Kiingereza chako kibovu kabisa. Si uandike Kiswahili tu.π Kweli inasoma miaka iliyopita ila it was hidden until it happening openly leo, na ndiyo maisha ya husband and wife wanayoishi huku watoto wakiangalia.
π Yap, ndiyo mabeberu wa kiafrika tuache hizi mambo.
π Sahihi kabisa kufanya mjadala wa aina hii.
Hujakutana na kitu kinaitwa mwanamke mwenye mdomo....walahi unaua!!Nilijifunza kitu kimoja. Sitakuja piga mwanamke tena maisha yangu yote. Najua wana maudhi watu hawa wakati mwingine... lakini beating a defenseless woman like that? Not again in my life. I did it once and never shall it happen again.
NA PENGINE HII NDIO SABABU; KWENYE SOCIAL MEDIA WENGI WANAMLAUMU MWANAUME, HATA MIMI SIUNGI MKONO.LAKINI SISI TUONAOLAUMU TUNAJUA CHANZO NI NINI? MWANAUME SIO MTU KATILI, SIO ADUI, IWEJE AKUTANDIKE KIPIGO CHA MBWA? TENA WAKATI MWINGINE UKISIKIA YA MWANAUME, WAWEZA SEMA KILE KIPIGO NI KIDOGO.
Siungi mkono tabia ya watu wazima kupigana ila wanawake wana midomo sana. Wengi wanapigwa kutokana na midomo yao, mwanamke hakubali kushuka anachonga mdomo tu. Na inafahamika sisi wanaume midomo yetu ni ngumi na mateke.
Hakuna sababu ya kumpiga mwanamke lakini kila mwanamke anayepigwa kuna chanzo.
Huyu jamaa ni mtu mmoja poa sana. IT & Marketing genius fulani.
Kilimcost sana kuoa huyo dada yake le mutuz kwa mama yake wa kambo .
Mihayo yuko very focused lakini alipata mke ambaye anapenda starehe za town mtoto wa Kinondoni matokeo yake akawa anapigia hesabu mali za mchizi.
Na kumpeleka resi sana mchizi anarudi kula bata late mke wa mtu hata kama ndio uzungu huu ulipitiliza . Sema kwa hiyo clip nimeamini binadamu uki mpush kwenye edge anaweza akaua mtu bila kutarajia. Lazima kuna sababu kwanini demu kala kipondo kile.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa kwenye huu uzi.
Hayo ya kuwa ni mwanamke pekee anapaswa kutetewa umeyatoa wapi? Kuna mwanaume kapigwa kwenye huu uzi? Kuna mtoto kapigwa kwenye huu uzi?
Kuna DVR unayoweza kufuta recorded picture,kama ni hivyo pale collessium wasingefanya uharibifu .Haya mambo ya watu huwa ni magumu sana
siwezi tia neno maana mimi mwenyewe nishawahi mpasua mwanamke mmoja na kila siku namuomba Mungu nisije nikamgusa mtoto wa watu tena
Hiyo Video jamaa kampapasa tu hiyo mwanamke
Halafu kwanini hakuingia kwenye DVR afute hiyo clip wakati alijua kuna CCTV?
Hizi ndoa zina mambo mengi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna DVR unayoweza kufuta recorded picture,kama ni hivyo pale collessium wasingefanya uharibifu .
sasa ukimpiga ndo lile tendo lina un do?
A pot calling a kettle blackKiingerexa chako kibovu kabisa. Si uandike Kiswahili tu.
Halafu usije ukasema na wewe ulifaulu. Na ikiwa ulifaulu, nasema wazi wazi, hiyo mitihani ni majanga.
Mke wake alitembea na rafiki yake wa karibuNA PENGINE HII NDIO SABABU; KWENYE SOCIAL MEDIA WENGI WANAMLAUMU MWANAUME, HATA MIMI SIUNGI MKONO.LAKINI SISI TUONAOLAUMU TUNAJUA CHANZO NI NINI? MWANAUME SIO MTU KATILI, SIO ADUI, IWEJE AKUTANDIKE KIPIGO CHA MBWA? TENA WAKATI MWINGINE UKISIKIA YA MWANAUME, WAWEZA SEMA KILE KIPIGO NI KIDOGO.
Labda upande wa Mama .Mihayo ni jina la kisukuma.Baba yake ni marehemu Mzee Wilmore ,black American!Mkuu huyu jamaa ana undugu na jaji mstaafu mihayo?
Wadau, si mnaona wanawake wenyewe ndio hawa, angalia maneno yake, hivi unadhani huyu hata ujidanganye eti unampenda kuna siku atakuheshimu ?, unadhani huyu anaweza kusikia ukimwambia kwa mdomo ?, hawa ndio wale ambao wanasemaga ukitoka na mimi natoka, hawa wa kupiga tu, tene ukiweza unamtia kilema, yaani vunja hata mguu ili atulie nyumbani, ukija kupona atakuwa anauangalia anakumbuka na kuugulia machunguKwa hio wewe kusaliti halali ila ukisalitiwa unataka uvunje mtu miguuπ π π π πππππ
tunakoelekea mtapigwa tu
Usijidanganye, wanaume ni wachache sana, tena wenye uwezo wa kuoa ndio wachache zaidi, wanawake hata akama hajafikia umri wa kuolewa anaweza akaolewa akaenda kukulia kwa mumewe, lakini huwezi kuchukua kijana wa kiume ulazimishe awe mume kama yuko chini ya umri wa kuoa.Wewe hufanyagi ujinga na upuuzi kwa mwanamke?.
wewe hujawahi mkosea mwanamke?..
wanaume ni wengi pia
Hio sio hoja