Mihayo Wilmore anayedaiwa kumpiga mkewe Nackitia Nyange "kipigo cha mbwa koko" ni nani?

Mihayo Wilmore anayedaiwa kumpiga mkewe Nackitia Nyange "kipigo cha mbwa koko" ni nani?

Aisee wanaume mnashangaza sana, mmekazani ku justify kupigwa kwa huyo dada sijui mdomo, sijui umalaya, kwani unakuwa umewekewe superglue kwamba huwezi kutoka kwenye hiyo ndoa inayokupa stress? kama mdomo wake umekushinda rudisha kwao, kama ni umalaya rudisha kwao, katafute hao wasio na mdomo na wasio malaya. Iko hivi mwanaume mpigaji huwa ni hulka yake tu hanaga sababu tena siku akitaka kukupiga elewa kwamba ataitafuta sababu mpaka aipate, na mwanaume ambae si mpigaji hata akufumanie hata nyanyua mkono, atakupisha ndani ya nyumba kimya kimya bila hata kelele

Fact hakuna maelezo mengine zaidi nimeona wanaume wanetendewa mambo ya ajabu sana na wanawake wamewaacha wameanza maisha mapya na hawakuwapiga pia Kuna wanaume kosa dogo tu kipondo mpaka unalazwa
Ni aina tu ya wanaume na nasikitika kusema wengi wana mkono wa upigaji tabia mbaya sana hii
 
Mimi sina uvumilivu wa kufokewa maneno ya taarabu na mwanamke huku akiweka vidole juu.

Siwezi Kujimwambafai Kwamba siwezi Kumpiga Mwanamke.

Akileta Taarabu Asitegee Nitaanza Kujibizana Naye Taarabu. Noo

Atapigwa Tu.

Kama Anaona Hawezi Kuishi Bila Maneno Ya Taarabu.

Ni Bora Aondoke Tu!!

Ikumbukwe Kuwa Mimi Nina Huruma Sana Na Sipendi Kumwonea Mtu Ila Dharau Ikizidi Hasira Ikipanda, Kitakachotokea Ndio Hicho

Hahah ona mnavyotumia maneno mengi kujitetea simple akikupa taarabu mfukuze au ondoka tu
 
Weka wazi hizo adhabu mbadala unazozipenda wewe zinaweza kuwasaidia wanawake wengine, wewe kujifanya you stand there kwamba mwanamke hatakiwi kupigwa unakosea, msiharalishe maovu/makosa wanayofanya wenzenu kwa kisingizio sio haki, ukizingatia anayoyataka mume huwezi kupigwa, kinyume chake my dear usilaumu watu, unataka tuwasome katikati ya maneno, how ?.

Adhabu mbadala mwanamke anaeongea sana ni mkalie kimya trust me hii adhabu ni kali sana ukiweza mpotezee kama vile hayupo kwenye maisha yako
Detach yourself silence treatment it’s more psychological punishment
It has worked for me I believe it can work for anyone else too
 
Mume kama wewe mimi sipati shida,ntakushughulikia ipasavyo utakaa sawa tu
Nyie ndio mnatufanya tuwe wakatili
Yaani unishughulikie mimi wakati huo niko wapi ? mpaka uninyooshe nakuangalia tu !, mimi nitajiua kabla hayajatokea hayo ili kuepusha uso wangu na aibu hio, kwai mwanaume kujilegeza na kuruhussu mwanamke akunyooshe ni kosa kubwa mbele za Mungu, Mwanamke ameagizwa na Mungu, ni lazima kumuheshimu na kumtii Mume wake (apende asipende), nasi wanaume tumeagizwa Kuwapenda wake zetu lakini kwa condition kwamba, wawe ni watii na wanyenyekevu.
 
