Mihayo Wilmore anayedaiwa kumpiga mkewe Nackitia Nyange "kipigo cha mbwa koko" ni nani?

Yaan wanaume awafai ata jina la mbwa maana mbwa ana huruma unalala ndani ye yuko nje anakulinda.....ukute uyo kaka ni malaya shetani afuati labda ikatokea tu mwanamke akapata asira akachepuka siku moja ama katoka na mtu tu wakapata dinner ndo ikawa ivo
Kwani wewe huna Baba, boyfriend,kaka, ivi unajua ndoa ilivyo mkuu... Yani uchepuke na urudi kulala kwangu? Nani mke wangu? Kwa mfano wewe ungekuwa mwanaume na mke wako kachepuka ungefanyaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzungu ni nani? Unamjuaje huyu mzungu na huyu si mzungu? Mimi napinga validity ya makabila, halafu unanipinga kwa kutumia habari za mzungu, define mzungu ni nani, objectively.
Mkuu acha unafiki,Mzungu unajua ni mtu wa aina gani...Ni vituko msomi unapokua dishonest namna hii.
Habari haikuandikwa 1930s, iliandikwa kuhusu kabila lililoanzishwa 1930s
Who cares about the dates?Ni adui,hawezi andika the same story in a positive tone.
Habari haikuandikwa negatively, iliandika fact, kama unabisha, toa ushahidi kwamba si kweli, kwamba kabila hilo halipo.
Kwako haikuandikwa negatively,ni kwako...Kwangu naona ni negative,kwanini kila mmoja wetu asikae na mtazamo wake alioona?
Mzungu ni nani? Unajuaje huyu mzungu na huyu si mzungu?
Unafiki huu..Unajua vizuri kabisa nani ni Mzungu na nani ni mtu mweusi,etc...shida umekomalia semantics kuonesha arrogance basi tu...
Of course unashindwa kunielewa, we are not on the same wavelength.
Sio lazima nikuelewe...Nikuelewe kwa lipi?Sio lazima...Ni vizuri pia tusipoelewana...Who cares kua kwenye same wavelength na wewe?Hunielewi,sikuelewi,shida ipo wapi?
Sijasema popote kwamba members wa kabila fulani hawana biological relationship ya aina fulani. Hilo la kwanza, uelewe.
Umesema,acha kuruka your own words....hawa watu wanashare DNA markers,ndio maana Dinka tribe average height ni 6'4" na sio makabila mengine..
height ni biological trait,wameitoa wapi kama sio biology yao?Wameiokota?Sexual drive ni biological trait,ndio maana kuna kabila malaya zaidi ya wengine,hutaki andamana!
Ninachokwambia ni kwamba, habari za makabila ni arbitrary, hazina formula, hazina misingi ya scientific fact.
Acha sound,wewe unaona ni arbitrary lakini mimi na my fellow fools tunajua si arbitrary.Atleast tuelewane kutokuelewana kwa hili.

Halafu concept ya kabila in African context unaikataa,ila ikija kwenye kabila la Jews,unakubali ni coherent na biological laws sababu wana special DNA identification,Africa japo makabila yana special DNA identifications,hutambui sababu tu ni African,thats my guess!

Yaelekea kabila kwako wewe ni la Kiafrika tu,sio pengine,maana pengine ni scientifically proven,ila kivyako hiyo hai-apply kwa African tribes?Oh yeah?
Watoto wa Mkapa ni kabila gani?
Who cares?He knows himself!I worry about mine.
Ukisema Wamakua, si sawa. Wamakua wanachukua kabila kwa mama. Mama si Mmakua.

Ukisema Wachaga, si sawa. Wachaga wanachukua kabila kwa baba, baba si Mchaga.

Sasa, watoto wa Mkapa wale kina Stephan na Nico ni kabila gani?

