Coaster2015
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 2,607
- 2,730
Brenda, tusiandikie mate na wino upo, najua wewe ni jeuri ni kibri, ila ukija kwangu utajua kilichomnyoa kanga manyoya, fanya tu kama umekosea njia.Mume kama wewe mimi sipati shida,ntakushughulikia ipasavyo utakaa sawa tu
Nyie ndio mnatufanya tuwe wakatili
Aisee wanaume mnashangaza sana, mmekazani ku justify kupigwa kwa huyo dada sijui mdomo, sijui umalaya, kwani unakuwa umewekewe superglue kwamba huwezi kutoka kwenye hiyo ndoa inayokupa stress? kama mdomo wake umekushinda rudisha kwao, kama ni umalaya rudisha kwao, katafute hao wasio na mdomo na wasio malaya. Iko hivi mwanaume mpigaji huwa ni hulka yake tu hanaga sababu tena siku akitaka kukupiga elewa kwamba ataitafuta sababu mpaka aipate, na mwanaume ambae si mpigaji hata akufumanie hata nyanyua mkono, atakupisha ndani ya nyumba kimya kimya bila hata kelele
Mimi sina uvumilivu wa kufokewa maneno ya taarabu na mwanamke huku akiweka vidole juu.
Siwezi Kujimwambafai Kwamba siwezi Kumpiga Mwanamke.
Akileta Taarabu Asitegee Nitaanza Kujibizana Naye Taarabu. Noo
Atapigwa Tu.
Kama Anaona Hawezi Kuishi Bila Maneno Ya Taarabu.
Ni Bora Aondoke Tu!!
Ikumbukwe Kuwa Mimi Nina Huruma Sana Na Sipendi Kumwonea Mtu Ila Dharau Ikizidi Hasira Ikipanda, Kitakachotokea Ndio Hicho
Hapa sasa ndo busara kama mwanaume inabidi utumie.... walk away. Nothing is permanent bro. Just walk away.
Weka wazi hizo adhabu mbadala unazozipenda wewe zinaweza kuwasaidia wanawake wengine, wewe kujifanya you stand there kwamba mwanamke hatakiwi kupigwa unakosea, msiharalishe maovu/makosa wanayofanya wenzenu kwa kisingizio sio haki, ukizingatia anayoyataka mume huwezi kupigwa, kinyume chake my dear usilaumu watu, unataka tuwasome katikati ya maneno, how ?.
Yaani unishughulikie mimi wakati huo niko wapi ? mpaka uninyooshe nakuangalia tu !, mimi nitajiua kabla hayajatokea hayo ili kuepusha uso wangu na aibu hio, kwai mwanaume kujilegeza na kuruhussu mwanamke akunyooshe ni kosa kubwa mbele za Mungu, Mwanamke ameagizwa na Mungu, ni lazima kumuheshimu na kumtii Mume wake (apende asipende), nasi wanaume tumeagizwa Kuwapenda wake zetu lakini kwa condition kwamba, wawe ni watii na wanyenyekevu.Mume kama wewe mimi sipati shida,ntakushughulikia ipasavyo utakaa sawa tu
Nyie ndio mnatufanya tuwe wakatili
Mwanamke hapigwi ngumi hupigwa mhogo wa jyang'ombe tu. Ukiona kidume kimeinua mkono na kuikunja ngumi kwa mwanamke ujue "Kishavurugikiwa kichwani huyo". Wadhani hatugombani?? Lakini tunajua kuwatandika sawasawa. Mzalisheee hadi akitembea upepo ukija achuchumae. Hakuna uzazi wa majira kwa wadudu hao
ila mbona kama ni la muda sana hilo tukio maana inasomeka 2015-03-24 20:27...
Hakuna kitu cha hivyo, nikukalie kimya umefanya Kosa ?, nijiletee magonjwa ya Moyo bure !!, ukifanya kosa la kusudi, unapata kipigo cha haja maisha yanaendelea, wanaume wengi sana wanakufa kutokana na magonjwa ya moyo na presha kwa sababu ya stress za wake zao, wakati wewe umekasirika yeye mwanamke ndio kwanza anaagiza chips kuku, Ni kupiga tu.Adhabu mbadala mwanamke anaeongea sana ni mkalie kimya trust me hii adhabu ni kali sana ukiweza mpotezee kama vile hayupo kwenye maisha yako
Detach yourself silence treatment it’s more psychological punishment
It has worked for me I believe it can work for anyone else too
I wish you heard that podcast
mwanzo mwisho unajiuliza mke kakosa lipi kubwa sana hadi uyu kaka kaona their marriage was toxic.,sijui waandishi walikua wanaogopa kumuuliza maswali au vipi ila ilikua janja janja sana
Yaani unishughulikie mimi wakati huo niko wapi ? mpaka uninyooshe nakuangalia tu !, mimi nitajiua kabla hayajatokea hayo ili kuepusha uso wangu na aibu hio, kwai mwanaume kujilegeza na kuruhussu mwanamke akunyooshe ni kosa kubwa mbele za Mungu, Mwanamke ameagizwa na Mungu, ni lazima kumuheshimu na kumtii Mume wake (apende asipende), nasi wanaume tumeagizwa Kuwapenda wake zetu lakini kwa condition kwamba, wawe ni watii na wanyenyekevu.
