Mihayo Wilmore anayedaiwa kumpiga mkewe Nackitia Nyange "kipigo cha mbwa koko" ni nani?

Mihayo Wilmore anayedaiwa kumpiga mkewe Nackitia Nyange "kipigo cha mbwa koko" ni nani?

Ukufumaniwa utakula kipigo cha uhakika period.
Nikiangalia comments za "wanaume"(siwezi kuwa na uhakika cz ni ID feki) kwenye huu uzi nasema Mungu Alhamdulillah. Kwanza kwa kutokuwa mwanaume, pili kwa kutopata mwanaume wa kunishushia kipigo hadi hapa nilipofika.

In short kupiga mwanamke kwa wanaume wa Tanzania sio kosa. Kosa analo mwanamke kwamba alisababisha vipi apigwe. Kwa kipigo hiki, huyu Mihayo anaweza kubaka, anaweza kuua na vyote vibaya hapa duniani. HANA HURUMA HATA CHEMBE!

Ilikuwa short break karibuni muendelee kumfanyia Nackitia character assasination na kujustify matendo ya mwanaume anayempiga mkewe mambata na kumgaragaza chini watoto wake wawili wakishuhudia kisha anaenda public na kusema yeye ndo alikuwa victim kwenye ndoa yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuseme tujuavyo na kila mtu atakuja na sababu zake ila Kitu kimeja tumesahau ; Hitaji la saikolojia halitimizwi kwa raia wa Tanzania... Tubishe au tukatae...

Tangu January mwaka huu haya matukio yameshamiri... Kibaya zaidi si wizara husika au wadau wanaonesha kuwa Kean na hili suala ...

Kama mkuu wa nchi aliwahi kusema kuwa ana "Frustrations zake". je, raia wangapi walio kwenye stress za maisha , mikopo, Visasi, kuonewa wapo kwenye stress.

Lol
IMG_20200115_105435.jpeg

LolView attachment 1323832

Dr kauaaaa!
Ndomana huwa nasema mwanamke akizingua au ukiona hakupendi migogoro haishi we achana naye.....
We mnyooshe kwenye uchumi tu
Kama kiuchumi yuko vzr mwachie sir God.
Utalipiwa tuuu siku

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuseme tujuavyo na kila mtu atakuja na sababu zake ila Kitu kimeja tumesahau ; Hitaji la saikolojia halitimizwi kwa raia wa Tanzania... Tubishe au tukatae...

Tangu January mwaka huu haya matukio yameshamiri... Kibaya zaidi si wizara husika au wadau wanaonesha kuwa Kean na hili suala ...

Kama mkuu wa nchi aliwahi kusema kuwa ana "Frustrations zake". je, raia wangapi walio kwenye stress za maisha , mikopo, Visasi, kuonewa wapo kwenye stress.

Haya mambo hayahitaji majibu mepesi Kama tudhaniavyo , namba za mauaji zinazidi kuongezeka kila siku... View attachment 1323832

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa unasema nimekataa wasiongelewe wakati hawajaongelewa nikakataa. Una mwezi mchanga nini?

Unaniaccuse kwa makosa ambayo sijafanya? Kwahiyo nianze zungumzia kupigwa kwa wanaume kwenye uzi aliopigwa mwanamke?

Ungeniuliza “mwanaume kupigwa ni sawa?” nikakujibu ni sawa ndo ungeanza accuse. Yani unataka a general discussion kwenye a particular issue?

PS: Though naona ni wish yako ila mimi si mpare.

Haya endelea kutapika.

“Mwezi Mchanga”?

Really?Umefika kua na profanities namna hii eee?

Ukitukanwa nje ndani utaanza kuniita sio mstaarabu,ila wewe kuharisha sawa?!

Mama ni swali uliulizwa,jee unaona ni haki kama wanaume,watoto na everybody wanapigwa wakikosea ila sio “mwanamke”?

Ulivojaa ubaguzi ukasema hii ni “wanawake” tu,wasipigwee!Haya wasipigwe,jee unaona sawa wengine wapigwe?Hutaki kujibu unajaza ushindani usio na maana!

Nyie madada wa mjini wa kushinda Hyatt na vi-Macbook Air vyenu uongo na kweli kusoma email na insta,wote lazima muachike mamaeeee

Mnazungusha matako mjini mno!

I feel sorry for my nigga Wilmore!
 
asee wasukuma si ndo hawa wakina jiwe

Sent using Jamii Forums mobile app

Wanaume wa kisukuma wana mabaya yao machache sana na mazuri kama yote, Wapo responsible 90% almost everywhere na wanajua kuset standars ili iwe haki kwao kudemand heshima zao na kama mwanamke una akili timamu you won’t cross the line. Kuna sehemu hawakosei mwanzo na ndio hutengeneza ubora wa baadae. Mnawasema washamba 😄 lakini nafikiri they are the real deals.

Wana vimatatizo vidogo vidogo sana ambapo no one si perfect either, binafsi huyu wangu napenda imperfections zake hehehe!
 