Mkapa kakataa kuwapa makabila, kasema wale ni Watanzania, kwanza hata kilugha cha huko umakuani au Uchagani hawajui.
Who cares about this senior citizen?
Nimesema kwamba, kabila ni a social construct, not a biological one. That does not mean kwenye kabila hakuna biological connections, but that does not alos mean that an individual is biologically identifiable with a tribe. Unaweza kusema huyu Mchaga kwa sababu baba yake Mchaga, ukaja kugundua kwa DNA test kwamba huyo anayedaiwa kuwa ni baba yake hata si baba yake biologically.
Nani kakudanganya?Nenda ancestry.com kuna special DNA identification ya kabila ya Luhya..Hilo si kabila ni mavi?
Nyerere aliongelea hili akasema Wazanaki wameamua urithi uwe unatoka kwa mjomba, mjomba ni kaka yake na mama, watu wameona mjomba na mama wamezaliwa tumbo moja, mjomba akifariki mali zake zinaenda kwa mtoto aliyezaliwa tumboni mwa dada yake ambaye walizaliwa tumbo moja. Hapo watu wame establish connection.
Nyerere's nonsense.....huwezi ua makabila na tamaduni za watu walizojenga kwa miaka 2,000 then una embrace kabila moja la Waswahili.This is laughable.
Sasa wewe unayelazimisha kwamba kabila, ambalo mainly linakuwa transmitted kutoka kwa baba, bila hata ya DNA verification ya nani ni baba wa kibaiolojia, ni jambo la kibaiolojia, ndiye unayejua baiolojia?
You are clueless mzee!
Wapi nimesema hilo? Au you illiterate?
Illiterate according to who?Wewe?Wewe kama nani?Kiranga?

Umegeuka hakimu wa kupima literacy levels za wanadamu wengine online na kuwapa grades na kutoa judgements?

Mzee unajipa madaraka ya kibwege sana kuhukumu wanadamu wengine as if wewe ndio SI-unit ndugu yangu.
 
Mkuu acha unafiki,Mzungu unajua ni mtu wa aina gani...Ni vituko msomi unapokua dishonest namna hii.

Who cares about the dates?Ni adui,hawezi andika the same story in a positive tone.

Kwako haikuandikwa negatively,ni kwako...Kwangu naona ni negative,kwanini kila mmoja wetu asikae na mtazamo wake alioona?

Unafiki huu..Unajua vizuri kabisa nani ni Mzungu na nani ni mtu mweusi,etc...shida umekomalia semantics kuonesha arrogance basi tu...

Sio lazima nikuelewe...Nikuelewe kwa lipi?Sio lazima...Ni vizuri pia tusipoelewana...Who cares kua kwenye same wavelength na wewe?Hunielewi,sikuelewi,shida ipo wapi?

Umesema,acha kuruka your own words....hawa watu wanashare DNA markers,ndio maana Dinka tribe average height ni 6'4" na sio makabila mengine..
height ni biological trait,wameitoa wapi kama sio biology yao?Wameiokota?Sexual drive ni biological trait,ndio maana kuna kabila malaya zaidi ya wengine,hutaki andamana!

Acha sound,wewe unaona ni arbitrary lakini mimi na my fellow fools tunajua si arbitrary.Atleast tuelewane kutokuelewana kwa hili.

Halafu concept ya kabila in African context unaikataa,ila ikija kwenye kabila la Jews,unakubali ni coherent na biological laws sababu wana special DNA identification,Africa japo makabila yana special DNA identifications,hutambui sababu tu ni African,thats my guess!

Yaelekea kabila kwako wewe ni la Kiafrika tu,sio pengine,maana pengine ni scientifically proven,ila kivyako hiyo hai-apply kwa African tribes?Oh yeah?

Who cares?He knows himself!I worry about mine.

Who cares about this senior citizen?

Nani kakudanganya?Nenda ancestry.com kuna special DNA identification ya kabila ya Luhya..Hilo si kabila ni mavi?

Nyerere's nonsense.....huwezi ua makabila na tamaduni za watu walizojenga kwa miaka 2,000 then una embrace kabila moja la Waswahili.This is laughable.

You are clueless mzee!

Illiterate according to who?Wewe?Wewe kama nani?Kiranga?

Umegeuka hakimu wa kupima literacy levels za wanadamu wengine online na kuwapa grades na kutoa judgements?

Mzee unajipa madaraka ya kibwege sana kuhukumu wanadamu wengine as if wewe ndio SI-unit ndugu yangu.
Yani ushajua ninachojua?

Unaelewa kuuliza swali si tu kutaka kujua, bali pia kutaka kupanua mjadala, kuchimba zaidi definitions, kufanya mjadala kwa "Socratic method"?

