaaaa vyema video ile.
Hivi Mungu alipokupa utashi wa kung'amua mambo alikuwa hana akili? Kama hutaki shughulisha akili yako unategemea utofautishwe na ng'ombe kwa kusimama kwa miguu miwili pekee?

Haya ni mara ya kwanza kupigwa! Turudi kwenye mada...

dodge
 
Mahusiano hayalazimishwi zaidi ya hapo mtakuja kuumizana tu au kwenda jela
Kama mwanamke Ana background ya ucheche hawezi a acha, Dawa ni kumpiga chini au mpigane chini Maisha yaendeleee

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kubali kutofautiana na jamaa! Kama halijakufika huwezi tambua. Kama mwanamke unampenda ukimfumania na ulikuwa huamini anaweza kukucheat unaweza kumpiga ingawa ni kosa kubwa katika maisha. Ila kama ulishamfumania au ulikuwa na wasiwasi naye utaona ni kawaida na utampiga chini (maana upendo ulishakatika yalibaki mazoea). Pili si sahihi kuwa mwanamke akichiti hawezi kurekebishwa, hii inategemea iwapo pengine alikuwa analipa kisasi anaweza kuacha ila kama ni kicheche hilo unalo! Umri nao ni tatizo la kutokuwa mwaminifu, umri ukipita anatulia mbona Wema katulia
 
Mwanaume yeyote anaye nyanyua mkono kumpiga mkewe/demu wake atakuwa na mapungufu katika malezi au mpaka yeye binafsi. Kama mapenzi yanazingua chomoa weka chuma kipya.
Inategemea umri si kama wa mbuta nanga
 
Aisee wanaume mnashangaza sana, mmekazani ku justify kupigwa kwa huyo dada sijui mdomo, sijui umalaya, kwani unakuwa umewekewe superglue kwamba huwezi kutoka kwenye hiyo ndoa inayokupa stress? kama mdomo wake umekushinda rudisha kwao, kama ni umalaya rudisha kwao, katafute hao wasio na mdomo na wasio malaya. Iko hivi mwanaume mpigaji huwa ni hulka yake tu hanaga sababu tena siku akitaka kukupiga elewa kwamba ataitafuta sababu mpaka aipate, na mwanaume ambae si mpigaji hata akufumanie hata nyanyua mkono, atakupisha ndani ya nyumba kimya kimya bila hata kelele
 
Mookiesbad98,
Tena huo na kelele hawa aisee utasikia kama wee mwanaume kweli nipige. Sema huyu mwanamke anaonekana ana dalili za ujinga wa kuriti toka zamani. Wenzetu wakisagundua walikosea wakaoa midudu isioleka wanatiliwaga sumu tu mambo yanaisha
 
mrsleo,
akuna mwanaume anayealalisa kichapo hapo ila wewe umehalalisha kitu apo. Kwani huyo mwanamke anachotaka hapo si ndo kurudishwa kwao ili apate kukupora mali asiyoitolea jasho?. Inawezekana hata hizo tabia cafu ni mkakati tu ili ushindwe ufanye kama hivyo. Ila mara nyingi sana wanawake wa hivi wala hawafanikiwi kama wanavyopanga wanaisiaga kuwa wazee wa kanisa au kuokoka mwisho wa siku
 
Nimesema HAPA! Rudia tena kusoma ukizingatia neno HAPA! Na usome maelezo yafuatayo. Soma kuelewa sio kujibu.

HAPA wapi?

Anapokua “mwanamke” all laws are suspended sababu ni “mwanamke”?

Wanadamu wengine ni sawa kupiga ila “mwanamke” hapana?

This is nonsense!
 
HAPA wapi?

Anapokua “mwanamke” all laws are suspended sababu ni “mwanamke”?

Wanadamu wengine ni sawa kupiga ila “mwanamke” hapana?

This is nonsense!

Hapa kwenye huu uzi.

Hayo ya kuwa ni mwanamke pekee anapaswa kutetewa umeyatoa wapi? Kuna mwanaume kapigwa kwenye huu uzi? Kuna mtoto kapigwa kwenye huu uzi?
 
Back
Top Bottom