cerengeti
JF-Expert Member
- Jan 19, 2011
- 3,878
- 1,626
Ukufumaniwa utakula kipigo cha uhakika period.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikiangalia comments za "wanaume"(siwezi kuwa na uhakika cz ni ID feki) kwenye huu uzi nasema Mungu Alhamdulillah. Kwanza kwa kutokuwa mwanaume, pili kwa kutopata mwanaume wa kunishushia kipigo hadi hapa nilipofika.
In short kupiga mwanamke kwa wanaume wa Tanzania sio kosa. Kosa analo mwanamke kwamba alisababisha vipi apigwe. Kwa kipigo hiki, huyu Mihayo anaweza kubaka, anaweza kuua na vyote vibaya hapa duniani. HANA HURUMA HATA CHEMBE!
Ilikuwa short break karibuni muendelee kumfanyia Nackitia character assasination na kujustify matendo ya mwanaume anayempiga mkewe mambata na kumgaragaza chini watoto wake wawili wakishuhudia kisha anaenda public na kusema yeye ndo alikuwa victim kwenye ndoa yake.
Sent using Jamii Forums mobile app