Unaelewa "Socratic method" ni nini?

Tunaongelea makabila na nasaba.

Umemtaja Mzungu.

Mzungu ni nani?

Ukishindwa kujibu swali hili, hujui unaongelea nini.
 
Siungi mkono tabia ya watu wazima kupigana ila wanawake wana midomo sana. Wengi wanapigwa kutokana na midomo yao, mwanamke hakubali kushuka anachonga mdomo tu. Na inafahamika sisi wanaume midomo yetu ni ngumi na mateke.

Hakuna sababu ya kumpiga mwanamke lakini kila mwanamke anayepigwa kuna chanzo.

Kama huyo mwanamke ni binti wa Anne Kilango sioni ajabu kupigwa kama karithi mdomo wa kufoka foka kama mama yake. Chanzo cha wanawake wa sasa ni midomo michafu anaweza kukutukana na kukufokea matusi hata mbele ya watoto wako, hasira zinakupanda na unashitukia umempiga, wanaume hatujajaliwa midomo na maneno mengi tumejaliwa misuli na nguvu, tuwe wakweli watapigwa sana tu pamoja na watu kufungwa na kukamatwa bora lawama kuliko fedheha! Hii haki sawa feminism na umagharibi unaharibu jamii
 
Siungi mkono tabia ya watu wazima kupigana ila wanawake wana midomo sana. Wengi wanapigwa kutokana na midomo yao, mwanamke hakubali kushuka anachonga mdomo tu. Na inafahamika sisi wanaume midomo yetu ni ngumi na mateke.

Hakuna sababu ya kumpiga mwanamke lakini kila mwanamke anayepigwa kuna chanzo.
Achilia mbali kupigana, Kumpiga mwanamke ni ujinga!
Sijasema Upumbavu nimesema Ni Ujinga!

Mwanaume kutomuadhibu kwa kumpiga mwanamke aliyekosa adabu kama huyu chini anayekutukana hadharani ni ujinga na ni ushoga, unataka wanaume wakae kimya au wachambane matusi na wanawake???!!! Dawa ni kuwapiga tu maana wanafanya utoto na wapigwe tu hakuna namna, cha muhimu siyo unapiga kama unapiga nyoka, tafuta sehemu salama za kupiga isiwe kichwani au tumboni! Heshima ishike mkondo wake asiye funzwa na mamaye atafunzwa na ulimwengu
 
Attachments

  • Matusi.mp4
    686.7 KB
Siungi mkono tabia ya watu wazima kupigana ila wanawake wana midomo sana. Wengi wanapigwa kutokana na midomo yao, mwanamke hakubali kushuka anachonga mdomo tu. Na inafahamika sisi wanaume midomo yetu ni ngumi na mateke.

Hakuna sababu ya kumpiga mwanamke lakini kila mwanamke anayepigwa kuna chanzo.
Mwanaume kutomuadhibu kwa kumpiga mwanamke aliyekosa adabu kama huyu chini anayekutukana hadharani ni ujinga na ni ushoga, unataka wanaume wakae kimya au wachambane matusi na wanawake???!!! Dawa ni kuwapiga tu maana wanafanya utoto na wapigwe tu hakuna namna, cha muhimu siyo unapiga kama unapiga nyoka, tafuta sehemu salama za kupiga isiwe kichwani au tumboni! Heshima ishike mkondo wake asiye funzwa na mamaye atafunzwa na ulimwengu
 
Yani ushajua ninachojua?

Unaelewa kuuliza swali si tu kutaka kujua, bali pia kutaka kupanua mjadala, kuchimba zaidi definitions, kufanya mjadala kwa "Socratic method"?

Unaelewa "Socratic method" ni nini?

Tunaongelea makabila na nasaba.

Umemtaja Mzungu.

Mzungu ni nani?

Ukishindwa kujibu swali hili, hujui unaongelea nini.

Kiranga bwana...

Academic arrogance hii unayoonesha is beyond me to begin with...

Mjadala umegeuka class quiz session,”nipe definition hiki mara kile”,mkuu hii ni unnecessary arrogance

Makabila yaliyokaa muda mrefu yana vinasaba,na muda mrefu hapa atleast tuanzie 400yrs!