Brenda, tusiandikie mate na wino upo, najua wewe ni jeuri ni kibri, ila ukija kwangu utajua kilichomnyoa kanga manyoya, fanya tu kama umekosea njia.
Nimeona video ikisambaa mitandaoni ikionyesha mtu anaetajwa anaitwa Mihayo akimpiga ex wife kipigo cha mbwa mwizi.
Nikawa interested kumjua maana watu vile wanamzungumzia ni kama mtu fulani wa maana sana hapa mjini.
View attachment 1322727
Mihayo Wilmore
View attachment 1322748
Mtalaka wa Mihayo, Nackitia Nyange(Mtoto wa Anne Kilango Malecela)
Nilikaenda msikiliza kweye podcast ya men men men ambayo kwa sasa imefutwa baada ya video kusambaa jamaa anamtuhumu mkewe kwamba alimpitisha kwenye maisha yenye mateso na maumivu mpaka akamwachia mali zote akaanza upya.
Kwa wanaomfahamu huyu jamaa ni nani haswa? Na huo mgogoro na mkewe waliotengana ulihusisha nini haswa?
Kitu ambacho nimeona familia ya Mzee Malecela ndio wanaongoza mashambulizi, kwa nini sasa na sio 2015 alipompiga mkewe?
View attachment 1321512
Nimeona video ikisambaa mitandaoni ikionyesha mtu anaetajwa anaitwa Mihayo akimpiga ex wife kipigo cha mbwa mwizi.
Nikawa interested kumjua maana watu vile wanamzungumzia ni kama mtu fulani wa maana sana hapa mjini.
View attachment 1322727
Mihayo Wilmore
View attachment 1322748
Mtalaka wa Mihayo, Nackitia Nyange(Mtoto wa Anne Kilango Malecela)
Nilikaenda msikiliza kweye podcast ya men men men ambayo kwa sasa imefutwa baada ya video kusambaa jamaa anamtuhumu mkewe kwamba alimpitisha kwenye maisha yenye mateso na maumivu mpaka akamwachia mali zote akaanza upya.
Kwa wanaomfahamu huyu jamaa ni nani haswa? Na huo mgogoro na mkewe waliotengana ulihusisha nini haswa?
Kitu ambacho nimeona familia ya Mzee Malecela ndio wanaongoza mashambulizi, kwa nini sasa na sio 2015 alipompiga mkewe?
View attachment 1321512
Nikipata wasaa nitafanya kumshawishi huyo aliekuoa ili siku moja hata bila sababu akuanzishie tu kipigo mpaka ushindwe kuvaa hiyo michuchumeo yako miguuni.Hahahah bahati mbaya mimi am taken
Kama ningepata nafasi ya kuwa na wewe pengine muda kama huu usingekuwa una type hapa jf 🤣🤣🤣🤣
24/03/2015 video ilirekodiwa
Kwaiyo ndio tunaijadili mwaka 2020
We kaka Mungu akubariki sana tena akukinge na hizo roho za kishetani
Mambo yakiwa mengi just walk away
Acha tu very sketchy..hasomeki kabisa afu anasema he survived a toxic rlshp..msikilizaji unapata maswali sanaDuh too bad sikuweza kuisikiliza I wish ningemsikia mwenyewe utetezi wake
Mwanaume kuongea kuhusu siri za ndani sio kawaida kwa yeye kuongelea mabaya ya mwenzie definitely yeye pia ana tatizo ona sasa kafanya mpaka tumejua mengine ambayo hayakujulikana
Wanaume huwa wanasahau kuwa mbele ya Mungu mwanamke na mwanaume ni sawa unapata wapi nguvu ya kumuhukumu mwingine simply kwasababu wewe una nguvu!Mungu huwa hapendelei kama wao wanavyojiaminisha I hope Mihayo will learn this maana hii video nina uhakika ina mcost sana kwenye michongo yake