Miili 1500 ya Wapiganaji wa Hamas imepatikana Israel

Aache propaganda,ikawaje aombe msaada US?

Vita ya nyumba Kwa nyumba,kitanda Kwa kitanda kama kampeni za CCM haziwezi.
US anahasira na hamas kashikilia mateka raia wake na wengine kaua mwingereza anauchungu na raia wake waliokufa tamashani yaani watu wanaghazabu sana na zile pimbi
 
kulikuwa na mtego na uuzwaji wa ramani kwa Hamas waingie kingi ili Israel afanye total occupation ya Gaza.
why hii hoja inapata nguvu? Kwamba it was a planned mistake? Kwamba Israel ni perfect hawakoseagi?

Israel kila mwaka inasogeza mpaka hata bila sababu au shambulizi la Hamas so whether wangeshambulia or not bado walowezi wakiyahudi wangejitanua tu ili kufikia azma yao ya kuiteka ardhi yote.

Sidhani wanaweza risk kupoteza raia 1500 na kuonyesha failure ya iron dome na intelligence ili tu kupata justification ya kushambulia a weaker opponent!!
 
Waongo, wanauwa wanawake na watoto wadogo tu.
 
watauawa mmoja baada ya mwingine, kama siku saba tu hizi wamekufa hamas 1500 hadi kufika mwisho wa mwezi huu watakuwa wamepukutika wote.
 
Waongo, wanauwa wanawake na watoto wadogo tu.
raia wameondoka kaskazini, itachukuliwa sasa hakuna raia, yeyote atakayejitokeza awe na sare za jeshi au la, atachukuliwa kama ni hamas, ni risasi tu. tunajua kuna mahandaki, watakaa chini ya ardhi, watakual chakula kingi walichokuwa wame accummulate, maji na vitu vingine, watatumia na silaha zote, vikiisha, wataamua aidha wafie shimoni au watoke nje wapigwe risasi.

hamas walichokuwa wamepiga hesabu ni kwamba, waliweka silaha nyingi na vyakula wakitegemea watasumbua kwa muda mrefuuu na kwasababu wapo katikati ya raia israel wataua pia raia, dunia itailaumu sana israel na kuilazimisha kusitisha mashambulizi gaza. Israel baada ya kujua hilo, ametoa amri raia waondoke gaza ili abaki na hamas, uzuri wake, raia hadi sasahivi wameondoka zaidi ya robotatu, kwahiyo pale wakiamua kulipua jengo, wakiamua kutupa bomu litakalogeuza ardhi chini juu juu chini, watafanya hivyo kwa uhuru kwasababu dunia imeshajua wamesubiri raia waondoke.

pia, hiyo itapunguza kelele za dunia kwamba wamekata maji, umeme na mafuta, watauliza mnataka turudishe umeme, maji, mafuta na supply ya chakula akale nani wakati raia wameondika? hapo ndipo hamas watakuwa na kilio na kusaga meno. mwisho wao umeshafika.
 
Hii vita ya kwenye mitandao, data za kupikwa, huyu kaua 1500 huyu kachoma watoto wakiwa hai, wakuu hizi habari haziingii akilini, kuna muda naangalia aljazeera nabaki kucheka wanavyokimbia na vi ambulance vyao na vimlipuko vya hapa na pale πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, kwani Iran si ana nyuklia ampe palestina na muizael akatafute anakojua tuone ardhi ikibaki tambarare
 
Hamas wajinga sana yaan ushindane na aemilki dunia utaweza kweli.
Hamasi
Walifanya calcution vibaya sana.
Damu ya muisraeli mmoja huwa inarudi na damu mia
 
Iran Sio wajinga watafutwa kwenye uso wa Dunia wakifanya hivyo
 
Marekani kuna Wayahudi kibao pale, na wengi ndo ma-don wenye mkwanja wao, Elon Musk mwenyewe ana nasaba ya Kiyahudi, ulitaka wafanyeje?

Halafu hao HAMAS unafikiri hatujui kuwa wanasaidiwa na Arab nations, na Urusi?
sio tuu marekani inaikinga Israel bali inalipa fadhila kwa myahudi Albert Eistein mvumbuzi wa Bomu la nuklear ambalo limeipa marekani umwamba wa dunia. hivi sasa hivi mataifa yote ya EU yapo nyuma ya Israel. Israel atapeleka ndege mia sita kubamiza Gaza north na kuacha jangwa wiki ijayo. Benja hatanii. Iran hana lolote kachinjiwa wanasayansi wake hukohuko teheran na hakufanya lolote. leo hii eti anataka kutia pua Gaza!!!
 
Hamas wajinga sana yaan ushindane na aemilki dunia utaweza kweli.
Hamasi
Walifanya calcution vibaya sana.
Damu ya muisraeli mmoja huwa inarudi na damu mia
walilipwa pesa na Iran kufanya matendo mabaya kwa israel. sasa marekani kamziba iran aije ingiza pua yake gaza. kichapo atakachopata hamasi ni kile cha kufutwa kabisaa katika ramani ya dunia. Benja hatanii
 
walilipwa pesa na Iran kufanya matendo mabaya kwa israel. sasa marekani kamziba iran aije ingiza pua yake gaza. kichapo atakachopata hamasi ni kile cha kufutwa kabisaa katika ramani ya dunia. Benja hatanii
Na waislamu wenzao wamewasusia kutounga mkono ugaidi wao wacha wafutwe kabisa wawahi bikira kuzimu
 
Tunataka amani sisi ni wanadamu.
Leo waislamu watashabikia Ukraine ila Mimi nitashabikia palestina sababu hakuna umuhimu wa kugombea ardhi.
Mbona ngorongoro tz waislamu mumenyamaza
Acha kuiingiza tz yetu acha tupelekane kama mambuzi acha wafyekane wee ikibidi wasaidiwe silahaa waishe maana dunia haina cha kufanya ishort wamechoka ugali over
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…