Mihayo Wilmore anayedaiwa kumpiga mkewe Nackitia Nyange "kipigo cha mbwa koko" ni nani?

Mihayo Wilmore anayedaiwa kumpiga mkewe Nackitia Nyange "kipigo cha mbwa koko" ni nani?

Hapa sasa ndo busara kama mwanaume inabidi utumie.... walk away. Nothing is permanent bro. Just walk away.
Ukiangalia vizuri ni km jamaa alikua anachomoka hivi na km vile alisindikizwa nå mitusi ndio kurudisha hasira tena.
 
Nakumbuka wakati fulani binti yangu alishuhudia nikipata kipigo toka kwa baba yake (alikuwa na miaka minne) alimchukia sana baba yake na alimtamkia live "baba nakuchukia sana, sikupendi umempiga mama yangu" hata tulipoondoka alikuwa anagoma kupokea simu za baba yake.

Watoto pia wanaumia
duh, pole kwa yaliyo kukuta. watoto ni victims wakubwa wa ugomvi wa familia
 
Comment yangu moja umeijibu mara mbili, na unaniletea cases tofauti kujustify upigaji, basi ngoja nikukubalie mwanamke anapigwa, na tena anapigwa sana, mwanamke ndiye mtu pekee hukosea duniani, hivyo kumpiga ni haki kabisa. You happy now!? 😀

Ujue nimewasoma na kuwasoma tena, imebidi nianze kutafakari upya, hivi kupiga kwenu ninini? Kwanini mnaamini sana katika kupiga? Je ni kukomoa, kurekebisha au kumaliza hasira? Ama ni matatizo ya akili na hamjijui? Maana kila mtu anajimwambafy kuwa ni lazima kupiga na hamna namna!

Naendelea kusimama hapa, siafiki mtu kupigwa no matter aina ya kosa alilokosea, kupiga ni uonevu, unyanyasaji na udhalilishaji, na mwisho sifikirii kama kuna matokeo chanya juu ya upigaji. Nitaendela kusimama hapa hapa.

Africa tunapigana sana na hakuna chenye kinabadilika au kuleta unafuu, watoto majumbani wanapigwa, shuleni wanapigwa, wanawake wanapigwa, watu wanapigana ovyo mitaani, nini shida katika akili yetu? Note: sio kwamba race zingine hazipigani, lakini utaona reaction ya watu juu ya upigaji ndiyo inayotutofautisha sisi wa bara giza na wale. Huku ukireact kupinga upigaji you will be called names, Je ni kweli upigaji unasaidia kitu!?Hebu wapigaji mtuambie hapa.
Ukweli ni kwamba umejiongezea credit kwangu kwa kukubali niliyosema, hata kama ni kwa kujilazimisha, huo ndio uungwana my, na niseme tu jambo moja, hakuna kitu mwanaume anapenda kama kuheshimiwa, kusikilizwa, na kufuatwa maagizo anayotoa, na mwanamke yeyote anayeyafuata hayo hapo juu automatically anaweza kuishi kwa amani na salama katika maisha yake ya ndoa au mahusiano, sijapata kuona mwanamke mwenye ana dharau na kiburi kwa mumewe akafanikiwa, wanawake waliofunzwa vizuri, huwa hawapati taabu kuyatimiza hayam Mama Samia Suluhu (VP) siku moja nilimsikia akisema "Mimi pamoja na Umakamu wangu wa rais, kwa mume wagu napiga goti", anaonesha utii, wanawake wengi akishapata kanafasi kadogo labda kuwa secretary wa mkurugenzi, basi utamuona anavimba kichwa, Nakumbuka kule nchini Uganda mama mmoja aliwahi kuwa makamu rais, alikuwa anapewa kipigo na mumewe mpaka anatia huruma, alioulizwa Rais Museveni kuhusu matukio ya Makamu wake kupigwa mara kwa mara, alijibu, hayo ni mambo ya ndani ya familia na pia kumpga mwanamke na namna ya kumfunza adabu. jifunzeni kunyeyekea mtajiepusha na vipigo
 
Njoo na takwimu mzee baba usiruke ruke
I any age group sex ratio ni 1:1

unazungumza as if wanaume wote wameoa...mbona tu kijana kupata mke wa kuoa mbinde...si kila mwanamke ni mke and vice versa is true
Huyo kijana unayesema anahangaika kupata mke wa kuoa yuko wapi ?, unaweza nitajia ?
 
Aisee mm niko tofauti sana.
Kwanza huwa sihukumu lkn pia sipendi migongano. The best huwa najishusha na kuomba samahan. Naendelea na maisha yangu. Nikaruhusu mtu anipige afu anivunje shingo atanilelea watt yy?
Nikupongeza sana kama kweli uko hivyo saidia kuwafundisha na wengine hasa hawa vichwa maji, akina mama haambiliki.
 
ni vitu viwili tofauti, mtu akikucheat rudisha kwao sio kumpiga, nyinyi mnapocheat mnapigwa na nini? mwanamke akiona vimemshinda anasepa, iweje wewe vikikushinda umpige?
Unaongea nini ?, wewe unafikiri wazazi wako mpaka umefikia hapo hawakuwahi kukorofishana, utapeleka kwao wangapi, sina hakika kama unaweza kupata mwanamke ambaye hawezi kukukorofisha kwa hawa wa zama hizi. kama umezaa nae na unampenda unampa kipigo anakaa ndani anauguza majeraha akipona maisha yanaendelea.
 
Unaongea nini ?, wewe unafikiri wazazi wako mpaka umefikia hapo hawakuwahi kukorofishana, utapeleka kwao wangapi, sina hakika kama unaweza kupata mwanamke ambaye hawezi kukukorofisha kwa hawa wa zama hizi. kama umezaa nae na unampenda unampa kipigo anakaa ndani anauguza majeraha akipona maisha yanaendelea.
nyoooo eti unampa kipigo maisha yanaendela, only mbulula'z ndo wanakubaliana na hali hiyo
 
Back
Top Bottom