Ukweli ni kwamba umejiongezea credit kwangu kwa kukubali niliyosema, hata kama ni kwa kujilazimisha, huo ndio uungwana my, na niseme tu jambo moja, hakuna kitu mwanaume anapenda kama kuheshimiwa, kusikilizwa, na kufuatwa maagizo anayotoa, na mwanamke yeyote anayeyafuata hayo hapo juu automatically anaweza kuishi kwa amani na salama katika maisha yake ya ndoa au mahusiano, sijapata kuona mwanamke mwenye ana dharau na kiburi kwa mumewe akafanikiwa, wanawake waliofunzwa vizuri, huwa hawapati taabu kuyatimiza hayam Mama Samia Suluhu (VP) siku moja nilimsikia akisema "Mimi pamoja na Umakamu wangu wa rais, kwa mume wagu napiga goti", anaonesha utii, wanawake wengi akishapata kanafasi kadogo labda kuwa secretary wa mkurugenzi, basi utamuona anavimba kichwa, Nakumbuka kule nchini Uganda mama mmoja aliwahi kuwa makamu rais, alikuwa anapewa kipigo na mumewe mpaka anatia huruma, alioulizwa Rais Museveni kuhusu matukio ya Makamu wake kupigwa mara kwa mara, alijibu, hayo ni mambo ya ndani ya familia na pia kumpga mwanamke na namna ya kumfunza adabu. jifunzeni kunyeyekea mtajiepusha na vipigo

Kaka mimi nimekubali kutokukubaliana , na nilikubali tu kukupa sikio la kusikiliza point zenu juu ya upigaji, kwanini exactly mnaona kupiga ni suluhu. Haipo siku hata moja kwenye maisha yangu nitaweza kujustify mwanamke kupigwa kwa aina yeyote ya kosa. Lakini kwasababu ni wake zenu endeleeni tu na sisi tusiopigwa/tusiokubali kupigwa hatutanyamaza katika hili, tutapiga kelele kote mnakopafahamu hata mkitubandika majina yote myajuayo. We done👍🏻!
 
Wanaume wa kisukuma wana mabaya yao machache sana na mazuri kama yote, Wapo responsible 90% almost everywhere na wanajua kuset standars ili iwe haki kwao kudemand heshima zao na kama mwanamke una akili timamu you won’t cross the line. Kuna sehemu hawakosei mwanzo na ndio hutengeneza ubora wa baadae. Mnawasema washamba [emoji1] lakini nafikiri they are the real deals.

Wana vimatatizo vidogo vidogo sana ambapo no one si perfect either, binafsi huyu wangu napenda imperfections zake hehehe!
ok,ntafanya uchunguzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka mimi nimekubali kutokukubaliana , na nilikubali tu kukupa sikio la kusikiliza point zenu juu ya upigaji, kwanini exactly mnaona kupiga ni suluhu. Haipo siku hata moja kwenye maisha yangu nitaweza kujustify mwanamke kupigwa kwa aina yeyote ya kosa. Lakini kwasababu ni wake zenu endeleeni tu na sisi tusiopigwa/tusiokubali kupigwa hatutanyamaza katika hili, tutapiga kelele kote mnakopafahamu hata mkitubandika majina yote myajuayo. We done[emoji1303]!
pumbavuuu eti mwanamke asipigwe kwa aina yoyote ya kosa,ukileta upumbavuu unabondwa tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mazigazi Baba Swalehe G.Jacob Utetezi wenu juu ya upigaji bado haujitoshelezi au hauna na hauwezi kuwa na mashiko. Sisi wanawake wa beijing 😀😀 tutaendelea kusema na kusema tena kuwa sio haki kumpiga mwanamke kama mnyama unayemmiliki. Tunaitafuta dunia ya kistaarabu ambayo violence ni offense na kila mmoja anatakiwa apaze sauti juu ya hili lakini nyie wenzetu you are no where kufikia huko, well.

DV katika forms zake zote ikiwemo physical abuse ni kitu kisichokubalika katika dunia ya watu wastaarabu, na wala hatushangai kuwa wanawake wanapigwa tunashangaa reaction ya watu juu ya upigaji huo, kwamba wapigwe tu sio? Ni punda hao? Its 2020 people haaaaa!

Huku bara giza kuna vijimambo vyetu havijakaa sawa, mfano polisi anaweza kuanza kumpiga mwananchi ambaye hata hayupo armed, na wote tutapiga kelele kuwa ni unacceptable, hii inatofauti gani na mwanaume shababi mwenye manguvu yake kumpiga mwanamke ambaye hawezi hata kumrushia ngumi moja, and ya’all here praising tofauti ya hizi cases mbili ni ipi!? Au likija suala la mapenzi mnajawa na emotions na kuacha akili maili elfu nyuma!?
 
Unadhani kipigo kitamuweka Sawa au nyumba itarejesha amani na furaha kwa kipigo huwa mnafurahisha sana kuongeza tatizo kwa kudhani mmetatua tatizo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3],wangu namtandika kwanza then maongezi baadae na anakuja kuniomba msamaha kwamba ulikuwa ni utoto tu na maisha yanaendelea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapuuz sana hawa
Alafu wengi wao wanatoa jicho kwa vingasti vyao
Hawa ni kuwapiga chini kama una Watoto naye unachukua una make sure hata senti moja humpi
Acha apigike huko

Back
Top Bottom