MTINGIJOLI
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 1,455
- 1,473
[emoji23][emoji3][emoji2][emoji2][emoji2] Aisee we Jamaa ni Fala Sana!Mwanamke hapigwi ngumi hupigwa mhogo wa jyang'ombe tu. Ukiona kidume kimeinua mkono na kuikunja ngumi kwa mwanamke ujue "Kishavurugikiwa kichwani huyo". Wadhani hatugombani?? Lakini tunajua kuwatandika sawasawa. Mzalisheee hadi akitembea upepo ukija achuchumae. Hakuna uzazi wa majira kwa wadudu hao
si ndo hivyo mihayo kaachana nayeNa wewe na wenzio kwa ujumla
Kama wanawake ni wengi kiasi hicho achana nae anza moja
kitete cha nini kuua mtu?.si wapo wengi?.
Acha kutengeneza storiYaan wanaume awafai ata jina la mbwa maana mbwa ana huruma unalala ndani ye yuko nje anakulinda.....ukute uyo kaka ni malaya shetani afuati labda ikatokea tu mwanamke akapata asira akachepuka siku moja ama katoka na mtu tu wakapata dinner ndo ikawa ivo
Sasa jilaumu wewe ulichagua mke kilazakwa upeo gani alio nao mwanamke,japo sio wote,wachache sana wanajielewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida yako ni ukilaza na kuongea usiyo na uhakika nayo
since nimepita mitandaoni and i have the facts i will get them straight for you
first:Mihayo did the podcast and hakuficha identity yake hata ambao hatukua na uhakika tuliconfirm on the spot nani anaongelewa na alimtaja sana tu..unadhani kwa nini imetrend?
pili video hajapost mke:kapost mdogo wake mke ebaada ya kusikia alichosema Mihayo kwny podcast ukitaka mtafte insta si unawajua?.
tatu :Nacky na watoto ndo walikua nyumbani Mihayo alishaondoka kurudi kuishi kwa mama ake
Yeye mwanaume ndo alikuja kuona watoto wanaoishi hapo na x wife wake
X husband ndo alikuja fanya vurugu hapo kwake japo alishahama 6 months prior
Haya ni kutoka kwa wahusika huko mitandaon
know the facts kwanza ndo uje..nimekudespise vibaya mnooo ...mnoo kwa kuja na maneno mengi ya uongo kupitiliza wkt ukweli uko wazi kwa wahusika
Kasoro (nishazoea kumuita jina lake la Youngafricans) ni mtu very smart. Mipango yake ya biashara, pragmatism yake, exposure etc, vinamfanya awe bonge la asset popote atakapokuwa.Inasikitisha ...kwa mnao mjua maybe u know better
but the podcast and this video show absolutely two different Men
Bado ipo hyo niione?I wish you heard that podcast
mwanzo mwisho unajiuliza mke kakosa lipi kubwa sana hadi uyu kaka kaona their marriage was toxic.,sijui waandishi walikua wanaogopa kumuuliza maswali au vipi ila ilikua janja janja sana
ni kweli kila mtu anaendelea na maisha yake na mwanaume/mwanamke mwingine
sijawahi ona baba angu akimpiga mkewe,ila mwanamke yeyote akileta kimdomo nambonda vizuri tuHakuna sababu ya kupigwa Ni ukatili tu na malezi mabaya ya baadhi ya watoto wa kiume wamelelewa na kukua wakiona wazazi wao wanapigwa na wao wanaiga mpk kesho
Watu ya kanda ya ziwa mfano huyo Mihayo ni msukuma kupiga asili yao hata uwe mpole kiasi gani utapigwa tuuu!!
Tena enzi hizo wamama wa huko walikua wanapigwa sana kuliko sasa hivi
Ni ukatili Tu kupigwa mtoto wa kike!!acheni ukatili nyie baadhi ya wanaume
Sent using Jamii Forums mobile app
Toa Makelele Yako hapa, mwanamke akileta Mdomo Mchafu lazima apigwe, Tandika Mpaka AnyeShida yako ni ukilaza na kuongea usiyo na uhakika nayo
since nimepita mitandaoni and i have the facts i will get them straight for you
first:Mihayo did the podcast and hakuficha identity yake hata ambao hatukua na uhakika tuliconfirm on the spot nani anaongelewa na alimtaja sana tu..unadhani kwa nini imetrend?
pili video hajapost mke:kapost mdogo wake mke ebaada ya kusikia alichosema Mihayo kwny podcast ukitaka mtafte insta si unawajua?.
tatu :Nacky na watoto ndo walikua nyumbani Mihayo alishaondoka kurudi kuishi kwa mama ake
Yeye mwanaume ndo alikuja kuona watoto wanaoishi hapo na x wife wake
X husband ndo alikuja fanya vurugu hapo kwake japo alishahama 6 months prior
Haya ni kutoka kwa wahusika huko mitandaon
know the facts kwanza ndo uje..nimekudespise vibaya mnooo ...mnoo kwa kuja na maneno mengi ya uongo kupitiliza wkt ukweli uko wazi kwa wahusika
Sawa..ni mtu mzuri bt why u posing ur friend like he did everything right...ye hajawahi mkosea mke?.Kasoro (nishazoea kumuita jina lake la Youngafricans) ni mtu very smart. Mipango yake ya biashara, pragmatism yake, exposure etc, vinamfanya awe bonge la asset popote atakapokuwa.
Tatizo, kuna angle ya emotion hapo. Na kama mtu hajaweza ku control hiyo angle ya emotion, anaweza hata kuua kijinga tu.
Halafu, kujiamini sana nako si kuzuri. Mtu anaweza kuwa mjinga tu, na wewe una akili sana, ukaona unaweza kum control, unaweza kumu undermine, unaweza kumu outtalk.
Lakini huwezi kujua atakuvizia wapi na kitofa aje kwa nyuma akupige kichogoni wakati hata hujamuona.
Ndiyo maana mabaharia wakitaka kuoa wanakuwa na mlolongo mrefu wa kuchunguza mke mtarajiwa kushinda background checks za FBI.
Yani baharia hata kama una akili vipi, ukikosea kuoa tu umekosea sehemu kubwa sana, hususan kama umekosea kuoa halafu kuna watoto washaingia kwenye mlinganyo.
tunaongelea kupiga sio kuua,mihayo kamtandika vibao na kaanza masiha yake mapya,eti sina jeuri ya kuanza upya , wakati wanawake wazuri wanazaliwa kila sikuni kweli kila mtu anaendelea na maisha yake na mwanaume/mwanamke mwingine
na Ana afadhali wewe jiroge uue utafia jela segerea kwa kunyongwa..mana jeuri ya kuacha uanze moja huna unaona bora uue
Ukipiga ukiua?Toa Makelele Yako hapa, mwanamke akileta Mdomo Mchafu lazima apigwe, Tandika Mpaka Anye
ntakuletea ayaHebu usiutie uislam DOA kwa uwehu wa wanaume wachache!hayo ya kupiga ya kwenu wenyewe na balaa lenu sio quran wala sunnah
Sent using Jamii Forums mobile app
tandika umuachie makovu kabisa awe anakukumbukaToa Makelele Yako hapa, mwanamke akileta Mdomo Mchafu lazima apigwe, Tandika Mpaka Anye
Hakuna mtu humo unajisumbua bure mkuu...maelezo yake tu yamekaa kiushabiki haina haja kumjibu mana keshajichagulia upande wa kuutetea.Binti Kiziwi,
cc Zurie,
Maelezo yenu yana hoja, na ninaona jinsi ambavyo mnajaribu kuonesha hisia zenu juu ya kitendo cha kupigwa mdada,
Mimi nilitamani sana kuona mnaanza kwa kukiri kwamba inawezekana mdada alitenda kosa lililopelekea kupigwa kwake, unajua inaudhi sana mwanamke anapokuwa ametenda kosa zaidi ya mara moja unamwambia hasikii, huyo jamaa naamini naye hakupenda kumpiga mkewe tena mbele ya watoto wake, ndio maana utaona walitoana ndani, inawezekana jamaa alikuwa ameamua kutoka nje akapunge upepo hasira zake ziishe, lakini picha inatuonesha mwanamke ndie aliyekuja kwa nyuma, na inawezekana kabisa alikuwa akimfuata mumewe nje kwa matusi, inawezekana, angekuwa na adabu, angebaki ndani ya nyumba, mjifunze tu kuwa na adabu na heshima na usikivu na Utii, hakuna mwanaume anaeweza kupiga mke wake bila sababu ya msingi, hata namna mnavyo comment, mnaniacha hoi.
umekosea kivipi,si unatimua tu unatafuta mwanamke mwingineKasoro (nishazoea kumuita jina lake la Youngafricans) ni mtu very smart. Mipango yake ya biashara, pragmatism yake, exposure etc, vinamfanya awe bonge la asset popote atakapokuwa.
Tatizo, kuna angle ya emotion hapo. Na kama mtu hajaweza ku control hiyo angle ya emotion, anaweza hata kuua kijinga tu.
Halafu, kujiamini sana nako si kuzuri. Mtu anaweza kuwa mjinga tu, na wewe una akili sana, ukaona unaweza kum control, unaweza kumu undermine, unaweza kumu outtalk.
Lakini huwezi kujua atakuvizia wapi na kitofa aje kwa nyuma akupige kichogoni wakati hata hujamuona.
Ndiyo maana mabaharia wakitaka kuoa wanakuwa na mlolongo mrefu wa kuchunguza mke mtarajiwa kushinda background checks za FBI.
Yani baharia hata kama una akili vipi, ukikosea kuoa tu umekosea sehemu kubwa sana, hususan kama umekosea kuoa halafu kuna watoto washaingia kwenye mlinganyo.
sijawahi ona baba angu akimpiga mkewe,ila mwanamke yeyote akileta kimdomo nambonda vizuri tu
Sent using Jamii Forums mobile app