Nimeona video ikisambaa mitandaoni ikionyesha mtu anaetajwa anaitwa Mihayo akimpiga ex wife kipigo cha mbwa mwizi.
Nikawa interested kumjua maana watu vile wanamzungumzia ni kama mtu fulani wa maana sana hapa mjini.
View attachment 1322727
Nilikaenda msikiliza kweye podcast ya men men men ambayo kwa sasa imefutwa baada ya video kusambaa jamaa anamtuhumu mkewe kwamba alimpitisha kwenye maisha yenye mateso na maumivu mpaka akamwachia mali zote akaanza upya.
Kwa wanaomfahamu huyu jamaa ni nani haswa? Na huo mgogoro na mkewe waliotengana ulihusisha nini haswa?
Kitu ambacho nimeona familia ya Mzee Malecela ndio wanaongoza mashambulizi, kwa nini sasa na sio 2015 alipompiga mkewe?
View attachment 1321512