Mzungu ni nani? Unamjuaje huyu mzungu na huyu si mzungu? Mimi napinga validity ya makabila, halafu unanipinga kwa kutumia habari za mzungu, define mzungu ni nani, objectively.
Mkuu acha unafiki,Mzungu unajua ni mtu wa aina gani...Ni vituko msomi unapokua dishonest namna hii.
Habari haikuandikwa 1930s, iliandikwa kuhusu kabila lililoanzishwa 1930s
Who cares about the dates?Ni adui,hawezi andika the same story in a positive tone.
Habari haikuandikwa negatively, iliandika fact, kama unabisha, toa ushahidi kwamba si kweli, kwamba kabila hilo halipo.
Kwako haikuandikwa negatively,ni kwako...Kwangu naona ni negative,kwanini kila mmoja wetu asikae na mtazamo wake alioona?
Mzungu ni nani? Unajuaje huyu mzungu na huyu si mzungu?
Unafiki huu..Unajua vizuri kabisa nani ni Mzungu na nani ni mtu mweusi,etc...shida umekomalia semantics kuonesha arrogance basi tu...
Of course unashindwa kunielewa, we are not on the same wavelength.
Sio lazima nikuelewe...Nikuelewe kwa lipi?Sio lazima...Ni vizuri pia tusipoelewana...Who cares kua kwenye same wavelength na wewe?Hunielewi,sikuelewi,shida ipo wapi?
Sijasema popote kwamba members wa kabila fulani hawana biological relationship ya aina fulani. Hilo la kwanza, uelewe.
Umesema,acha kuruka your own words....hawa watu wanashare DNA markers,ndio maana Dinka tribe average height ni 6'4" na sio makabila mengine..
height ni biological trait,wameitoa wapi kama sio biology yao?Wameiokota?Sexual drive ni biological trait,ndio maana kuna kabila malaya zaidi ya wengine,hutaki andamana!
Ninachokwambia ni kwamba, habari za makabila ni arbitrary, hazina formula, hazina misingi ya scientific fact.
Acha sound,wewe unaona ni arbitrary lakini mimi na my fellow fools tunajua si arbitrary.Atleast tuelewane kutokuelewana kwa hili.
Halafu concept ya kabila in African context unaikataa,ila ikija kwenye kabila la Jews,unakubali ni coherent na biological laws sababu wana special DNA identification,Africa japo makabila yana special DNA identifications,hutambui sababu tu ni African,thats my guess!
Yaelekea kabila kwako wewe ni la Kiafrika tu,sio pengine,maana pengine ni scientifically proven,ila kivyako hiyo hai-apply kwa African tribes?Oh yeah?
Watoto wa Mkapa ni kabila gani?
Who cares?He knows himself!I worry about mine.
Ukisema Wamakua, si sawa. Wamakua wanachukua kabila kwa mama. Mama si Mmakua.
Ukisema Wachaga, si sawa. Wachaga wanachukua kabila kwa baba, baba si Mchaga.
Sasa, watoto wa Mkapa wale kina Stephan na Nico ni kabila gani?
Mkapa kakataa kuwapa makabila, kasema wale ni Watanzania, kwanza hata kilugha cha huko umakuani au Uchagani hawajui.
Who cares about this senior citizen?
Nimesema kwamba, kabila ni a social construct, not a biological one. That does not mean kwenye kabila hakuna biological connections, but that does not alos mean that an individual is biologically identifiable with a tribe. Unaweza kusema huyu Mchaga kwa sababu baba yake Mchaga, ukaja kugundua kwa DNA test kwamba huyo anayedaiwa kuwa ni baba yake hata si baba yake biologically.
Nani kakudanganya?Nenda ancestry.com kuna special DNA identification ya kabila ya Luhya..Hilo si kabila ni mavi?
Nyerere aliongelea hili akasema Wazanaki wameamua urithi uwe unatoka kwa mjomba, mjomba ni kaka yake na mama, watu wameona mjomba na mama wamezaliwa tumbo moja, mjomba akifariki mali zake zinaenda kwa mtoto aliyezaliwa tumboni mwa dada yake ambaye walizaliwa tumbo moja. Hapo watu wame establish connection.
Nyerere's nonsense.....huwezi ua makabila na tamaduni za watu walizojenga kwa miaka 2,000 then una embrace kabila moja la Waswahili.This is laughable.
Sasa wewe unayelazimisha kwamba kabila, ambalo mainly linakuwa transmitted kutoka kwa baba, bila hata ya DNA verification ya nani ni baba wa kibaiolojia, ni jambo la kibaiolojia, ndiye unayejua baiolojia?
You are clueless mzee!
Wapi nimesema hilo? Au you illiterate?
Illiterate according to who?Wewe?Wewe kama nani?Kiranga?
Umegeuka hakimu wa kupima literacy levels za wanadamu wengine online na kuwapa grades na kutoa judgements?
Mzee unajipa madaraka ya kibwege sana kuhukumu wanadamu wengine as if wewe ndio SI-unit ndugu yangu.