Mihayo Wilmore anayedaiwa kumpiga mkewe Nackitia Nyange "kipigo cha mbwa koko" ni nani?

Binti Kiziwi,
cc Zurie,
Maelezo yenu yana hoja, na ninaona jinsi ambavyo mnajaribu kuonesha hisia zenu juu ya kitendo cha kupigwa mdada,
Mimi nilitamani sana kuona mnaanza kwa kukiri kwamba inawezekana mdada alitenda kosa lililopelekea kupigwa kwake, unajua inaudhi sana mwanamke anapokuwa ametenda kosa zaidi ya mara moja unamwambia hasikii, huyo jamaa naamini naye hakupenda kumpiga mkewe tena mbele ya watoto wake, ndio maana utaona walitoana ndani, inawezekana jamaa alikuwa ameamua kutoka nje akapunge upepo hasira zake ziishe, lakini picha inatuonesha mwanamke ndie aliyekuja kwa nyuma, na inawezekana kabisa alikuwa akimfuata mumewe nje kwa matusi, inawezekana, angekuwa na adabu, angebaki ndani ya nyumba, mjifunze tu kuwa na adabu na heshima na usikivu na Utii, hakuna mwanaume anaeweza kupiga mke wake bila sababu ya msingi, hata namna mnavyo comment, mnaniacha hoi.
 
Mwenyezi Mungu katuagiza tuwatii waume zetu, lakini sifikirii kawaagiza muwapige wake zetu! [emoji23] Wanaume wanaume! Au alisema wanawake wawatii wasipowatii muwabonde hehehe!
uislamu unaruhusu, quran imeandikwa wanawake wana akili kidogo,hivyo wapigwe, quran inasema akili ya mwanaume mmoja ni sawa na akili ya wanawake wawili

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Either tunakuacha hoi au hatukuacho hoi hapa its not an issue. Issue hapa ni kupigwa kwa mwanamke mwenzetu mkuu, hajajitetea wala hajashika hata kajiwe kurusha. (Sote tunajudge kwa hiki kinachoonekana katika kipande cha video)

Msimamo wangu kama binadamu siungi mkono mtu yeyote kupigwa iwe ni ke au me! Hata tukikiri kuwa yawezekana mwanamke mwenzetu alikosea bado kwangu haitokei sababu nzito ya kuhalalisha namna anavyopigwa, kwahiyo mkuu tukikiri alikosea ameshapigwa so what, i better stand here, MWANAMKE HATAKIWI KUPIGWA! kuna adhabu mbadala mbona? Au hamjui?

Eti angebaki ndani video inaonesha akimfuata mume nyuma ambapo ukaguess alimfuata nyuma kwa matusi, kwanini usione alimfuta nyuma akafungue zake geti aondoke? Umeshafahamu unaposimamia mkuu? Na hapo ndipo sisi tunapopapinga, tusomeni katikati ya maneno mtuelewe.
 
hicho nacho ni kipondo???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke mwingine ukimfukuza nyumbani haondoki na unakuta umemfumania so inabidi umshushie kipigo aondoke.
 
Weka wazi hizo adhabu mbadala unazozipenda wewe zinaweza kuwasaidia wanawake wengine, wewe kujifanya you stand there kwamba mwanamke hatakiwi kupigwa unakosea, msiharalishe maovu/makosa wanayofanya wenzenu kwa kisingizio sio haki, ukizingatia anayoyataka mume huwezi kupigwa, kinyume chake my dear usilaumu watu, unataka tuwasome katikati ya maneno, how ?.
 
Malenga walisema, Kiburi si maungwana, lakini pia Mkaidi hafaidi mpaka siku ya Idd, semi hizi ziliwasaidi sana Mama zetu kuishi vizuri na waume zao kwa muda mrefu, kuna mada moja hapa jamvini Mdau mmoja ameripoti akisema amekuta Picha za Utupu za mke wake akiwa amemtumia mwanaume ambae lazima atakuwa hawala yake, sasa kwenye case kama hii unashauri Mwanamke hapigwi ?.
 
M
mbadala ni majadiliano juu ya matatizo yenu
Na kila mtu kuona matendo yake alipokosea na alikopatia

na si mmoja malaika mmoja mkosaji
 

Huwezi jua ushenzi wa mtu unless unalala nae kaka, au unashare nae ukuta! No offense!
 

Comment yangu moja umeijibu mara mbili, na unaniletea cases tofauti kujustify upigaji, basi ngoja nikukubalie mwanamke anapigwa, na tena anapigwa sana, mwanamke ndiye mtu pekee hukosea duniani, hivyo kumpiga ni haki kabisa. You happy now!? 😀

Ujue nimewasoma na kuwasoma tena, imebidi nianze kutafakari upya, hivi kupiga kwenu ninini? Kwanini mnaamini sana katika kupiga? Je ni kukomoa, kurekebisha au kumaliza hasira? Ama ni matatizo ya akili na hamjijui? Maana kila mtu anajimwambafy kuwa ni lazima kupiga na hamna namna!

Naendelea kusimama hapa, siafiki mtu kupigwa no matter aina ya kosa alilokosea, kupiga ni uonevu, unyanyasaji na udhalilishaji, na mwisho sifikirii kama kuna matokeo chanya juu ya upigaji. Nitaendela kusimama hapa hapa.

Africa tunapigana sana na hakuna chenye kinabadilika au kuleta unafuu, watoto majumbani wanapigwa, shuleni wanapigwa, wanawake wanapigwa, watu wanapigana ovyo mitaani, nini shida katika akili yetu? Note: sio kwamba race zingine hazipigani, lakini utaona reaction ya watu juu ya upigaji ndiyo inayotutofautisha sisi wa bara giza na wale. Huku ukireact kupinga upigaji you will be called names, Je ni kweli upigaji unasaidia kitu!?Hebu wapigaji mtuambie hapa.
 
Fact mademu wengine wameumbwa sio kuolewa Bali kuwaliwaza wanaume walio oa kipindi ndoa zao zinazingua
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu... I think you will agree with me that you cannot beat your children like the way that guy did to his wife. In other words.... kumuadabisha mtoto kuna namna yake... huwezi piga mtoto mateke .

Kumu adabisha mtoto kuna “namna” yake!

The same way kumuadabisha mwanamke kuna “namna” yake!

Wewe umetumia kipimo gani kuona yule dada kapigwa “sana” universally kiasi kwamba wote tukubaliane na wewe?
 
Wachache kwa takwimu zipi mkuu
Sex ratio ya nchi na dunia ni 1:1

vinginevyo njoo na takwimu
Ndo Ndoa zinahappen kila siku
Wanaume watu wazima ndo wanaooa Watoto wa kazi gani

Mzee

Unafeli sana,maana hapo ni wote watoto kwa watu wazima na wazee

Sasa ukija kwenye eligible bachelors tayari kuoa ni way too small number compared na wanawake walio eligible

Hivyo wanawake wengi eligible wana go unmarried

Tunazungumzia kundi la katikati lililo tayari kuoa au kuolewa,wanaume wake ni way too small!

Kundi la watoto na wazee hapa ni useless!

Ila overall population jinsia ya kike na kiume ni slightly 1:1
 
Heee kumbe naye sio mtu mwema. Sasa ujasiri wa kuhukumu kama mtu mwema aliupata wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…