Mihayo Wilmore anayedaiwa kumpiga mkewe Nackitia Nyange "kipigo cha mbwa koko" ni nani?

Mihayo Wilmore anayedaiwa kumpiga mkewe Nackitia Nyange "kipigo cha mbwa koko" ni nani?

Ieleweke kwamba hauna haki yeyote ya kisheria kuja kwamfano kumshawishi mke wangu eti aungane na wewe kupinga kupigwa, sana sana na wewe utapata hicho kipigo

Ni nani alikuwambia ukishamuoa wewe ndiye unamuondolea ubinadamu wake? Mahabusu wenyewe wana haki zao sembuse huyo wako?! Ni binadamu tutamtetea kama ambavyo wewe ukipigwa tutakutetea unaelewa!?

Labda nikupe room ya kuthibitisha ni kwa namna gani hakuna haki yeyote kisheria juu ya hili, unasoma sheria za wapi wewe?
 
Sijui huyo mume wako kama huwa anaweza hata kukufokea, inaonekana umemkali kichwani mmeo, ndio maana unakuja hapa na maneno yako ya Beijing, na kama huo (kwenye avatar)ndio mdomo wako ni shida

Hii ilikuwa reply yangu i guess ila kwa namna ulivyo emotional hadi unamiss qoute. Wewe unaamini kuna binadamu ambaye hafokewi? Unaamini kuna wana ndoa au wapenzi wanaweza kuishi bila kupishana au kufokeana? Hili mbona jambo la kawaida kabisa, mtu amekosea anaambiaa tena ikipaswa kwa ukali zaidi bila kudhalilisha. Tunazungumzia upigaji hapa acha kujitoa ufahamu.

Btw, wangu ana maneno machache tu ya kukaripia na kuonya na anapima kweli kama ni necessary kufanya hivyo, otherwise anaongea kawaida tu naelewa, unadhani nina shida ya akili inayohitaji kupigwa na kuzibuliwa masikio ili nielewe?
 
Kwenye mahusiano tunakoseana wewe ukikosea upigwe na mkeo watu mmekutana kila mmoja anatambua mbaya na nzuri kwa nini mpige kashindwa kufata vile unataka MUACHE

Kosea halafu nyamaza na msamaha uombe

Shida ni micro aggressions zenu na midomo mirefu...

Hapo lazima the opposing animal a-stand his own ground

Ni natural male animal instinct!

Mtaumia sana aisee

Jela ni useless,tayari damage victim ushapata,huwezi badili biology eti kwa jela!

Jela zina miaka 2,800 ila bado waume wanaua wake zao hadi keshokutwa!

Relax,hold my beer!
 
Kilichonisikitisha kwenye hii video ni watoto masikini wlivyokuwa wanahangaika sijui ndiyo wazazi wao wanagombana na hawana uwezo wa kuamua haya mambo ya familia yanaumizaga sana watoto

Mkuu hata mimi9 nimeona hiyo na imeniuma, namuonea huruma huyu jama watoto wakikua na kukutana hii video mataeso atakayo yapata ni makubwa kuliko haya wanayoyapata leo hawa watoto , hii sio poa kabisa.
 
Kosea halafu nyamaza na msamaha uombe

Shida ni micro aggressions zenu na midomo mirefu...

Hapo lazima the opposing animal a-stand his own ground

Ni natural male animal instinct!

Mtaumia sana aisee

Jela ni useless,tayari damage victim ushapata,huwezi badili biology eti kwa jela!

Jela zina miaka 2,800 ila bado waume wanaua wake zao hadi keshokutwa!

Relax,hold my beer!
Mkuu, labda wewe umemuelewa vizuri huyu hawachi, nisaidie, umegundua shida yake inaweza kuwa iko wapi ?, sijui ni kwanini hataki kuchukua points zote hizo tunazojaribu kutoa, still anasema hajaona Hoja ya msingi tunayopigania hapa, eti anatutishia jela, huyu wa hivi ni wa kupiga anashtaki unaenda jela siku ukitoka unafikia kumpa kipigo kingine, mpaka atashika adabu, wanajidanganya sana hawa Ladies.
 
Kitu kikubwa mkeo unamchagua vizuri, unamkaza vizuri, unamhonga vizuri, unampeti peti vizuri, kiasi anakuwa haoni wala hasikii mwingine.

Ukishaweza hilo, unatulia naye, mnalea watoto.

Hapo hata akikukosea kidogo tu mwenyewe anajirudi hata kabla hujasema kitu.

Ile mwanamme umetua nyumbani tu mwenyewe anaanza kuomba msamaha kabla hujamsema.