Mkuu,tuache haya mambo tusiharibu uzi wa couple iliyopigana na ku-divorce

Umeshinda huu mjadala!
 
Socrates said, the unexamined life is not worth living.

I am merely re -examining your assumptions.

Kuanzia kabila mpaka mzungu.

Na wewe umeshindwa kuzitetea assumptions zako, unataka zikubalike tu bila hata ya kuzitetea.

Sasa kati yangu ninayetaka tujadili vitu kwa kina kabla ya kuvikubali, na wewe unayetaka assumptions zako zikubalike, bila hata kuwa defined. Nani arrogant hapo?

Nikikuuliza, mzungu ni nani? Define "mzungu" unanijibu kimkato "Mzungu unamjua".

Hapo sasa nani ni arrogant?

Huoni kwamba wewe unayelazimisha mimi kumjua mzungu bila hata ya kujibu swali ndiye uliye arrogant kuliko mimi ninayetaka tufanye mjadala kwa kuanzia kwenye definition?

Kwenye saikolojia kuna concept ya projection. Mtu mwizi ni rahisi sana kusema wengine wezi.

Na wewe ndicho unachofanya hapa.

Unaproject arrogance yako ya ku dismiss maswali valid kabisa kwangu.

Unaniita mimi arrogant.

Wakati kiukweli wewe ndiye arrogant.

That is psychological projection right there.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
First thing first,ulichokopi hapo sio changu!

Mimi naitwa Wyatt Mathewson,angalia post uliyokopi hapa nani author,never me!

Plus,pamoja na kukopi with open and close quotes zako,umefeli maana hujui kukopi comment ya mtu JF!

Still a JF rookie!

Plus,ma nigga Wilmore did that bitch just about right!

Hamtaki andamaneni!

mimi nipo pamoja na Mwamba Mihayo
 
Ukiangalia vizuri ni km jamaa alikua anachomoka hivi na km vile alisindikizwa nå mitusi ndio kurudisha hasira tena.
Ni kweli mkuu, picha inaonesha kabisa kwamba jamaa alikuwa anatoka nje, huenda aliamua kwenda kukaa nje ili apunge upepo kupunguza hasira, lakini mwanamke anaonekana akimfuata na lazima itakuwa alikuwa anamtolea maneno ya shobo, na hii ilimlazimisha jamaa amuazishie kipigo, unajua wanawake huwa wanaweza hata kutumwa na mama zao kwamba akirudi tu mumeo mkorofishe mpaka akupige, hapo wanakuwa wanalenga kutengeneza kesi
 
Kasikilize alichosimulia mkewe clouds
Tatizo mnabumba story zenu mnafarijiana hapao
 
Ni kweli mkuu, picha inaonesha kabisa kwamba jamaa alikuwa anatoka nje, huenda aliamua kwenda kukaa nje ili apunge upepo kupunguza hasira, lakini mwanamke anaonekana akimfuata na lazima itakuwa alikuwa anamtolea maneno ya shobo, na hii ilimlazimisha jamaa amuazishie kipigo, unajua wanawake huwa wanaweza hata kutumwa na mama zao kwamba akirudi tu mumeo mkorofishe mpaka akupige, hapo wanakuwa wanalenga kutengeneza kesi
 
Sema nini bro mbona bwana mihayo ni tapeli no. 1....waulizeni crdb naomba toeni info za utapeli wa mihayo... na mbona mshkaji tulikua tunakula nae anamkejeli mkewe mpaka tukawa tunawaza huyu bro kwanini alioa...vibaya zaidi na yeye alikuwa na wanawake kede kede wengine tulikua tunamhifadhi..mbona ye hajapigwa

I knew there’s something about him pia [emoji848]
 
Midomo hiyo ya kuwaambia wanaume "Akili hawatumii" ndio hupelekea kupigwa, na wewe ungekuwa mke wangu hapo ungepata kinachokustahili (kipigo), mmeagizwa na Mwenyezi Mungu kuwatii Waume, ukileta dharau kwa Mume kipigo halali yako.

Mume kama wewe mimi sipati shida,ntakushughulikia ipasavyo utakaa sawa tu
Nyie ndio mnatufanya tuwe wakatili
 
Back
Top Bottom