Mwanamke hapigwi ngumi hupigwa mhogo wa jyang'ombe tu. Ukiona kidume kimeinua mkono na kuikunja ngumi kwa mwanamke ujue "Kishavurugikiwa kichwani huyo". Wadhani hatugombani?? Lakini tunajua kuwatandika sawasawa. Mzalisheee hadi akitembea upepo ukija achuchumae. Hakuna uzazi wa majira kwa wadudu hao

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣yani wanaume mnafurahisha
Hivi kumzalisha unahisi una muadhibu yeye tu au hata wewe?
Aisee sisi watu weusi tuna nini lakini [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Adhabu mbadala mwanamke anaeongea sana ni mkalie kimya trust me hii adhabu ni kali sana ukiweza mpotezee kama vile hayupo kwenye maisha yako
Detach yourself silence treatment it’s more psychological punishment
It has worked for me I believe it can work for anyone else too
Hakuna kitu cha hivyo, nikukalie kimya umefanya Kosa ?, nijiletee magonjwa ya Moyo bure !!, ukifanya kosa la kusudi, unapata kipigo cha haja maisha yanaendelea, wanaume wengi sana wanakufa kutokana na magonjwa ya moyo na presha kwa sababu ya stress za wake zao, wakati wewe umekasirika yeye mwanamke ndio kwanza anaagiza chips kuku, Ni kupiga tu.
 
I wish you heard that podcast

mwanzo mwisho unajiuliza mke kakosa lipi kubwa sana hadi uyu kaka kaona their marriage was toxic.,sijui waandishi walikua wanaogopa kumuuliza maswali au vipi ila ilikua janja janja sana

Duh too bad sikuweza kuisikiliza I wish ningemsikia mwenyewe utetezi wake
Mwanaume kuongea kuhusu siri za ndani sio kawaida kwa yeye kuongelea mabaya ya mwenzie definitely yeye pia ana tatizo ona sasa kafanya mpaka tumejua mengine ambayo hayakujulikana
Wanaume huwa wanasahau kuwa mbele ya Mungu mwanamke na mwanaume ni sawa unapata wapi nguvu ya kumuhukumu mwingine simply kwasababu wewe una nguvu!Mungu huwa hapendelei kama wao wanavyojiaminisha I hope Mihayo will learn this maana hii video nina uhakika ina mcost sana kwenye michongo yake
 
Yaani unishughulikie mimi wakati huo niko wapi ? mpaka uninyooshe nakuangalia tu !, mimi nitajiua kabla hayajatokea hayo ili kuepusha uso wangu na aibu hio, kwai mwanaume kujilegeza na kuruhussu mwanamke akunyooshe ni kosa kubwa mbele za Mungu, Mwanamke ameagizwa na Mungu, ni lazima kumuheshimu na kumtii Mume wake (apende asipende), nasi wanaume tumeagizwa Kuwapenda wake zetu lakini kwa condition kwamba, wawe ni watii na wanyenyekevu.

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]umekariri mimi nakushughulikia kimya kimya yani nitakuwa na adabu na heshima zote sikunyimi papuchi wala mgomo wowote mpaka utafurahi ila ntakunyoosha hata ukinywa sumu baadae sawa tu ila nilishakuvua nguo
Hebu waoneeni baadhi ya wanawake ila sio wote mi nina uhakika ningekunyoosha najua njia zangu
 
Brenda, tusiandikie mate na wino upo, najua wewe ni jeuri ni kibri, ila ukija kwangu utajua kilichomnyoa kanga manyoya, fanya tu kama umekosea njia.

Hahahah bahati mbaya mimi am taken
Kama ningepata nafasi ya kuwa na wewe pengine muda kama huu usingekuwa una type hapa jf 🤣🤣🤣🤣
 
Nimeona video ikisambaa mitandaoni ikionyesha mtu anaetajwa anaitwa Mihayo akimpiga ex wife kipigo cha mbwa mwizi.

Nikawa interested kumjua maana watu vile wanamzungumzia ni kama mtu fulani wa maana sana hapa mjini.

View attachment 1322727
Mihayo Wilmore

View attachment 1322748
Mtalaka wa Mihayo, Nackitia Nyange(Mtoto wa Anne Kilango Malecela)

Nilikaenda msikiliza kweye podcast ya men men men ambayo kwa sasa imefutwa baada ya video kusambaa jamaa anamtuhumu mkewe kwamba alimpitisha kwenye maisha yenye mateso na maumivu mpaka akamwachia mali zote akaanza upya.