Yani anaanza kujishukushuku mwenyewe, Baba Kwani mboona hivyo leo? Jana hukupenda nilivyopika? Au perfume yangu ya leo inakukera?

Ukitoka hapo unambusu, unaenda kumpiga kwa mguu wa tatu chumbani kuanzia kitandani mpaka mnaangushana kwenye floor huko San Salvador.

Hivyo ndivyo mwanamke anavyopigwa.

Si kwa ngumi na makofi.
Babu kiranga [emoji847] nimekupenda eti
 
Mkuu, labda wewe umemuelewa vizuri huyu hawachi, nisaidie, umegundua shida yake inaweza kuwa iko wapi ?, sijui ni kwanini hataki kuchukua points zote hizo tunazojaribu kutoa, still anasema hajaona Hoja ya msingi tunayopigania hapa, eti anatutishia jela, huyu wa hivi ni wa kupiga anashtaki unaenda jela siku ukitoka unafikia kumpa kipigo kingine, mpaka atashika adabu, wanajidanganya sana hawa Ladies.

Mkuu

Huenda hajawahi kukua na baba yake

Ameishi na female authority

Au ameishi na baba very abusive hivyo anachukia any male

Kuna tatizo la makuzi somewhere...

Huwezi kua na hasira na males namna hiyo,ambapo yeye kwake yupo kwenye mission ku-exterminate all males

Au anaonea wivu natural male authority aliyopewa,anataka na yeye awe na hiyo authority

Au anauchukia usichana wake in a way anatamani sana awe male ndio hivyo haiwezekani....

Hawa wanawake wanodhani na wao wana pumbu ni confused illiterates mkuu!
 
Bottom line hili group la dada wa mjini wanaoshinda Hyatt, serena, Mara Arusha tour wote wale si wanawake wazuri wa kuolewa.

Yupo jamaa anaitwa Chumu naye alioa group hilohilo yaliyomkuta mchizi kaanza moja mali yote kagawana na mke wake. Na mke namuona na Mh fulani wanatangaza utalii mpaka Israel. Hawa mademu ukiingia kichwa kichwa ukaoa ukimaliza miaka kumi bahati. Maana yake wengine waliolewa mpaka na wazungu ndoa zingavunjika. Midege isiyoliwa ile.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia Mh ndio nyumba ndogo yake
 
All in all, hata mkimuuliza mshana jr. Huyo mdada ni asili ya Kipare. Kwetu mwanamke kuwa na kidume cha pembeni hatuchukii. Hilo huitwa figa la 3 ndilo huwivisha ugali. Sasa ka jamaa anampiga hivyo alidhani ndio kammaliza?? Kwa taarifa yake, hilo figa la 3 ndio lilienda kumkanda
 
Unachoshindwa kuelewa ni kwamba haihitaji kuwa mwanamke wa beijing kutambua haki za binadamu, leave alone being a woman, ni common sense tu itakufanya utambue kuwa binadamu si punching bag ukae unampiga piga, hamuwezi kuongea nyie ba kumaliza tofauti zenu bila kupigana? Ninini tofauti yenu na watoto wasiokuwa na akili timamu!

Endeleeni kuwapiga na kwa hakika hatuwezi kunyamaza. Sijasema popote wanawake hawapigwi kwenye hayo mabara ya mwanga, ninachokizungumza hapa ni namna jamii inavyoreact juu ya upigaji huo, ambapo hapa kwetu wanaume wote mtasema wapigwe tu! Ni ng’ombe hao? jana nilikwambia soma katikati ya mistari uelewe ninachosema hapa, you missing the point.
waambie wapunguze midomo hawatapigwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui huyo mume wako kama huwa anaweza hata kukufokea, inaonekana umemkali kichwani mmeo, ndio maana unakuja hapa na maneno yako ya Beijing, na kama huo (kwenye avatar)ndio mdomo wako ni shida
umekosea kuniquote mzee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3],mim i ni dume la mbegu linalopiga bao nne kwenda juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu

Huenda hajawahi kukua na baba yake

Ameishi na female authority

Au ameishi na baba very abusive hivyo anachukia any male

Kuna tatizo la makuzi somewhere...

Huwezi kua na hasira na males namna hiyo,ambapo yeye kwake yupo kwenye mission ku-exterminate all males

Au anaonea wivu natural male authority aliyopewa,anataka na yeye awe na hiyo authority

Au anauchukia usichana wake in a way anatamani sana awe male ndio hivyo haiwezekani....

Hawa wanawake wanodhani na wao wana pumbu ni confused illiterates mkuu!
Noted
 
Back
Top Bottom