24/03/2015 video ilirekodiwa
Kwaiyo ndio tunaijadili mwaka 2020
Video si imeambatanishwa na mada mkuu
Ieleweke kwamba hauna haki yeyote ya kisheria kuja kwamfano kumshawishi mke wangu eti aungane na wewe kupinga kupigwa, sana sana na wewe utapata hicho kipigo
sana,labda huyo mwanaume uliyenaye awe mume bwege, quran imeruhusu tuwapige na mtapigwa tu maana hamna namna
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui huyo mume wako kama huwa anaweza hata kukufokea, inaonekana umemkali kichwani mmeo, ndio maana unakuja hapa na maneno yako ya Beijing, na kama huo (kwenye avatar)ndio mdomo wako ni shida
Hivi huwa unasoma comments zangu na kuelewa au unakulupuka kuandika ni wapi nimeandika kwamba mwanaume amekosa mwanamke kuoasio tusi ni ukweli,wewe ni mpumbavuu,hakuna mwanaume anayekosa mwanamke wa kuoa, mwanaume ikitokea hajaoa ni maamuzi yake na sio kwamba amekosa mwanamke
Sent using Jamii Forums mobile app
Ipo humu humu kwenye UZI,wameshaiweka,itafute tu mkuu.
Kwenye mahusiano tunakoseana wewe ukikosea upigwe na mkeo watu mmekutana kila mmoja anatambua mbaya na nzuri kwa nini mpige kashindwa kufata vile unataka MUACHE
Kilichonisikitisha kwenye hii video ni watoto masikini wlivyokuwa wanahangaika sijui ndiyo wazazi wao wanagombana na hawana uwezo wa kuamua haya mambo ya familia yanaumizaga sana watoto
Mkuu, labda wewe umemuelewa vizuri huyu hawachi, nisaidie, umegundua shida yake inaweza kuwa iko wapi ?, sijui ni kwanini hataki kuchukua points zote hizo tunazojaribu kutoa, still anasema hajaona Hoja ya msingi tunayopigania hapa, eti anatutishia jela, huyu wa hivi ni wa kupiga anashtaki unaenda jela siku ukitoka unafikia kumpa kipigo kingine, mpaka atashika adabu, wanajidanganya sana hawa Ladies.Kosea halafu nyamaza na msamaha uombe
Shida ni micro aggressions zenu na midomo mirefu...
Hapo lazima the opposing animal a-stand his own ground
Ni natural male animal instinct!
Mtaumia sana aisee
Jela ni useless,tayari damage victim ushapata,huwezi badili biology eti kwa jela!
Jela zina miaka 2,800 ila bado waume wanaua wake zao hadi keshokutwa!
Relax,hold my beer!
Babu kiranga [emoji847] nimekupenda etiKitu kikubwa mkeo unamchagua vizuri, unamkaza vizuri, unamhonga vizuri, unampeti peti vizuri, kiasi anakuwa haoni wala hasikii mwingine.
Ukishaweza hilo, unatulia naye, mnalea watoto.
Hapo hata akikukosea kidogo tu mwenyewe anajirudi hata kabla hujasema kitu.
Ile mwanamme umetua nyumbani tu mwenyewe anaanza kuomba msamaha kabla hujamsema.
Yani anaanza kujishukushuku mwenyewe, Baba Kwani mboona hivyo leo? Jana hukupenda nilivyopika? Au perfume yangu ya leo inakukera?
Ukitoka hapo unambusu, unaenda kumpiga kwa mguu wa tatu chumbani kuanzia kitandani mpaka mnaangushana kwenye floor huko San Salvador.
Hivyo ndivyo mwanamke anavyopigwa.
Si kwa ngumi na makofi.
Mkuu, labda wewe umemuelewa vizuri huyu hawachi, nisaidie, umegundua shida yake inaweza kuwa iko wapi ?, sijui ni kwanini hataki kuchukua points zote hizo tunazojaribu kutoa, still anasema hajaona Hoja ya msingi tunayopigania hapa, eti anatutishia jela, huyu wa hivi ni wa kupiga anashtaki unaenda jela siku ukitoka unafikia kumpa kipigo kingine, mpaka atashika adabu, wanajidanganya sana hawa Ladies.
Nasikia Mh ndio nyumba ndogo yakeBottom line hili group la dada wa mjini wanaoshinda Hyatt, serena, Mara Arusha tour wote wale si wanawake wazuri wa kuolewa.
Yupo jamaa anaitwa Chumu naye alioa group hilohilo yaliyomkuta mchizi kaanza moja mali yote kagawana na mke wake. Na mke namuona na Mh fulani wanatangaza utalii mpaka Israel. Hawa mademu ukiingia kichwa kichwa ukaoa ukimaliza miaka kumi bahati. Maana yake wengine waliolewa mpaka na wazungu ndoa zingavunjika. Midege isiyoliwa ile.
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe inawezekana ni mstaarabu ndo maana labda unaona ajabu,ila ukweli ni kwamba mwanamke ukileta upumbavuu unabondwa vizuri tuKwako kupiga ndio sio ubwege! Ninasikitikia sana aina ya wanaume ambao wanawake wenzangu wanawapata!
unakulupuka -- unakurupukaHivi huwa unasoma comments zangu na kuelewa au unakulupuka kuandika ni wapi nimeandika kwamba mwanaume amekosa mwanamke kuoa
waambie wapunguze midomo hawatapigwaUnachoshindwa kuelewa ni kwamba haihitaji kuwa mwanamke wa beijing kutambua haki za binadamu, leave alone being a woman, ni common sense tu itakufanya utambue kuwa binadamu si punching bag ukae unampiga piga, hamuwezi kuongea nyie ba kumaliza tofauti zenu bila kupigana? Ninini tofauti yenu na watoto wasiokuwa na akili timamu!
Endeleeni kuwapiga na kwa hakika hatuwezi kunyamaza. Sijasema popote wanawake hawapigwi kwenye hayo mabara ya mwanga, ninachokizungumza hapa ni namna jamii inavyoreact juu ya upigaji huo, ambapo hapa kwetu wanaume wote mtasema wapigwe tu! Ni ng’ombe hao? jana nilikwambia soma katikati ya mistari uelewe ninachosema hapa, you missing the point.
umekosea kuniquote mzee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3],mim i ni dume la mbegu linalopiga bao nne kwenda juuSijui huyo mume wako kama huwa anaweza hata kukufokea, inaonekana umemkali kichwani mmeo, ndio maana unakuja hapa na maneno yako ya Beijing, na kama huo (kwenye avatar)ndio mdomo wako ni shida
NotedMkuu
Huenda hajawahi kukua na baba yake
Ameishi na female authority
Au ameishi na baba very abusive hivyo anachukia any male
Kuna tatizo la makuzi somewhere...
Huwezi kua na hasira na males namna hiyo,ambapo yeye kwake yupo kwenye mission ku-exterminate all males
Au anaonea wivu natural male authority aliyopewa,anataka na yeye awe na hiyo authority
Au anauchukia usichana wake in a way anatamani sana awe male ndio hivyo haiwezekani....
Hawa wanawake wanodhani na wao wana pumbu ni confused illiterates mkuu!