Kwa wanaomfahamu huyu jamaa ni nani haswa? Na huo mgogoro na mkewe waliotengana ulihusisha nini haswa?

Kitu ambacho nimeona familia ya Mzee Malecela ndio wanaongoza mashambulizi, kwa nini sasa na sio 2015 alipompiga mkewe?

View attachment 1321512

Mwanaume unampigaje mwanamke hivi? Wanaume ni wa chache sana humu duniani..... why don’t you just leave them and continue with your life?
 
Nimeona video ikisambaa mitandaoni ikionyesha mtu anaetajwa anaitwa Mihayo akimpiga ex wife kipigo cha mbwa mwizi.

Nikawa interested kumjua maana watu vile wanamzungumzia ni kama mtu fulani wa maana sana hapa mjini.

View attachment 1322727
Mihayo Wilmore

View attachment 1322748
Mtalaka wa Mihayo, Nackitia Nyange(Mtoto wa Anne Kilango Malecela)

Nilikaenda msikiliza kweye podcast ya men men men ambayo kwa sasa imefutwa baada ya video kusambaa jamaa anamtuhumu mkewe kwamba alimpitisha kwenye maisha yenye mateso na maumivu mpaka akamwachia mali zote akaanza upya.

Kwa wanaomfahamu huyu jamaa ni nani haswa? Na huo mgogoro na mkewe waliotengana ulihusisha nini haswa?

Kitu ambacho nimeona familia ya Mzee Malecela ndio wanaongoza mashambulizi, kwa nini sasa na sio 2015 alipompiga mkewe?

View attachment 1321512

Unapigaje mke hivyo?
 
Hahahah bahati mbaya mimi am taken
Kama ningepata nafasi ya kuwa na wewe pengine muda kama huu usingekuwa una type hapa jf 🤣🤣🤣🤣
Nikipata wasaa nitafanya kumshawishi huyo aliekuoa ili siku moja hata bila sababu akuanzishie tu kipigo mpaka ushindwe kuvaa hiyo michuchumeo yako miguuni.
 
Mtu akikahidi na tunamwambia acha na yeye hataki kusikia basi atapigwa tu, na nasema wapigwe tu. Nukuu[emoji125][emoji3517]

MashineNene[emoji533][emoji1646]
 
Duh too bad sikuweza kuisikiliza I wish ningemsikia mwenyewe utetezi wake
Mwanaume kuongea kuhusu siri za ndani sio kawaida kwa yeye kuongelea mabaya ya mwenzie definitely yeye pia ana tatizo ona sasa kafanya mpaka tumejua mengine ambayo hayakujulikana
Wanaume huwa wanasahau kuwa mbele ya Mungu mwanamke na mwanaume ni sawa unapata wapi nguvu ya kumuhukumu mwingine simply kwasababu wewe una nguvu!Mungu huwa hapendelei kama wao wanavyojiaminisha I hope Mihayo will learn this maana hii video nina uhakika ina mcost sana kwenye michongo yake
Acha tu very sketchy..hasomeki kabisa afu anasema he survived a toxic rlshp..msikilizaji unapata maswali sana

Hasa at sm point alisema ye ndo aliondoka nyumbani kwake mwenyewe akarudi kwa mama ake aisee nlichoka..aliacha mke na watoto akarudi kwa mama ake mzazi..can u imagine
Hapo ndo nliona Nacky is innocent rather si mbaya kiasi hiko

Kwa upigaji ngumi ule Nacky angekua na matatizo nahisi angemfukuza abaki yeye na wanae kwny nyumba

sijui lakini kila familia ina mengi
Ila Mungu kaonyesha who he really is
 
Ndio maana unaweza kukuta mkurugenzi anaendea kuoa House girl. Sababu ya character, obidience and attitude hivi vitu Kama mwanamke huna utahangaika Sana kukaa na mume. Bora ujitambue na uishi single ukitaka mtoto nenda kwa sperm bank lipa fanya IVF.

After viewing Nacky nyange video today ya clouds. Ninampa pole lakini Mihayo has some deep issues to sort out with himself. If he is abusing substances he should stop.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom